matatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbeya Girl

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nahisi mdogo wangu ana matatizo

    Habari zenu Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu na articles mbalimbali pia anaangalia sana movies, kinacho nifanya niulize ni kwasababu amezidi...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Azam TV Max app na matatizo ya channeli ya UTV siku za mechi za simba CAF

    Wakuu mimi ni mtumiaji mzuri wa azam tv max app kwenye simu yangu, kuna hii ya UTV chaneli kila ukifika muda wa mechi za simba unakuta imeondolewa HAIPO KABISA au ukiikuta na ukaifungua kwa ajili ya kungalia zako mpira unaambiwa CHANNEL IS NOT AVAILABLE IN YOUR AREA. Ajabu ni kwamba baada ya...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kuweka mashine ya kutolea pesa jirani na baa ni kusabaishia matatizo watu

    Mtu anajikuta anatengua bajeti na kwenda kunyogoa mzigo. Hii inasababisha watu kutungua mzigo ambao haukupangwa kutumika siku hiyo. Watu wengine wana mauzi na dharau husababisha kulazimika mtu kwenda kutoa mzigo ili ule masanga kwa hasira.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi ina matatizo makubwa ya utendaji wa Maafisa wa ardhi wa Wilaya na Mikoa. Waziri yuko wapi?

    Hii ni wizara nyeti na yenye matatizo makubwa ya utendaji wa maafisa wa ardhi wa wilaya na mikoa. Kidogo Lukuvi aliwafuatilia kwa karibu na kuchukua hatua ilipobidi. Leo Waziri Mabula naona ni kama vile wizara haina Waziri. Wanatamba kuwa tulisema ataondoka Lukuvi atatuacha, na huyu tena...
  5. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ukatili umezidi, hivi unampaje ujauzito mtu mwenye matatizo ya akili?

    Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze tamaa ya ngono huu ni unyanyasaji mkubwa kwa watu wa aina hii. You can imagine akipata uchungu...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Waafrika wenzetu wakishangilia kutinga fainali za Afcon sisi tunashangilia Samatta kufunga goli ulaya. Watanzaniza tuna matatizo

    Kama kufunga goli ulaya ni mafanikio kwa taifa letu kisoka basi watanzania tumerogwa
  7. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Katiba Mpya ndio suluhu ya matatizo ya Watanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan kwanza nakupongeza sana kwa hatua mbalimbali unazochukua baada ya kuondokewa na Magufuli Mhe. Rais kama lilivyo jina lako wewe ndio Suluhu ya suala la Katiba mpya. Haya yote unayohangaika nayo kuyaweka sawa ni kutokana na Mwendazake kuona mapungufu yaliyopo kwenye...
  8. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  9. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Ndugai na Rais, linaonesha watanzania ndio tuna matatizo makubwa

    Habarini! Hii vita inayoendelea inaonyesha Jinsi gani watanzania ndio tuna shida kubwa na ndio sababu hatuendelei. Ndugai kasemea Juu ya jambo ambalo lina maslahi kwa Nchi lakini anakuja Mtu ana mjibu kwa kuangalia Maslahi yake tena kwa kejeli watu Wooooteee wanashangilia Kweli Mpo serious...
  10. DaveSave

    JamiiForums Tanzania MSAADA KWA NDUGU/JAMAA WENYE MATATIZO YA ULEVI (URAIBU).

    Stay Clean Foundation Tanzania (STCF) ni asasi ya kiraia iliyoanzishwa mwaka 2015 yenye makao yake makuu Arusha, ambayo inajihusisha na kuwasaidia vijana walioathirika na matumizi ya dawa za kulevya (Substance Abuse) kwa kutoa Elimu katika Shule, Vyuo na Taasisi za Umma na binafsi ya namna ya...
  11. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwa nchi yenye matatizo makubwa ya maji, tunaruhusu vipi swimming pools?

    Kuna hili suala nimeliwaza kwa muda mrefu sana. Inakuwaje katika nchi ambayo hata maeneo ya mijini tu kuna changamoto kubwa za maji tunaruhusu ujenzi wa swimming pools? Najua wengine mtanishambulia kwa kuleta usukuma wangu hapa ila kuna mambo inabidi utafakari kwa maslahi ya taifa. Kama ni...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Fahamu kwanini ukizikamata pesa za kutosha tu matatizo yanakujia.

    Habari! Hii mada nimeileta kutokana na uzi aliouandika bwana mmoja hapa jf akilalamika jinsi simu za ndugu na marafiki zinavyomiminika kuomba msaada pindi tu anapopata fedha. Kuna watu mpaka kanisani wanashuhudia jinsi Mungu alivyowavusha walipopata tatizo, wakisema kuwa tatizo lilipokuja...
  13. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
  14. Z

    JamiiForums Tanzania TCRA tuambieni nani alimshitaki Polep[ole? Kuna matatizo makubwa ya maamuzi.

    TCRA imemshitaki Polepole, Polepole akajitetea kwa TCRA, halafu TCRA ikamhukumu! That is no right! Kuna tatizo kubwa sana. Muhusika amesoma kwa maringo sana juu ya mwenendo mzima wa maamuzi ya TCRA lakini mwishoni mtu unaona ni kama upuuzi wa aina fulani vile. Haijulikani makosa yameanzia kwa...
  15. Lager

    JamiiForums Tanzania Hivi matatizo yanaonaga pesa?!

    Wakati huna pesa yametulia tuli,pata pesa Sasa utasikia Bibi kameza chemli huko kijijini😥 Hii sayari yetu yatatu hii imekaa kimichongo Sana😬
  16. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi nina matatizo ya akili au vipi?

    Hivi kweli mtu anaweza kuwa ana ishi bila kujua kama ana matatizo ya akili? Mimi mwenzenu na shangaa saana watu wengi wananiambia kuwa awanihelewi kabisa yaani kuanzia maneno yangu mpaka vitendo vyangu na wengine Wana sema nimepungukiwa akili kabisa Hata mimi mwenyewe kuna mda uwaga si helewi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Nakumbuka KEROZENE nilipochangia Uzi wakati Chama alipouzwa nilisema hapa hapa kuwa ile ilikuwa ni Gia tu, ila muda mchache atarudi Tanzania na Kutua Yanga SC. Kuna sababu Kuu Nne ambazo niliziona wakati nachangia huo Uzi kuwa Chama atatua Yanga SC moja ikiwa ni ukaribu wake na Ridhiwani...
  18. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia isijisumbue Hayati Magufuli alieleza kila kitu na aliweka wazi matatizo ya nchi hii

    Pamoja na mapungufu ya hayati John Magufuli lakini hakupepesa macho wala kumung'unya maneno pale penye ukweli. Bado Serikali yahangaika kujimwambafwai lakini ukweli wa matatizo yoote yaliyopo nchini kwa sasa uliwekwa wazi na Hayati Magufuli. Alieleza matatizo ya baadhi ya wahujumu uchumi wa...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu nahisi ana matatizo ya akili, haachi tabia ya kucheza cheza hovyo

    N i aina ya wale watu ambao kitendo ha masikio yao kusikia mziki unakita basi mwili utashawishika kucheza. ni age mate, ana miaka 31, tunafanyia kazi shirika moja la kiserikali ila yeye alihamishiwa kituo kingine, kwa hio sikua nae karibu kwa mwaka hivi zaidi ya kuwasiliana kwenye simu...
  20. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
Back
Top Bottom