Alaaniwe mtu anayepanga na kuchoma masoko DSM

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,195
11,229
Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu. Hawa niwavuja jasho masikini wanahangaika kupata mehemeo ya watoto wao masikini hawana pakwenda leo kila siku wanachomewa masoko na kutunga story hazina kichwa why for 6 years back huu ujinga haukuwepo.

Mbona pale Kisutu watu walikubali kwa amani waka hama na jengo likaje gwa na wamerudi... Ina kuwaje masoko yanaungua kila kukicha na hakuna mamlaka inawajibika hivi kweki mnafikiri watu ni wajinga kiasi cha kutojuwa nini kina endelea au mnafikiri uwovu huu utapita salama bila kuwarudia wapangaji? Je hamjuwi kuna karima?.

Wewe mtu unayepanga na kuchoma moto either kwa kutaka kufurahisha watu na kuonyesha unaweza kwa kuumiza maelfu ya familia naomba kutangaza hutochoma tena masoko, kama Mungu anavyoishi vilio na machungu ya watu wanachomewa mitaji yao tangu Kariakoo, Mchikichini na sasa TAZARA nataka kusema hutochoma na machozi haya ya watu you have to pay the price. Amen

Pia soma:
Soko la Vetenari lililoko maeneo ya TAZARA linateketea kwa moto

Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022
 
Life is not fair

Hakuna usawa ndugu....

Find alternative kama ww ni muhanga wa moto.

Ukisubiria mungu akulipie, i swear utasubiri sana.
 
Ifike mahali tuseme inatosha na kusema sasa ni muda watu kujua kuna Mungu.

Wewe mtu unayepanga na kuchoma moto either kwa kutaka kufurahisha watu na kuonyesha unaweza kwa kuumiza maelfu ya familia naomba kutangaza hutochoma tena masoko...
Alikuwa wapi huyo mungu wakati waAfrika mamilioni kwa mamilioni wakiuzwa utumwani kwenye mateso makali kwa mamia na mamia ya miaka? Tupambane tu kiuhalisia , na si kusubiri miujiza.
 
Mkuu
Huu ujinga
Ulishamiri Sana enzi za jk
Wakati wa jpm
Sikuuona
Sasa naona KWA Huyu Mama


Huu ni Mpango maalumu wa wanaoitwa wawekezaji
TUSUBIRI!!
Hayo maeneo ni prime investment areas, watu wanayataka kwa nguvu, wanashangaa nyinyi mnavyokomaa kupanga nyanya kwenye maeneo kama hayo
 
Mkuu
Huu ujinga
Ulishamiri Sana enzi za jk
Wakati wa jpm
Sikuuona
Sasa naona KWA Huyu Mama


Huu ni Mpango maalumu wa wanaoitwa wawekezaji
TUSUBIRI!!
Una shida sehemu,wakati wa magu shule za waislam zimeungua Sana..Kuna mtu anaonesha umwamba
 
Wanaechoma masoko ni wale wanuaika baada ya zoezi hilo. Wapo kila karibu na soko husika, mnashindwa vipi kuwaelewa.
 
Na wachina shule za waislam ni akina Nani!?
Wanufaika na zoezi hilo, IQ yako itumie vizuri. Kwani hakuna tenda ya ujenzi hapo itakuja? Haya wanafunzi wenye chuki na walimu, wasiopenda masomo, hawajajiandaa kufanya mitihani wakitekeleza jambo lao hawatafaidika? japo hasara yake kubwa kwao wanaangalia kafaida upande wao.
 
Alikuwa wapi huyo mungu wakati waAfrika mamilioni kwa mamilioni wakiuzwa utumwani kwenye mateso makali kwa mamia na mamia ya miaka? Tupambane tu kiuhalisia , na si kusubiri miujiza.
Hujuwi Wazungu wanalipa price na hii misaada nikama kuomba radhi.....
 
Back
Top Bottom