Wajuzi wa masuala ya fix matangazo ya kazi mitandaoni. Hii inanisunbua sana

Mawematatu

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
468
602
Kwenye picha ni mfano tu, nashawishikaga kuapply nasema au bas...

Nisaidien jamani haya matangazo ya kazi nje ya tz si mara Moja au mbili nakutana nayo yanaukweli gani

Screenshot_20220421-212034.jpg
 
Hutaki kwenda kuishi 'states' mzee?
We apply kwasababu hata kama ni matepeli ili wakutapeli si lazima uwe na cha kutapeliwa
 
Kama kweli ni wanaija,kule zenji penyewe zaina anataka asingizie kaibuwa, aliondoka chumban akiwa pekeake alishindeaje kubeba pesa zake.

Yaani
 
Back
Top Bottom