matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Amenikata hamu kabisa na nguvu za kiume zimeisha. Kumbe haya matatizo ya nguvu za kiume sababu ni Wanawake

    Huyu dada siku ya kwanza nimemtoa out nlimwona tu alivyokuwa na ushamba. Dada mzuri wa sura na umbo. Lakini kichwani ana ushamba flani. Mtu mmeonana jana leo anakutumia msg ana njaa na anafanya kazi. Huu ni upumbavu wala si ujanja. Wanawake wengi hawajielewi. Binafsi sipendi mtu anayetangaza...
  3. DANIEL NOAH

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hatua za kufuata ili kupunguza au kumaliza matatizo ya Ndoa katika jamii zetu

    Ndoa ni muunganiko wa mtu jinsia ya kiume na mtu mwingine jinsia ya kike na kwa muunganiko wao husababisha pia familia zao kuungana na kuwa na mahusiano baina yao.Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ukatili katika ndoa nyingi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao husababishwa...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, Mimi na kaka yangu hatuna ukaribu wa hata kujuliana hali lakini kwenye matatizo tunasaidiana sana kuliko marafiki tuliozoeana sana.

    nina kaka yangu alienizidi miaka 8, kiukweli hatujazoeana sana nadhani hii imesababishwa sana kwa yeye kunionea utotoni maana nimekula sana vipigo vyake, hii hali ilinifanya nimchukie na ikapelekea mpaka mawasiliano yetu kuharibika hadi sasa maisha ya ukubwani... nipo karibu na dada yangu. Yani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wosia wa "kitabu mtatuzi wa matatizo" ndani ya nchi tajiri yenye watu masikini

    Jina langu nililopewa na walimwengu najulikana kama KITABU MFUMBUZI WA MATATIZO.Nimezaliwa DUNIANI kote kwa mwaka usiokuwa na jina toka Enzi katika kila Pembe ya Dunia, Ninaishi TANZANIA, Nchi TAJIRI yenye watu MASIKINI ndani yake.Nimevumilia nimeshindwa nimeona Bora niseme TANZANIA ina watu...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kauli zinazoonyesha unayeongea naye ana matatizo ya akili

    "NITUMIE BASI PICHA ZAKO!!" Hii ndio kauli pekee Ambayo mwanamke anajua kabisa anatongozwa na chizi!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
  7. W

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ufadhili wa masomo unaotolewa na taasisi za nje unaakisi malengo/suluhisho la matatizo yetu Watanzania au ni mwendelezo wa ukoloni?

    Ndugu zangu, Kuna taasisi na mataifa mengi ya nje ya nchi ambayo hutoa udhamini wa masomo ya juu katika kada mbalimbali ambazo nyingi hupatikana huko njee. Na kwakua udhamini huu wakat mwingine ni mzuri na unatuvutia wengi kutokana na kiwango cha fedha wanachotoa na huduma ambazo hupewa...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya leo matatizo Ni prana. Raila amechoshwa sana na kampeni

    Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Hemedi Kivuyo yametimia kwa 100%. Taasisi imeyavaa matatizo yake, Hersi ni mtu wa ovyo ovyo

    Hakuna kitu kilimuuma sope takadini kama uongozi wa simba ulipotoa statement ya kumkana na kauli yake ya kupiga marufuku mashabiki wa yanga kuingia mechi za kimataifa za simba ushajiuliza angetoa kauli hiyo akiwa yanga ingekuwaje? kwa uongozi huu wa Hersi na manara ni kama PWAGU NA PWAGUZI...
  10. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya matatizo kwenye magari ni matatizo ya umeme/Electronics

    Gari nyingi za kuanzia late 1990's na kuendelea kuja huku mbele. Zina mifumo mingi ya umeme. Tuache mifumo mingine kwenye gari tuongelee engine tu... Mfano kwenye engine tu peke yake, Mfumo wa hewa una umeme [MAF sensor na IAT sensor/IAT sensor na MAP sensor] Mfumo wa mafuta una umeme...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania E-Filing System TRA una matatizo

    Heshima sana wanajamvi, Mamlaka ya mapato Tanzania ilibadili mfumo wake wa ku fill kodi mbali mbali kupitia mfumo mpya ambao badala ya kurahisisha kazi umeongeza ugumu wa kazi. Unaweza kuchukua siku nzima ukihangaika kuufungua tu .Bado utasumbuka masaa mengi kurudia rudia kila mara na...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha matatizo nchi hii ni CCM na vibaraka wake

    Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu. Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
  13. Kelela

    JamiiForums Tanzania Kero: RITA mna matatizo gani?

    Habari wana JF, Naandika uzi huu ili kuelezea kero zangu na wengine wengi kuhusu RITA kama kuna wahusika humu walifanyie kazi. Natoa kero hizi leo Tarehe 26-Julai-2022 1. Kero ya Kwanza: Namba ya Huduma kwa wateja ni BUTU. Namba ya Huduma kwa wateja ya RITA haifanyi kazi, yaani ukipiga...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Ajira: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira

    Kwako waziri wa Ajira Yah: Matatizo katika mfumo wa Sekretarieti ya Ajira. Kwako Waziri wa Ajira, Natumai unaendelea vyema na shughuli zako za kila siku. Mh. waziri Lengo la kukuandikia barua hii ya wazi ni kukueleza changamoto zinazowakumba Watanzania wanaojaribu kufanya maombi ya kazi...
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Rikiboy wa kula kimasihara ulivyoniponza

    Habari zenu wakuu [emoji17][emoji17] Ukiingia kwenye uzi wa kula kimasihara unaweza sema hufai kuwa mwanaume kabisaa, maake kule wanaume wanachakata mbususu kibahati mbaya, iwe alfajiri, mchana, jioni au usiku, wengine wakati wakiwa wanachakata, kwenye mikono yao wanakuwa wanatype mrejesho...
  16. Gama

    JamiiForums Tanzania Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

    Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imrudishe Mhandisi Kakoko kama suluhisho la matatizo ya Bandari

    Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona. Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
  18. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Kusudi la Mungu linaweza kusababisha matatizo makubwa kwa wengine wakauawa au wakapoteza vitu vya thamani

    “Ndipo Herode, alipoona ya kuwa amedhihakiwa na wale mamajusi, alighadhabika sana, akatuma watu akawaua watoto wote wanaume waliokuwako huko Bethlehemu na viungani mwake mwote, tangu wenye miaka miwili na waliopungua, kwa muda ule aliouhakikisha kwa wale mamajusi”, Mt 2:16 SUV. Jaribio la...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiwa nasema kuwa Simba SC kuna matatizo na huwa 'nikiwananga' hapa JamiiForums huwa sikosei muwe mnanielewa tafadhali

    Ahmed Ally: Suala la Morrison tunasubiri kocha mpya akija ndio atoe maamuzi kama anatakiwa kubaki au aondoke. Babra: Morrison hakuwa kwenye mipango yetu ndio maana tumempa ruhusa akatafute timu nyingine Kauli za viongozi wa Simba kuhusu mchezaji Bernard Morrison. Chanzo: Darmpya Blog Leo...
  20. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya figo yanakua kwa kasi Nchini Tanzania, sasa ni 6%

    Imeeleza kuwa matatizo ya magonjwa ya figo ni tatizo la Kidunia kwa kuwa takwimu za magonjw aya figo ni 10% wakati ndani ya Tanzania takwimu za nchi ni 6% Serikali inajipanga katika mambo mengi, kwanza ni kutoa elimu ya afya mfano kula na mazoezi, pili kuna usalama wa chakula na usalama wa...
Back
Top Bottom