matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Huku wote ni matajiri?

    Hivi huku wote ni matajiri au? Kwasabu Mimi kilanikileta mada zangu za laki mbili, tatu, Watu wananikejeli. Isije kuwa nimevamia chaka la maboss tu, Wanaohitaji nyuzi zinazo husu bilioni kadhaa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rostam alikimbia nchi, Seth, Rugemalila et al walikaa Gerezani; matajiri hawa wamejifunza nini kuhusu mfumo mbovu wa siasa Tanzania?

    Huwa natafakari Sana kuhusu thamani ya Watu wasio waadilifu, upanda ghafla na kushuka ghafla. Safari ya utajiri wa Rugemalila na Seth unifanya nijiulize haya yote twajilimbikizia ya Kazi Gani kama ayawezi kutumika kutulinda? Rostam afadhali yeye alikimbia nchi, akakamatwa ndugu yake na rundo la...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, Rais Samia ameleta matumaini. Aliyepita aliwachukia wanasiasa, wafanyabiashara, wafanyakazi na wakulima

    Mpk sasa naweza kusema kuwa Rais Samia ana roho nzuri na ana nia njema na taifa hili. Mtangulizi wake alikuwa na mwelekeo wa kuwadidimiza (kuwafukarisha) wafanyabiashara. Alitamka hadharani kuwa matajiri wataishi kama mashetani. Ndipo akaanza kiwazushia tuhuma mbalimbali na kuanza kufunga...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  5. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wenye pesa wakiwa na shida huwa kimbilio lao kwa masikini na kuwasumbua?

    Kuna vitu huwa najiuliza watu wengi wakiwa na pesa hujitenga sana na watu masikini tena hawa masikini hata wakiwatafutaga huwa simu zao hazipokelewi lakini sasa inapotokea watu wenye pesa wana shida basi kimbilio lao la kwanza ni kwa watu masikini. Yaani unashanga mtu kipindi ana pesa alikuwa...
  6. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania PICHA: Tofauti 17 kati ya matajiri na masikini

    Rafiki yangu mpendwa, Kitu ambacho watu wengi huwa hawajui ni kwamba utajiri au umasikini ni matokeo. Na kisababishi cha matokeo hayo huwa ni tabia ambazo mtu anakuwa nazo. Ninachomaanisha ni kwamba hakuna mtu anayezaliwa tajiri au masikini. Bali kila mtu hutengeneza utajiri au umasikini...
  7. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

    SCENARIO Eeh bwana eeh TAMISEMI wametangaza ajira kwa nafasi ya walimu na afya. Kuna jambo limenishangaza sanaa kwenye hizi ajira... FLACK BACK Ila humu ndani raia Zinaponda sanaa walimu. Humu ndani ni kuponda tu, mara walimu hawajielewi, mara walimu masikini na vitu kama hivyo. Hebu cheki...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Utawala wa JPM ulitengeneza mabilionea wa kichina, Uturuki na waarabu, ,Nyerere, Mwinyi Mkapa na JK walitengeneza matajiri wazawa

    Mzalendo wetu JPM alitengeneza mabilionea wa kichina, tenda zote nchi nzima za ujenzi aliwapa wachina au Mayanga, aliwapa waturuki ujenzi wa reli, wamisri ujenzi wa bwawa la Stiglers. Wafanyabiashara wa kitanzania waliozea jela wakati wachina, waturuki wakitamba katika nchi yetu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Trust me, Kama Watanzania wote tungefanya hivi tungekuwa na maendeleo makubwa na matajiri sana

    Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua . Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa...
  10. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania CAG: Watoto wa Masikini wapigwa chini mikopo elimu ya juu, Watoto wa matajiri wala bata

    Hakuna wa kumlaumu kama kwa %kubwa wasiojiweza wamekosa mikopo ili hali wanavigezo. Kwani Mama Mwenye nyumba alishasema " hata watoto wenye uwezo nao wanufaike mikopo" yote hayo ni kupindua mambo aliyofanya Past President kwajuhudi alizokuw akifanya. Na kwasababu alitamki ulitegemea board...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Matajiri waenda anga za mbali na SpaceX kwa nauli ya Tsh. bilioni 127 kila mmoja

