matangazo

  1. M

    JamiiForums Tanzania TiGO mnatukwaza wateja kuweka matangazo tunapopiga simu

    Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka? Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa ya kuuza bidhaa kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni yasaidia kuuza matunda ncini China

    Mkulima Wu Liuhong kutoka mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, alipanda miplamu kwenye eneo la zaidi ya hekta 13.3 mwaka 2017, na mwaka huu amepata zaidi ya kilo laki moja za matunda. Lakini uuzaji wa matunda yake unasuasua kutokana na watu wote kupata mavuno mazuri mwaka huu. Kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Safari Automotive na ‘mkakati unaotia shaka’: Serikali chukueni hatua

    Wengi mtakuwa mmekutana na matangazo ya Kampuni hii inayomtumia mwanamke/binti akichezea ‘rungu’ la gari lakini matangazo haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii yakiendelea kushika kasi. Si matangazo hayo tu, matangazo yao mengi yamekuwa na mwelekeo flani kwa kutumia mabinti (ambao huenda...
  4. JamiiForums Tanzania Utitiri wa michezo ya kamari maredioni isipodhibitiwa mapema itatuletea kizazi cha wavivu huko mbeleni

    Ukiachana na ile michezo ya ku bet kwa wahindi na kampuni nyingine kwa njia za mitandao ambayo kwa sasa jamii kubwa ni kama imeelewa na kuondoa ile hali ya kuwa na matumaini makubwa ya kushinda na hivyo kucheza kwa kiasi na tahadhari kubwa na hii imekuja baada ya wengi kupigwa pesa bila kupata...
  5. JamiiForums Tanzania Advertising access restricted ndo ujumbe unaokuja ninapohitaji kubost matangazo katika page yangu ya Facebook

    Habari za muda huu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza hapo juu. "Advertising access restricted" ndo ujumbe unaonijia kila ninapohitaji ku-Boost matangazo yangu, So please mwenye ushauri nini nifanye ku-Fix hili tatizo tafadhali anisaidie.
  6. JamiiForums Tanzania Tushirikiane kubandua matangazo ya waganga barabarani

    Kwa wadau wote ebu tuanzishe kampeni ukiona tangazo tangazo la mganga bandua na ulitupe hii itatupeleka kupunguza shiriki kwa binadamu na hawa waganga matapeli wanawaibia watu au kuwatuma watu vitu hatarishi katika maisha mfano ulale na mama yako mzazi sijui au umuingilie mtoto mdogo asiye...
  7. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Bunge kina matangazo mengi yanayopoteza muda

    Bungeni kumekuwa na matangazo mengi na inasababisha muda wa maswali na majibu au kujibu hoja kuwa mdogo. Unaweza ukadhani ni kipindi cha michezo iliyojaa matangazo kila baada ya dk 3. Mfano utambulisho wa wageni usio na tija, wageni kama timu ya mpira kufanya vizuri kupongezwa ni sawa ila...
  8. JamiiForums Tanzania Facebook na Instagram kufichua namna matangazo yanavyowalenga watumiaji

    Kampuni mama ya Facebook Meta imesema itaanza kutoa maelezo hadharani kuhusu namna matangazo watu. Hatua hii imefikiwa ikiwa miezi michache kabla ya uchaguzi wa muhula wa kati nchini Marekeni. Aidha, tangazo hilo linafuatia ukosoaji wa miaka mingi kwamba mitandao hiyo huzuia habari nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Kamari kwenye radio zetu: Waziri mwenye dhamana chukua hatua

    Habari za muda wadau. Mimi ni mdau na msikilizaji wa hizi radio za masafa marefu fm radios Nasikiliza baadhi ya vipindi kwani vipindi vyao vingi havina maudhui niyapendayo ya habari. Utafiti wangu nimegundua kwamba katika vipindi hivi vichache ninavyosikiliza matangazo ya KAMARI NI MENGI SANA...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji Kijana Wa Matangazo Kwa Television

    Habari Wakuu, Nahitaji kijana anayeweza kuzielezea vyema bidhaa zetu za ngozi kwenye vipindi vya television na radio ambavyo tunaalikwa. Akiwa Dar au Kibaha ni jirani na vituo vya television tunavyofanya navyo kazi. Piga 0713-039 875
  12. JamiiForums Tanzania Kama umewahi kupigwa "changa" na matangazo ya ajira, tukutane hapa

    Mwaka mmoja baada ya kuimaliza kidato cha sita, nilirudi nyumbani kuona hali inaendaje. Ups and downs zilipita za kutosha, hatimaye Mwananchi Communication Limited wakatangaza kuwa kampuni ya ATY kutoka Mafinga ina ajira. Maelezo kiasi na malipo ni mazuri, niende na chakula tu na chakula changu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Radio za kidini na Matangazo ya Biashara

    Kwanini redio hizi nazo zinahusika kwenye Matangazo haya ambayo mengi ni ya uongo-uongo? Mfano:"Aaa! jirani unahangaika bure, dawa ni moja tu!(anaitaja) zingine zote fake!
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye link ya group za whatspp za matangazo ajira atupie

    Jamani kama kuna mdau ana link ya group za whatspp zenye matangazo ya ajira atupiee link Tuone kama tunaweza kubahatia kucheki michongo
  15. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

    Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas... Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

    Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara. Mtu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM.

    Fuatilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya Iftar Maalum ya Mayatima na Wajane kupitia Mitandao ya Kijamii ya CCM IFTARI MAALUM YA MAYATIMA NA WAJANE ILIYOANDALIWA NA MA-SHEKH WA MKOA WA DODOMA KUADHIMISHA MWAKA MMOJA WA UONGOZI MHE.RAIS SAMIA SULUHU HASSAN YouTube Twitter Facebook. Pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma ukurasa wa mtandao bila matangazo ya biashara

    Habari wanaJF. Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  20. JamiiForums Tanzania Naona TFF wameondoa rasmi matangazo ya GSM kwenye mitandao ya kijamii

    Wakati TFF inaanzisha ndoa na GSM tuliambiwa na kuonya kuwa hatuhusiki. Lakini baada ya muda tukahusishwa kinyemela. Tunataka sasa kujua hiyo ndoa imevunjika!? Na vipi kuhusu talaka na kugawana mali kwa wanandoa!? Naona kwenye mitandao hamjaweka bango la GSM ndio kusema mnatuona sisi hutujui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…