matangazo

  1. JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

    Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara. Mtu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM.

    Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM IFTARI MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE ILIYOANDALIWA NA MA-SHEKH WA MKOA WA DODOMA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA UONGOZI MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN YouTube Twitter Facebook. Pamoja...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma ukurasa wa mtandao bila matangazo ya biashara

    Habari wanaJF. Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  5. JamiiForums Tanzania Naona TFF wameondoa rasmi matangazo ya GSM kwenye mitandao ya kijamii

    Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana mali kwa wanandoa!? Naona kwenye mitandao hamjaweka bango la GSM ndio kusema mnatuona sisi hutujui...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Suala la vikao vya Bunge kurushwa live ni kazi ya Serikali au maamuzi ya Bunge?

    1. Vyombo vya Habari ni Mali ya serikali au Mali ya wananchi na Umma Kwa ujumla? 2. Bunge kurusha matangazo live linategemea kibali cha Serikali au Bunge linapaswa kujiamulia lenyewe? 3. Mahakama kuruhusu vyombo vya habari kurusha mwendo wa kesi live inahitaji kuomba kibali cha Serikali au...
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

    Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga. Ajali hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Karibu nauza laptop, Computer na nafanya maintenance

    Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama: -HP -DELL -LENOVO -APPLE -FUJITSU -ALIENWARE -SAMSUNG n.k Accessories aina zote zinapatikana kama: -RAM (1gb 2gb 4gb 8g) -Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb) -Adapter charge aina zote -Keyboard na Mouse wired na wireless -VGA...
  9. L

    JamiiForums Tanzania “Upatikanaji wa matangazo ya TV katika vijiji elfu 10” wawezesha watu wa Afrika kutazama mechi nyumbani

    Tarehe 6 Februari ni siku muhimu kwa shabiki mkubwa wa soka Jackson Ndongo. Yeye na wanakijiji wenzake walitazama fainali ya Kombe la Afrika 2022 iliyofanyika Yaounde, mji mkuu wa Cameroon mbele ya televisheni kijijini, wakinywa mvinyo wa mawese. Katika mwezi uliopita, kutazama mechi ulikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi azipiga marufuku Taasisi za Serikali kutoa matangazo kwa Vyombo vya Habari bila kulipia

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussen Mwinyi ametoa maagizo kwa taasisi za Serikali kutotoa matangazo kwa vyombo vya habari kama hawatoweza kulipia matangazo hayo. Dk Mwinyi amesema hayo leo Jumatatu Januari 31, 2022 akizungumza na wandishi wa habari Zanzibar.
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania Breweries (TBL) na ubaguzi wa kutoa dili za marketing kwa wasanii wa Arusha pekee

    Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South...
  13. JamiiForums Tanzania Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Mambo vipi wanajamii. Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru, vyombo vya habari vilifanya maandalizi ya kurusha matangazo mubashara?Watangazaji walijiandaa?

    Ukifuatilia urushaji matangazo unajiuliza vyombo vyetu vya habari vilipata muda kufuatilia mchakato mzima wa paredi na ratiba ya matukio au vimepeleka timu zao Leo? Je, hawa Watangazaji ambao wanashangazwa na idadi ya vikosi vilivyopo uwanjani walipata muda wakuhoji uandaaji? Hawa Watangazaji...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa kusimamisha nchi trh 3/12 katika mahojiano maalum na TBC

    Tarehe 3/12/2021 siku ya Ijumaa, lile gwiji la siasa za upinzani kwa zaidi ya miaka 20 litakuwa linafanya mahojiano katika televisheni ya taifa TBC chii ya gwiji lingine la habari yaani Khalidi Gangana. Pamoja na mambo mengine atakuwa akitambulisha kitabu chake. Itakumbukwa vizuri kuwa toka...
  16. JamiiForums Tanzania Kenya wamewekeza kwenye utalii, design za hoteli kwenye mbuga na matangazo yao yanaeleweka

  17. JamiiForums Tanzania Tatizo nini Clouds FM, Radio Free & Star TV?

    Takribani wiki karibia 5 Clouds fm, wiki 2 RFA na Star tv siku ya 2 hawarushi matangazo baadhi ya mikoa. Tatizo nini hali hii, wahusika kupitia mitandao yao ya kijamii hawatoi taarifa yoyote kutopatikana matangazo baadhi ya mikoa nchini!
  18. J

    JamiiForums Tanzania TCRA: Imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya (Cable Operators - TACOL), Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) na Baraza la Mashauriano la Watumiaji la TCRA (TCRA -CCC) katika kikao cha...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya TPL ya TBC ni utopolo mtupu

    Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni. Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
  20. JamiiForums Tanzania Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi

    Napendekeza serikali iweke kipengele cha cheti cha JKT kwenye matangazo yote ya kazi katika Taasisi za kiserikali na utumishi. Hii italeta maana ya vijana wetu kupitia, mafunzo haya ya JKT. Na italeta hamasa kwa wale ambao hawapendi kwenda kulitumikia Taifa huko JKT. Mimi nimetoa pendekezo tu,
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…