matajiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Matajiri walioko Afrika, kwanini hawamiliki vyombo vya anga?

    Nikiangalia kwa mabara ya wenzetu, kwao matajiri kumiliki ndege binafsi ni kitu cha kawaida; sasa najiuliza kwa huku kwetu, tatizo ni nini? Ni kwamba, hawana hela za kununua hivyo vyombo au ni kutokana na gharama kuwa kubwa za kiuendeshaji? Kwa sababu usafiri na majengo, wengi wanamiliki...
  2. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kodi za maskini nchi hii zinatumiwa na matajiri

    Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome ndugu Mushi.... 88888888888888 Na Thadei Ole Mushi Kama kuna jambo ambalo nitasimama kidete...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuweka au Kutokuweka WhatsApp status: Kuna uhusiano na mtu kuwa smart, msomi au tajiri?

    Kuna kasumba naona imezidi kushamili kuwa mtu aliweka status kwenye simu ni mtu ambaye sio smart maana mwanaume au mwanamke mwenye heshima zake humkuti na mambo ayo ya status kwenye simu au kuwa online mara kwa mara au pia kuwepo kwenye magroup. Je, hili lina uhalisia wowote?
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TOP 10: Wanasoka matajiri zaidi Duniani 2022

    Messi, Ronaldo na Neymar wanaweza kuwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi lakini thamani yao ya jumla iko chini kwa mwanasoka tajiri zaidi Duniani. Faiq Bolkiah - mtoto wa Mwana wa Mfalme wa Brunei - mwenye utajiri wenye thamani inayokadiriwa kuwa $20 bilioni (zaidi ya Tsh. Trilioni 46)...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tukiwekeza kwa matajiri wanaotokana na viwanda na kilimo, umasikini utakuwa ni historia

    Mtazamo wangu; Kama tukichukua matajiri wakubwa 1000 wanaotokana na umiliki wa viwanda; viwe vya kati au vikubwa. Pamoja na matajiri 1000 wanaotokana na kilimo; wakapewa sera nzuri ya kodi, sera nzuri kwa masoko ya nje, sera nzuri katika kuagiza vipuli, na wakawezeshwa kwenye mitaji ya...
  6. Mayova

    JamiiForums Tanzania Ni kweli biashara ya duka haisongi bila ushirikina?

    Jamani naombeni mniambie ukweli kwa wale wazoefu. Hivi ni kweli huwezi kufanya biashara ya duka bila uchawi au biashara yeyote bila kuhusisha waganga wakienyeji?
  7. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kujiuliza kwanini wanawake matajiri ni wachache sana duniani?

    Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao. Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17. ✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14. Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya...
  8. JITU LA MIRABA MINNE

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na masikini ndiyo wanaoanguka mapepo makanisani na siyo matajiri na wanaume?

    Haya maswali sijawah pata jibu, hebu nisaidiane wananzengo!
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Vifo vya matajiri Urusi vyaendelea, mwingine aanguka toka kwenye dirisha la hospitali

    Haijafahamika nani anayewaua na kwa nia gani, kwa kweli Putin anatumbukiza nchi pabaya... The chairman of Russia's Lukoil oil giant, Ravil Maganov, has died after falling from a hospital window in Moscow, reports say. The company confirmed his death but said only that Maganov, 67, had "passed...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza Uchaguzi wa Kenya: Tuwape nafasi Matajiri na Watafutaji

    Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia Wakenya sio waumini sana wa...
  11. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

    Katika hali isiyo ya kawaida vurugu zimeibuka katika msiba wa watoto wawili wa matajiri jijini Arusha ambao walikuwa ni wachumba waliofariki ajalini jana ambapo zimepelekea mwandishi wa habari kutoka AyoTV kunyang’anywa camera. Mbali na kunyang’anywa camera mwandishi huyo alinyang’anywa kadi...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

    Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo. Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana. Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu upotoshaji kuwa "Wasomi hawaajiriki", hebu tuwatambue matajiri wasomi

    UPOTOSHAJI "WASOMI HAWATAJIRIKI" EBU TUWATAMBUE MATAJIRI WASOMI DEGREE LEVEL Kwangu mm nauona huu ni upotoshaji mkubwa na wenye madhara kwenye jamii yetu.. Nachojua ni kweli wasio wasomi kwa ujumla ni more risk taker kulinganisha na wasomi lakini hii pekee sio factor ya ku generalise...
  14. system hacker

    JamiiForums Tanzania Mbona nyuzi za utajiri zinaletwa zaidi na watu maskini badala ya kuletwa na watu matajiri?

    Yaani wanaotoa elimu zaidi jinsi ya kupata utajiri ni watu maskini hahahahaha. Kwa nini watu matajiri wasitoe nyuzi za jinsi ya kupata utajiri na kuondokana na umaskini? Halafu nao maskini watoe experience yao kwenye umaskini? Sasa, unamkuta maskini ana full info za utajiri na umaskini at the...
  15. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Sera ya matajiri wakubwa nchini kuwa Raia wenye asili fulani na kazi fulani iwe yenye malipo makubwa zibadilike!

    Wakuu Poleni na majukumu. Katika kitabu cha Ndugu yetu Reginald Mengi alichochapisha KABLA hajaitwa na Baba mwenyezi. Kitabu cha I can,I must and I Will kilieleza wakati ngumu Sana aliopitia na vikwazo vyake alivopitia wakati wa harakati zake kiuchumi enzi za uhai wake!Moja Kati ya malalamiko...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania mnafahamu kwamba wanaotukopesha (matajiri) wanafanya kazi saa ishirini na nne? Sisi tunakwama wapi kuruhusu biashara 24hrs?

    Jeshi la Polisi wanapiga marufuku wanafanya biashara ya usafirishaji abiria kufanya kazi masaa ishirini na nne lakini wao wapo kazini masaa ishirini na nne wanamlinda nani?Kwanini tumekariri kwamba tunapaswa kuwa na mfumo wa kufanya kazi Mchana pekee? Kwanini Polisi wasisimamie usalama wa...
  17. Playgod

    JamiiForums Tanzania Bado na haso

    Wana tupige kazi aisee njaa mbaya
  18. Playgod

    JamiiForums Tanzania Matajiri wenzangu

    Tupeane mbinu ya kuzidi kukuza utajiri
  19. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Matajiri Wahindi na Waarabu watufundishe weusi kuhusu mirathi na mali kugawana bila ugomvi. Yasijirudie ya Mengi na Mama Lwakatare mbeleni

    Habari wadau. Hivi wahindi na waarabu wanatumia mbinu gani ya kumaliza mirathi zao bila ugomvi na huku watoto wanazaa wengi na waarab wanaoa wake wengi. Vifo vya mabilionea wa kitanzania wenye asili ya kihindi na kiarab ni vingi ila hatusikii wakigombea mali zao Ila sisi weusi kila tajiri...
Back
Top Bottom