matangazo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Lengo la Manara Mo aondoke Azam wachukue matangazo ya simba

    Hoja ya Manara inajionyesha kabisa azam wa mission maana kama hawana huwezi kurusha matangazo bure 1hr na dk26 hivi hivi. Azam wanatamani sana wapate pia mkataba wa Simba na Azam. Sasa wanamtumia Manara kufanikisha deal Tuwe machoooo. MO asimjibu Manara kama anataka kuendelea na Simba kwa...
  2. Android

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza na kusimamia (ku manage) Social media accounts

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi tupo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma yetu...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania ZBC yangia Makubaliano na TFF Kutangaza Matangazo ya Mpira Redioni yennye thamani ya 3.5bilioni

    TBC na TFF wameingia makubaliano yenye thamani ya Tshs 3.5bilioni ambapo TBC watakuwa na haki xa kutangaza mpira wa ligi kuu kwa upande wa Redio. Makubaliano hayo yatakuwa no kwa miaaka 10 ambapo hakuna radio yoyote itakayo ruhusiwa kurusha matangazo hayo mpaka wapate kibali toka TBC. Una...
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Zuchu hafanyi matangazo ya vileo. Vipi kuhusu kazi zinazodhaminiwa na makampuni ya vileo?

    Hivi majuzi nilisikiliza interview ya Sallam SK kupitia kipindi cha The Switch cha Wasafi FM nikajifunza jambo -- kuwa kumbe si kila msanii yupo tayari kunyakua kila dili linalowekwa mezani, no matter how much mulla it brings. Kumbe si ughaibuni tu ambapo watu wana uthubutu wa kukataa michongo...
  5. Faana

    JamiiForums Tanzania Tigo Mnakera na Meseji za Matangazo

    Tangu jana mpaka muda huu nimepokea meseji 69 za matangazo ya cha asubuhi, huu ni usumbufu kwetu watumiani wa mtandao wenu, Itoshe kuwaambia hali hii ikiendelea baadhi yetu tuna suspend line zenu zinakuwa za kupokelea tu simu. Tutajaza salio kwenye line za mitandao ya kiistarabu kwakuwa mmekuwa...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya biashara yenye kuhamasisha zaidi

    Hassan please don't kill me with food
  7. Hamayser hamisi

    JamiiForums Tanzania Jinsi matangazo ya kazi katika Halmashauri za Tanzania yanavyowanyima fursa vijana waishio vijijini

    Tumaini langu mko salama, kunachangamoto kubwa sana kwa vijana wanaoishi kijiji kupoteza fursa za kazi ambazo Halmashauri huwa wanazitangaza, matangazo haya mara nyingi huwa hayawafikii vijana hawa mara nyingi fursa hizi ufaidika vijana waoshio makao makuu ya Halmashauri. Hii kutoka na miundo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waajiri katika swala la matangazo ya ajira

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  9. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa nimeshatumia 12,000$ kwenye matangazo Instagram (Facebook). Je, Serikali huwa inakusanyaje Income tax kwa hii kampuni?

    Ofisi zao hawa Facebook kwa hapa Dar ziko wapi? Na kwa mabilioni yote haya wanayochuma kama faida toka nchi Tanzania, wanalipa kodi ya mapato (income tax)? Na wanailipaje? Maana itakuwa sio fair makampuni mengine kama Wasafi Media, Clouds Media, IPP media na wengine walipe kodi ya mapato na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wenye kipaji cha kutengeneza matangazo ya biashara kwa njia ya vichekesho tuwasiliane

    Habari wandugu, Siku hizi matangazo ya biashara ili yawe na usikivu unaovutia yanatengenezwa kwa mfumo wa komedi. Nitatoa mfano wa tangazo la soda ya 7 Up ambalo linasikika redioni. Kama kuna watu wenye kipaji cha kutengeneza matangazo kwa namna hiyo na hawajapata nafasi ya kupata kipato...
  11. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni nani kwenye matangazo ya Pombe?

    Kwenye Matangazo ya pombe mwishoni kuna sauti nzito ya njemba moja sijui ni nani anasemaga ...."Kunywa pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako".... Anazingua sana anawapa cha kusema wake zetu, siku ukiamua kitulia home bahati mbaya tangazo likatoke basi ikifika hiyo sehemu kama ni TV au...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipiga Google faini ya Tsh bilioni 621 kwa kujipendelea katika mfumo wa matangazo ya Kidigitali

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya Euro milioni 220, sawa na zaidi ya Tsh. bilioni 621 na kutakiwa kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa matangazo ya mtandaoni nchini Ufaransa. Mamlaka za Ushindani wa Kibiashara nchini Ufaransa zimesema faini ya Google inatokana na kutumia nafasi...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde aiomba Wizara ya Nishati kutoa matangazo ya fursa katika ujenzi wa Bomba la Mafuta-Hoima

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde amempongeza Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kuharakisha utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Hoima - Tanga. Maana Mradi huo utatoa ajira zaidi ya elfu kumi na tano (15,000) kwa Watanzania. Hivyo...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6. Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya...
  15. Nyumbani Digital

    JamiiForums Tanzania Vitu muhimu zaidi unapaswa kuvifahamu Digital Marketing

    Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
  16. Lazaro Samwel

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujua kama unafanya makosa kwenye matangazo yako ya kulipia? (Facebook na Instagram)

    Na wewe huwa unajiuliza swali hili au huwa unaogopa kujiuliza kwasababu unahofia kuona makosa yako? Ukweli ni kwamba wengi swali hili kulifanyia kazi huwa hatutaki kwasababu tunaona tutajiumiza kwa ukweli ambao tutaujua kupitia matangazo ambayo huwa tunayafanya. Kuna njia nyingi sana za kujua...
  17. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Kutana na DEEJAY(dj) maarufu Duniani anayetumia Simu ku mix Muziki na matangazo

  18. T

    JamiiForums Tanzania ITV wamkatia sauti Zitto

    Akiwa anaongelea kuhusu MSD, sauti imekatwa ghafla na baadae kumtoa hewani kabisa kisha kuweka matangazo. Hii haikubaliki. Bajeti ya MSD imetekelezwa kwa chini ya asilimia moja. Baada ya uchambuzi, wamerudisha LIVE. Wanaouliza maswali hawaoneshwi lakini u-tube wanaonesha Baada ya mchangiaji...
  19. Adriel Vin

    JamiiForums Tanzania Natengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kwenye mitandao ya kijamii

    Habari za wakati huu wakuu, naomba tenda za kutengeneza matangazo madogo madogo kwa ajili ya kukuza biashara yako kupitia mitandao ya kijamii, pia napiga picha za kupromote biashara yoyote ile. Naomba kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0656 249 607. Nina ujuzi na uzoefu katika kazi hii...
  20. Nkobe

    JamiiForums Tanzania Radio Free wakatisha matangazo ya BBC baada ya Padre kufunguka ukweli kuhusu Corona

    Katika hali ambayo isiyo ya kawaida kwa sisi wasikilizaji wa BBC kipindi cha jioni. Radio Free wamekata ghafla matangazo ya BBC wakati Padre akielezea juu ya tahadhari ya Corona. Katika mahojiano hayo, Padre alisema kuwa kipindi cha nyuma wao kama viongozi wa dini walikuwa wakiitwa mara chache...
Back
Top Bottom