Trust me, Kama Watanzania wote tungefanya hivi tungekuwa na maendeleo makubwa na matajiri sana

Bill Lugano

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
1,186
6,402
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .

Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa inafikia hatua una nguo kali lets say ya usd 3,000. Hujaivaa unakuta anakuchukua anakupeleka tena ukapime suit usd 5,000.

Hapo nyumbani mnalalamika kuwa vyakula vinapikwa vingi na vyote vinawekwa mezani mpaka mnachanganyikiwa hamjui mle nini. Yaani ilikuwa ni shida. Tumeishi kwa mateso sana home.

Tukashaurina na wadogo zangu kuwa inaonekana mzee ameziba masikio tufanyeje.nikatoa wazo tuwashirikishe washauri na wanasheria wetu.

Sisi kwetu tuna walezi/washauri toka tupo wadogo. Wanasheria,wataalamu wa Afya na Biashara.

Basi wakatuambia si issue kubwa. Zile nguo tuwe tunagawa kwa watu wenye uhitaji. Ndo hapo nilipofahamiana na akina Usher Raymond,Chris Brown n.k maana wakawa washkaji wanakuja kugongea nguo za kufanyia shooting videos zao. Tunawaachia.

Suala la msosi washauri wetu upande wa chakula wakawa ndo wanatuchagulia tule nini na wanatupa sababu ya kula. Basi kuanzia hapo tumeacha malalamiko.

Mtu analalamika mafuta yamepanda bei...wakati ilikuwa ni issue ndogo tu ya kuamua kununua magari ya umeme.

Au unatafuta hybrid angalau ya usd 30,000 kipindi hiki ambacho uchumi wako mdogo unasua sua ndo unatumia.

Mnapolalamika sana hata sura zinapoteza nuru. Watanzania wengi ukiwatizama usoni hawana nuru kabisa.

Kila jambo unapoona halipo sawa chukua hatua siyo kulalamika tu. Hakuna waliowahi fanikiwa kwa sababu ya kuishia kulalamika tu
 
Fanya ununue hii nchi uendeshe kwa pesa yako tajiri. Nimetuma barua ya kuomba uchawa najua assistant wako anaibana isifike kwako.
 
Viongozi watanzania maeneo mengi sio problem solver, sio walezi, wazazi, hawatimizi wajibu, hawajui wajibu, hawaelewi hata kwa nini wako kwenye vyeo vyao, controllable na uncontrollable aspects za management hawajui, nguvu ya umma haipo bali kuna mapinduzi dhidi ya umma kila mara kwenye maeneo, viongozi ni authoritative kiasi kwamba hakuna umma mbele yao na umma hauwahusu kbsa. Black to black colonialism ni atomic bom
 
Jambo moja ambalo huwa linanisikitisha sana ni suala la Watanzania na Ulalamishi. Watanzania wanalalamika sana ila hawachukui hatua .

Mimi nlijifunza kuchukua hatua toka nikiwa mdogo. Mzee alikuwa anatuchosha kila mara kutununulia nguo mpya za designers mbalimbali almost kila week. Ilikuwa inafikia hatua una nguo kali lets say ya usd 3,000. Hujaivaa unakuta anakuchukua anakupeleka tena ukapime suit usd 5,000.

Hapo nyumbani mnalalamika kuwa vyakula vinapikwa vingi na vyote vinawekwa mezani mpaka mnachanganyikiwa hamjui mle nini. Yaani ilikuwa ni shida. Tumeishi kwa mateso sana home.

Tukashaurina na wadogo zangu kuwa inaonekana mzee ameziba masikio tufanyeje.nikatoa wazo tuwashirikishe washauri na wanasheria wetu.

Sisi kwetu tuna walezi/washauri toka tupo wadogo. Wanasheria,wataalamu wa Afya na Biashara.

Basi wakatuambia si issue kubwa. Zile nguo tuwe tunagawa kwa watu wenye uhitaji. Ndo hapo nilipofahamiana na akina Usher Raymond,Chris Brown n.k maana wakawa washkaji wanakuja kugongea nguo za kufanyia shooting videos zao. Tunawaachia.

Suala la msosi washauri wetu upande wa chakula wakawa ndo wanatuchagulia tule nini na wanatupa sababu ya kula. Basi kuanzia hapo tumeacha malalamiko.

Mtu analalamika mafuta yamepanda bei...wakati ilikuwa ni issue ndogo tu ya kuamua kununua magari ya umeme.

Au unatafuta hybrid angalau ya usd 30,000 kipindi hiki ambacho uchumi wako mdogo unasua sua ndo unatumia.

Mnapolalamika sana hata sura zinapoteza nuru. Watanzania wengi ukiwatizama usoni hawana nuru kabisa.

Kila jambo unapoona halipo sawa chukua hatua siyo kulalamika tu. Hakuna waliowahi fanikiwa kwa sababu ya kuishia kulalamika tu
Si walisema umepona wewe?
 
The biggest boss, this is too much sasa
 
Back
Top Bottom