Punguza speed.Tuheshimu vifo vya watu no ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli matehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Mkuu una wasiwasi wa nini?kifo chako tutakitangaza tu hata kama itakuwa ni tetesiTuheshimu vifo vya watu ni ndugu tu waruhusiwe kuleta tangazo jamii forums na liambatanishwe na cheti cha kifo tusianze kuzuliana vifo humu na kukejeli marehemu
Uongozi Wa jamii forums zingatieni hill kifo huwa hakitangazwi kiholela tu
Sio kila MTU hutaka kifo chake kitangazwe ndio maana sio watu wote hupeleka matangazo ya kifo radioni au vyombo vya habari na si kila MTU huhitaji kila MTU aende kwenye mazishi yake au apiite mbele ya jeneza lake for last respect wengine hawataki kabisaMkuu una wasiwasi wa nini?kifo chako tutakitangaza tu hata kama itakuwa ni tetesi
Kusiweko na Thread ya hivyo. La sivyo hakutakua na maana ya 'habar na hoja mchanganyiko'.Ushauri wangu naona ianzishwe
thread ya matangazo ya vifo peke yake maana hii sasa imekaa kiholela sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi kama wananzengo wa JF hatuangalii hayo,na kaa utambue ya kwamba marehu hana hakiSo kila MTU hutaka kifo chake kitangazwe ndio maana sio watu wote hupelrka matangazo radioni au vyombo vya habari na si kila MTU huhitaji kila MTU aende kwenye mazishi yake au apiite mbele ya jeneza lake for last respect wengine hawataki kabisa
So approval ya ndugu ni muhimu
Mwambie ndyungai aache kutangaza madeni ya watu BungeniSio kila MTU hutaka kifo chake kitangazwe ndio maana sio watu wote hupeleka matangazo ya kifo radioni au vyombo vya habari na si kila MTU huhitaji kila MTU aende kwenye mazishi yake au apiite mbele ya jeneza lake for last respect wengine hawataki kabisa
So approval ya ndugu ni muhimu
Vyote vibaya kama huna approval ya ndugu Wa marehemu .Watangaze wenyewe au wakupe approval
Hidaya ana wasi wasi mtatangaza kifo chake hali ya kwamba anataraji kufa bila nguoPunguza speed.
Kwani unakimbilia wapi?
Habari fupi hivi bado umeandika hovyo hivi?
Tulia andika kitu kinachoeleweka.
Ndio ninaye tena humu jamii forums watu tukiwa tunajipanga tutawaelezaje watoto na mjane tukifanya siri ili tujipange tuweke mambo sawa kwanza ndio tuwapelekee taarifa tunashtukia hilo limesharushwa jamii forums hata cheti cha marehemu hakijatokaAu kuna ndugu yako katangulia na ametangazwa bila ridhaa yako mwenye msiba?