    SpaceX imeandaa safari za matajiri watatu wakiwa na wataalamu wao wa anga kwenda anga za mbali ambapo watatumia wiki moja wakitalii sehemu hiyo ya nje ya dunia. Matajiri watatu, mmoja mmarekani, mkanada na muisrael wamelipa Dola milioni 55 sawa na Tsh. Bilioni 127 kila mmoja kwa ajili ya nauli...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wewe sio tajiri ila una hela

    Salam bosses! Mnajua kuna vitu vinafurahisha sana, tena sanaaa[emoji3] Hivi nini maana ya Fogo? Fogo ni mwanaume mwenye fedha nyingi zilizopitiliza uwezo wa wastani wa kipato cha raia wengi wa nchi husika, ambaye pia ana elimu au maarifa ya kutosha. Sambamba na kuwakumbatia wahitaji. Tuelewane...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Ipo haja kwa Serikali kuja na mkakati mahsusi wa kuwawezesha matajiri wa Tanzania

    Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikisafiri njia ya Arusha-Dar na huku nimeshuhudia mabasi maarufu kutoka Mkoa wa Tanga kwenda maeneo mbalimbali nchini hususani Dar. Basi maarufu la "SIMBA MTOTO" limeweza kusurvive regimens kadhaa za uongozi wa kisiasa ikimaanisha hawa ni moja ya legends katika...
  14. aka2030

    JamiiForums Tanzania Wachungaji/Maaskofu/Manabii 10 matajiri sana Tanzania

    1. Josephat Mwingira Utajiri wake unakadiriwa kufikia Tsh bilioni 20 Anamiliki Mashamba zaidi ya hekari 20,000 huko Katavi Kiwanda cha maji Kibaha Mashule Na bank Nyumba yake inakadiriwa kuwa na thamani ya tsh 2.5bilion 2. Geo Darvie Anamiliki magari ya kifahari Nyumba ya thamani ya 1.8 bilion...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Maskini wanalipa kodi ili Matajiri waendelee kuwa matajiri zaidi?

    The poor pay taxes for the rich to grow In 1888, in Chicago A bridge was built to connect two parts of the city. A toll was charged but officials wanted it to be a "progressive" tax. Rich people will pay more to cross. So how could they identify rich and poor quickly? They had an idea, rich...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC nawatahadharisha msiidharau Mbao FC leo kwani hata Wababe na Matajiri wa DTB FC hawakuamini kilichowakuta

    Najua kuanzia katika Karatasi na Jicho la Kiufundi la kila Mdau wa Soka ndani na nje ya Tanzania anawapa Yanga SC 100% ya Kushinda leo dhidi ya Mbao FC katika ASFC, ila TAHADHARI inatakiwa ichukuliwe mno na Yanga SC kwani katika Mpira wa Miguu lolote laweza Kutokea na Mifano ya hili iko mingi...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matajiri halali wa dunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha

    Matajiri halali wadunia wanaotumia elimu za darasani kujitajirisha. 1. ELON MUSK Bachelor of Physics Bachelor of Economics. Utajiri wake aliupata baada ya kuuza program aliyobuni wakati anasoma 2. 3. 4. 5. Tuendelee kuwataja.
  18. Boniphace Kichonge

    JamiiForums Tanzania Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Je Mfalme Mansa Musa kutoka Mali ndiye aliyekuwa tajiri zaidi duniani? 11 Juni 2019 Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos ndiye mtu tajiri zaidi duniani , kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliotolewa wiki hii. Akiwa na mali yenye thamani ya $131bn (£99bn) ndiye mtu tajiri zaidi...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Top 10 Orodha ya Matajiri wakubwa Duniani 2022

    Jarida la Forbes ambalo hutoa orodha ya matajiri duniani wametoa orodha ya matajiri wapya dunia. Hii ni orodha ya matajiri 10 kwa mwaka 2022. 1. Elon Musk mmliki wa kampuni ya tesla na spaceX utajiri wake ni $239.2B lakini ameshuka kwa kiasi cha shilingi $1.9B sawa na asilimia 0.79% ya utajiri...
  20. Little brain

    JamiiForums Tanzania Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

    Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?
Back
Top Bottom