Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,268
5,368
278432125_328783739320640_3408857045656943151_n.jpg
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani:

Sababu za Wamarekani kupewa tenda
"Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara mbili New York na Los Angels, sasa mnauliza kwa nini walirekodi wageni na si Watanzania? Unachokifanya lazima uwe na malengo.

"Sisi malengo yetu kwenye filamu hii ni kuifikia dunia na kuiambia fursa zetu za utalii na uwekezaji na biashara, sasa rafiki yangu Ukimchukua Msigwa aende akarekodi hiyo filamu si ataishia kutazama Zungu na nyie Wasafi mtanisifia tu lakini vipi kwenye kuwafikia walengwa?"

Lengo ni wasanii milioni 5 kwa mwaka
"Waliotengeneza filamu wanaenda kuizundulia Marekani, maana yake kule tayari unaanza kuwafikia watu wengi ambao ni walengwa. Tunataka watalii wafike milioni 5 kwa mwaka ikifika mwaka 2025.

"Idadi ya watalii ilishuka mpaka chini ya laki 6 kutokana na Corona.

“Ripoti ya safari hii inaonesha tumeshafikia watalii milioni 1.7 na tunataka tuendeleze hiyo kasi na tunataka pia watu maarufu duniani ambao hawakai Bombambili au Njombe, wako Los Angeles, Newyork, London huko

Hazikutumika fedha za Watanzania
"Tutapata watalii ili tupate fedha za kujenga shule, vituo vya afya na barabara na mahitaji mengine. Gharama alishazisema Mhe. Rais lakini watu wajue tu kuwa hatukutumia fedha za Watanzania. Kwanza wanaoandaa kipindi wana sera yao ya kutotumia fedha za serikali.

"Watanzania tushabikie hii filamu na tunahitaji kumpongeza sana Mhe. Rais katika hili. Miaka ya nyuma tulitaka kufikisha utalii kwenye majukwaa ya kimataifa tukaletewa bili ya mabilioni tukakimbiana."

Source: Wasafi TV

============================

Mwezi uliopita Rais Samia Suluhu Hassan alinukuliwa akisema hivi: "Tulifanya kuchangisha fedha nadhani tulichangisha kiasi cha bilioni 11 ambazo mpaka tunamaliza shooting (Royal Tour) na kila kitu, tulitumia kama bilioni 7 gharama za kila kitu. Haikutoka fedha serikalini ile yote ilikuwa ni kuchangisha mashirika."
 
Msigwa aache uongo. lkn wacha tunyamaze kimya tutunze heshima ya mama (siyo ya serikali)
 
huyuhuyu alibananishwa na DW idhaa yakiswahili akasema nipesa za watanzania leo Tena mashirika

Na alisema ni watanzania wa mashirika mbali mbli na taasisi mbali mbali za serikali wamechangia kugharamia royal tour!
 
Msemaji wa Serikali unasemaje kuhusiana na hili?
Screenshot_20220413-232427.png

Kwanini bado ubalozi wa marekani unaendelea kukataza raia wake kuja Tanzania kwenye website yao??

Je ni kweli kwamba Tanzania tuna korona kwa kiwango cha kutisha namna hiyo.

Je, ni kweli kwamba Tanzania kuna Ugaidi.

Vipi kuhusiana na haki za mashoga??

Hao wamarekani watakuja vipi wakati bado hawajatuondoa katika Orodha ya Nchi ambazo hazipaswi kutembelewa??
 
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani:

Sababu za Wamarekani kupewa tenda
"Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara mbili New York na Los Angels, sasa mnauliza kwa nini walirekodi wageni na si Watanzania? Unachokifanya lazima uwe na malengo.

"Sisi malengo yetu kwenye filamu hii ni kuifikia dunia na kuiambia fursa zetu za utalii na uwekezaji na biashara, sasa rafiki yangu Ukimchukua Msigwa aende akarekodi hiyo filamu si ataishia kutazama Zungu na nyie Wasafi mtanisifia tu lakini vipi kwenye kuwafikia walengwa?"

Lengo ni wasanii milioni 5 kwa mwaka
"Waliotengeneza filamu wanaenda kuizundulia Marekani, maana yake kule tayari unaanza kuwafikia watu wengi ambao ni walengwa. Tunataka watalii wafike milioni 5 kwa mwaka ikifika mwaka 2025.

"Idadi ya watalii ilishuka mpaka chini ya laki 6 kutokana na Corona.

“Ripoti ya safari hii inaonesha tumeshafikia watalii milioni 1.7 na tunataka tuendeleze hiyo kasi na tunataka pia watu maarufu duniani ambao hawakai Bombambili au Njombe, wako Los Angeles, Newyork, London huko

Hazikutumika fedha za Watanzania
"Tutapata watalii ili tupate fedha za kujenga shule, vituo vya afya na barabara na mahitaji mengine. Gharama alishazisema Mhe. Rais lakini watu wajue tu kuwa hatukutumia fedha za Watanzania. Kwanza wanaoandaa kipindi wana sera yao ya kutotumia fedha za serikali.

"Watanzania tushabikie hii filamu na tunahitaji kumpongeza sana Mhe. Rais katika hili. Miaka ya nyuma tulitaka kufikisha utalii kwenye majukwaa ya kimataifa tukaletewa bili ya mabilioni tukakimbiana."

Source: Wasafi TV

============================

Mwezi uliopita Rais Samia Suluhu Hassan alinukuliwa akisema hivi: "Tulifanya kuchangisha fedha nadhani tulichangisha kiasi cha bilioni 11 ambazo mpaka tunamaliza shooting (Royal Tour) na kila kitu, tulitumia kama bilioni 7 gharama za kila kitu. Haikutoka fedha serikalini ile yote ilikuwa ni kuchangisha mashirika.

hazikutumika fedha za Watanzania bali zilitumika fedha za Burundi.​

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom