maswali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    Kijana wa Nigeria ajiuliza maswali magumu akiwazia hukumu ya kaburi

    "Kwa hiyo nikifariki malaika wawili watakuja kwenye kaburi langu na kuanza kuniuliza maswali kwa Kiarabu. Ikiwa nitashindwa kuelewa, watanitesa kijana wa kiYoruba kwa sababu tu ya kushindwa kuelewa Kiarabu kaburini? 😂"
  2. Johnny Impact

    Waislamu nijibuni haya maswali

    Quran ni kitabu kilichokamilika na hakina mashaka ndani yake 1. Issa alizaliwa chini ya mtende. Wapi? Quran 19:22 - 23 Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali. Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye...
  3. Isenye

    Maswali ya oral interview Tanzania Commercial Bank,nafasi ni Relationship officer ii.

    Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
  4. M

    Karibu ukope, maswali ya kujiuliza kabla ya kuja kukopa

    Karibu ukope, maswali ya kujiuliza kabla ya kuja kukopa Habari Nikiwa kama mtoa huduma za mikopo mbali mbali kuna vitu au maswali ambayo ningependa mkopahi anapokuja kukopa awe amekwisha fanya tathmin yeye mwenyewe kwanza kabla ya kuja kukopa. Swali la kwanza Ninahitaji sh ngapi? Hili ni...
  5. Dalton elijah

    Ni ukweli kuwa “Taifa linaloogopa kuuliza maswali, huogopa kujijenga”

    Kauli isemayo “Taifa linaloogopa kuuliza maswali, huogopa kujijenga” ni tafakari nzito kuhusu umuhimu wa udadisi, uwazi, na uhuru wa maoni katika maendeleo ya nchi. Katika muktadha wa Tanzania ya sasa, kauli hii inatoa taswira ya mivutano kati ya jitihada za kimaendeleo na utamaduni wa kuhoji...
  6. Mshana Jr

    Maswali fikirishi juu ya uuzwaji wa dhahabu yetu

    Je dalali ni nani? Je atawekwa wazi? Atakula bei gani? Je kiwango atakacholipwa kitawekwa hadharani? Nani katoa connection? Atakula bei gani? Je itauzwa kwa bei ya soko? Je hakutakuwa na michezo ya upigaji? Kwenye bei, kwenye ujazo, kwenye idadi kwenye gharama za mauzo? Hili ni dili la...
  7. Keynez

    Msiba wa dada mkwe unaibua maswali mengi yanayohitaji majibu

    Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu. Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake? Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...
  8. generationn Z

    Maswali tata wakati wa maandamano

    maswali.... 1-Miji mingi imekuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani tena katikati mjini. je wakati wa maandamano waliamia ktk makazi yapi mbali na mitaroni nk.? 2-kwa Mwanza na Dar es salaam nimewai ona kundi la mbuzi wakizurula wenyewe humo mjini pasipo kushambuliwa na binadamu. je kwa...
  9. T

    Maswali ya usahili Tume ya Madini

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Mwenye maswali ya usahili Uhandisi wa Uchimbaji Madini (Mining Engineering II) naomba anisaodie. Natanguliza shukrani.
  10. Scott junior

    Nina maswali kadhaa hapa

    1. Kwanini ulimwengu unaonekana umetengenezwa mahsusi kwaajili ya kuishi? Constants za fizikia kama gravity, strong force, proton mass n.k. ziko sahihi mno. Kwa nini kila kitu kiko "timing" ya kutosha kutuwezesha kuishi? 2. Iwapo ubongo ni kemikali tu, kwanini unafikiri unapaswa kuiamini akili...
  11. Mafyangula

    Padri awabana maswali mazito wanandoa katika kati ya ibada. Ukisikia kukabia juu ndio huku

    Huyu Padri ni kiboko amewabana maswali ya wanandoa hali iliwashangaza wengi huku wakijikuta wakisubiri majibu hayo, alinza kumuuliza bwana harusi je umemchagua huyo mke kati ya wanawake wangapi jamaana akajiuma lakini akasema ni watano, Naye bi harusi naye akasema watano. Hii nimeipenda sana...
  12. W

    Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia “mifumo ya AI” ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  13. J

    Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Habari, Leo tujifunze kitu hapa. Sehemu ya majibizano ya kujenga uelewa wa biashara ya spea za pikipiki kwa aliyetutafuta kwaajili ya consultation!
  14. R

    PostGE2025 Golugwa: Jambo TV wamefuta kipengele cha Maswali ya Salim Kikeke kwa Waziri Mkuu Mwigulu

    Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
  15. Nyani Ngabu

    Samia kwanini unakwepa haya maswali?

    …………
  16. H

    Kama Mama hahusiki na kutoa amri za mauaji Kuna maswali yangu hapa

    Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha? La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
  17. The unpaid Seller

    Kuhusu kutekwa kwa Hamphrey Polepole, kuna maswali yanakosa majibu kwangu

    Wakuu regards kwenu, Wote tonajua jinsi ndugu Polepole alivyo jiweka hatarini kuanzia kujiuzuru mpaka kuibua maovu mengi ya ndani ya serikali. Ni dhairi shairi alijua hatari kubwa iliyomzunguka ukizingatia nyakati tulipo utekaji na mauaji yameongezeka sana sana i.e ni juzi tu mzee Ally Kibao...
  18. I

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  19. Godfrey- denis

    Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
Back
Top Bottom