Naona TFF wameondoa rasmi matangazo ya GSM kwenye mitandao ya kijamii

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,673
59,768
Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana mali kwa wanandoa!?

Naona kwenye mitandao hamjaweka bango la GSM ndio kusema mnatuona sisi hutujui nyie mnaakili sana!?
Screenshot_20220221-211101.png
 
TFF watuambie pesa ya miezi minne ya mabango ya GSM imelipwa!? Timu zipo 14 kila moja inadai 12,000,000. Je zimelipwa au tusubiri kesi ipelekwe mahakamani!?
Screenshot_20220221-211911.png
 
Wagawane mali ipi wakati watoto hawamtaki baba wa kambo?
Ndoa ilifungwa na watoto wakaambiwa hawatakiwi kuuliza habari ya ndoa. Nasikia baba kala uroda miezi zaidi ya minne bila kutoa pesa ya matumizi.
 
Safi ndo vizuri.
Baba mzazi azam yupo atasimamia.
Gsm nawapongeza sana
Ndoa ilifungwa na watoto wakaambiwa hawatakiwi kuuliza habari ya ndoa. Nasikia baba kala uroda miezi zaidi ya minne bila kutoa pesa ya matumizi.
 
Back
Top Bottom