Kiungo wa club ya Yanga sc "Mukoko Tonombe' (Teacher) asajiliwa rasmi na matajiri wa Congo DRC "Tp Mazembe''

Doctor Stranger

JF-Expert Member
Oct 31, 2020
4,202
6,143
Mchezaji aliyekua anawekwa benchi na Yanga anakua tegemeo Tp mazembe je inathibitisha yanga ndio timu yenye kikosi kipana east africa nzima?

1643090151289.png
 
Mimi nimeumia Sana kwa kweli.

Jamaa aliipambania Sana team hata pale tulipokuwa hovyo alijitolea jasho na damu

Hii tabia ya kuacha wachezaji kila msimu itatukosti Sana huko kimataifa.

Huyu chico kaja kati kati ya ligi wa nini?

Hawa viongozi wetu ni wasenge Sana mamayo zao.

Wachezaji kama mukoko wanahitajika Sana huko kimataifa..

Haya tupo CAF na bangala akaumia tuanze kumpanga zawadi kweli?

Sometimes management ya yanga naonaga hatupo serious kabisa na mafanikio...
 
Mimi nimeumia Sana kwa kweli

Ukweli mchungu mukoko hakufit kwenye mfumo wa nabi, ni bora mchezaji akatafute changamoto sehemu nyengine kuliko kuharibu carrier yake! na uzuri amepata timu kubwa sio yanakua yale yale ya kina ngassa.
 
....Ungeweza kuchangia/kutoa hoja bila kutumia matusi kama ulivyofanya. Yanga hatunaga kawaida hiyo ya kutoa lugha chafu na kutukana viongozi.
 
Nimeumia sana jinsi uongozi wamefanya kwa mukoko. Huyu ameipigania timu na bado alikua anatamani kuipambania tena sana tu. Mungu mbariki teacher #mukoko wananchi tunakupenda sana
Mpira ni kazi kama kazi nyengine. tangu ligi imeanza amecheza mechi ngapi?
 
Ukweli mchungu mukoko hakufit kwenye mfumo wa nabi, ni bora mchezaji akatafute changamoto sehemu nyengine kuliko kuharibu carrier yake! na uzuri amepata timu kubwa sio yanakua yale yale ya kina ngassa.
Hakufit kwenye mfumo na mechi alizopewa ni chache nakumbuka mechi na ruvu pale taifa ndio alicheza basi nyingine ipi?
Sawa hajafit huko kimataifa tunakotaka kwenda wanahitajika wachezaji kama mukoko ambaye atakuwa tayari kupambania team muda wowote, na hata mechi ile na ruvu alipoingia alifunga goli.

Kumtegemea bangala acheze chini siku akiumia je na huko Caf tunacheza na ahly ahly ndo zawadi anacheza chini si tutaoga magoli?

Unapoona mazembe wanahitaji mchezaji kwetu ujue huyo ni mchezaji kweli kweli ,wao wametupa chiko akacheza winga wakati mawinga wapo weng
Ambundo
Nkane
Farid
Hata saido pembeni anacheza
Moloko
Yacouba aliyeumia
Hao wote bado wameongeza chiko
Tusemeni ukweli
 
Mkuu Its Pancho nadhani eneo la kiungo halina shida maana kuna
Sure boy - huyu namba zote nane na kumi anacheza ipasavyo na ni mzuri kwenye kuforce mashambulizi kwa counter attack.
Zawadi Mauya - DMF/CMF

Ibrahm Bacca-DMF/RB/CB/LB

Farid Mussa - LB,CMF

Fei salum - CMF/AMF
Japo mi mwenyewe imeniuma kwa sababu jamaa alikua anaipenda sana timu.
 
Mapenzi ya mukoko kwa Yanga ni dhahiri kabisa jumlisha na juhudi zake daah nimesikitika ila Mungu atambariki tuu.
 
Back
Top Bottom