Tofauti ya matangazo ya kazi humu awamu hii na ile iliyopita

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,530
15,155
Awamu iliyopita
  • Mainjinia 30 wanahitajika Tanesco.
  • Majina ya waalimu yanatoka lini?
  • Wanaotaka tubadilishane mikoa tukutane hapa (baada ya kupangiwa ajira).
  • Jamani nimechoka na hii kazi natamani nibadili licha ya mshahara mnono kwa sababu ya majungu.
  • Umebadilisha kazi mara ngapi hadi sasa?
  • Ni mradi gani unafanya wakati uko kwenye ajira?
Awamu hii
  • Unatafuta fundi baiskeli?
  • wadada wa saluni wa kulipwa kwa kutwa wanahitajika.
  • Natafuta kazi ya kufanya usafi stationary
  • Jamani mimi ni mwalimu natafuta kazi ya ulinzi popote nchini, mijini au vijijini.
  • Sioni faida ya kwenda shule. Je, naweza kuanza biashara ya mtaji wa 10000?
  • Tangazo la kazi za taaluma zenye kulipa, interview unakutana hadi na mwalimu wako wa chuo na wa sekondari.
 
Back
Top Bottom