maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kabla hujamkopesha mtu pesa jiulize maswali haya ili usiingie kwenye majuto baadaye.

    Habari! Watu wa zama hizi, wa mjini na vijijini wengi hawana aibu kumkopa mtu. Uvumilivu katika matatizo yanayohitaji pesa haupo. Mtu ukimsimulia mafanikio yako au mipango yako tu umemfungulia mlango wa kukukopa. Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa wanaokopeshana kienyeji(kindugu na kirafiki)...
  2. Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

    ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
  3. J

    Majibu ya maswali mbalimbali yaliyoteka mjadala wa chanjo ya corona kuletwa nchini

    MAJIBU YA MASWALI MBALIMBALI YALIYOTEKA MJADALA WA CHANJO YA CORONA KULETWA NCHINI Toka Serikali kupitia kwa Kamati maalum aliyoiunda Rais Samia Suluhu Hassan itangaze uamuzi wa kuruhusu chanjo kuja na toka chanjo iingie nchini, kumezuka mjadala mkubwa sana kwa Watanzania, kila mtu akisema lake...
  4. Jeshi la Polisi, naomba mtujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe

    Jeshi la Polisi hatimaye limemfikisha Mbowe mahakamani Kisutu "kisirisiri" likimtuhumu kwa Makosa ya jinai ya ugaidi. Naliomba Jeshi hilo litujibie maswali yafuatayo kuhusu ugaidi wa Mbowe. 1. Ni kwanini wamempeleka mahakamani Kisutu kisirisiri, bila kumuarifu yeye mtuhumiwa, ili aweze kutumia...
  5. M

    Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  6. Maswali PART 1: Jipime uelewa kwa kujibu maswali haya (In English) ; kuwa mkweli usigoogle

    Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa). 1/ Which grows faster? A. Hair B. Finger C. Nails 2/ I have a dream A. Nelson Mandela B. Barrack Obama C. Martin Luther King Jr. 3/ In which...
  7. Nyerere alivyojibu maswali ya Eleanor Roosevelt (First lady) wa Marekani mwaka 1959

    Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu. Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la...
  8. Mitandao ya Simu acheni kutulia hela zetu, hivi kweli mtu anaweza kushinda bahati nasibu kwa kujibu haya maswali?

    Eti wanakuuliza Ruby ni a)Mwanamuziki b) Mkulima Huu ni utapeli wa kula vocha za watu.
  9. Je, una ndoto za kusoma nje ya nchi hususan Sweden? Niulize swali nitakujibu ninachokifahamu

    Amani iwe nanyi Wakuu, Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
  10. Tujuzane kuhusu E-commerce [Maswali, Shuhuda, Ideas]

    Habari wakuu, Nimeona sio mbaya ukiwepo uzi ambapo E-commerce kama biashara nyingine, inaongelewa kwa kina kidogo. Tuulizane maswali, tupeane ma experience, changamoto, takes, nk. [emoji362] E-Commerce: "Kuuza na kununua bidhaa kutumia Internet.
  11. Museveni is very ill and admitted in a hospital here in Nairobi

  12. Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano...
  13. Natumai wote tumeshamaliza 'Kuushangaa' Utezi wa Mama, sasa kama JF 'Great Thinkers' jibuni Maswali yangu haya....

    1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka? 2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana? 3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally ) kuwa Wakuu wa Wilaya ni Political Failure au Political Success? 4. Je, ni kweli kwamba kila Mtu tu (...
  14. M

    Maswali yanayohusu kabila na dini kwenye vyombo vya dola yanaashiria ubaguzi

    Maswali unapoenda polisi una shida labda umepoteza vitambulisho au shida nyingine tu, unaulizwa eti kabila gani, dini gani maswali hayo ameyatilia shaka kuwa yana viashiria vya ubaguzi. Hata Mimi sioni kama yana tija badala yake naona wangehoji eneo analotoka mteja wao ili kuweka takwimu...
  15. Najiuliza maswali sipati majibu!

    Kila nikimuona huyu mtu najiuliza maswali sipati majibu. Nilianza kumuona siku za mwisho za Hayati akiwa na bango kama hilo likimsifia Hayati. Sasa hivi namuona na bango la Mama.
  16. Kauli za Chalamila zinazua maswali mengi

    CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI. Na Robert Heriel. Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli? Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu...
  17. F

    Mwanamke jiulize haya maswali kabla hujafunga ndoa?

    Mwanaume kwenye ndoa ama mahusiano serious anawajibika kumfanyia mwanamke mambo mengi, mwanamke jiulize kitu gani uta offer in return tofauti na papuchi? Mwanaume anapaswa kufanya mengi yakiyomo haya. 1. Kumlisha mke wake ama mpenzi. 2. Kumtibia mke wake ama kuwajibika kumlipia huduma ya afya...
  18. Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

    Yapo maswali muhimu ya kuendelea kujuliza kuhusu chanjo ya kirusi cha corona. Ieleweke kuwa jamii ya virusi vya mafua imekuwepo nchini Tanzania kwa muda mrefu. Hakuna mtanzania ambaye hajawahi kuugua mafua japo mara mbili kila mwaka. Ni ukweli usio shaka kwamba Tanzania na dunia imekuwa...
  19. Z

    Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  20. Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…