Kilimo na Masoko ya mkonge

Jun 7, 2022
14
21
UTANGULIZI…

-Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi.

MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO

-Mwaka 2019 Serikali ilitangaza zao la mkonge kuwa moja kati ya mazao 7 (saba) ya kimkakati hapa nchini.
-Kufuatia hatua hiyo, Serikali imeiagiza Bodi ya Mkonge Tanzania kwa kushirikiana na wadau wote kuhakikisha kuwa uzalishaji wa zao la mkonge unaongezeka kutoka Tani 36,000 mwaka 2019 kufikia Tani 120,000 ifikapo mwaka 2025.

Mkakati huu utahusisha maeneo mahusui 7 (saba):

1.Mpango wa kuhamasisha na kushirikisha wakulima wadogo (Bahia model)
2.Mpango wa upatikanaji wa Ardhi/Mashamba
3.Mpango wa upatikanaji wa Mashine/zana za kilimo na uanzishaji wa viwanda vya kuchakata mkonge na utengenezaji wa bidhaa za mkonge.
4.Mpango wa kutumia mbinu bora za kilimo cha Mkonge
5.Mpango wa Utafiti
6.Upatikanaji wa Masoko
7.Upatikanaji wa mbegu bora

MADARAJA YA SINGA ZA MKONGE
Kwa sasa mkonge unazalishwa katika madaraja yafuatayo

1.3L- Urefu usiopungua 90cm, iliyopigwa kayamba vizuri nyeupe isiyo na mabaki/uchafu
2.3S-Urefu kati ya 60cm na 90cm iliyopigwa kayamba vizuri nyeupe isiyo na maganda/uchafu
3.UG- Urefu kati ya 60cm-90cm iliyopigwa kayamba vizuri ila rangi inaweza kuwa weupe uliyofifia, aidha inaweza kuwa na maganda
4.SSUG- Urefu ni chini ya 60cm iliypopgwa kayamba ila inaweza kuwa na rangi isiyo na mng’ao
5.UF- Urefu unaweza kuwa 60cm na kuendelea ila rangi ni kahawia na wakati mwingine inakuwa na mabaki

6.TOW 1 & TOW 11- Hizi ni singa zinazotokana na kayamba kwa hayo madaraja mengine

7. Flume Tow- Hili daraja linatokana na mabaki baada ya kuchakatwa kwenye machine, huchambuliwa na kuanikwa

MASHINE ZA KUSINDIKA MKONGE
-Madaraja ya Mkonge kwa kiasi kikubwa yanategemea na aina ya mashine iliyotumika kusindika
-Korona kubwa(stationery decorticator)
-Korona ya kati( Mobile crane)
-Korona ndogo( Raspador)

MASOKO YA MKONGE
-Mahitaji makubwa ya mkonge kwa sasa ni kuzalisha bidhaa mpya kama vile composite kwa ajili ya viwanda vya magari na shughuli za ujenzi, Sukari, pombe kali, karatasi maalum n.k .

Mkonge katika Magari
1654952161687.png

Mkonge kwa ujenzi wa nyumba bora

1654952252250.png

Umeme mkonge
Mtambo wa Kuzalisha umeme unao tokana na mabaki ya Mkonge ( Shamba la Hale Korogwe Estate)
1654952329383.png

1654952510152.png

Mtambo wa kuzalisha gesi itokanayo na mabaki ya Mkonge (Kijiji cha Manala Magu) Mkulima mdogo

Mkonge kwa ujenzi wa nyumba bora
Nyumba zilizojengwa kwa matofali ya Mkonge –Addis Ababa Ethiopia
1654952690772.png

1654952787384.png

1654952813580.png

SYRUP YA MKONGE
1654952846702.png

-Kwa takribani 50% ya mkonge unaozalishwa huuzwa katika viwanda vya ndani kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za asili kama kamba, zulia na magunia.
-Aidha, 50% iliyobaki huuzwa nje ya nchi na wanunuzi wakuu wa mkonge wa Tanzania ni China, Saudi Arabia, Nigeria, India, Uhispania, Ujerumani, Moroko, Japani ,Kenya na Israel.

MASOKO NA USHIRIKA
i. Wakulima wadogo wanahamasishwa kujiunga na AMCOS
ii. Bodi inawaunganisha na masoko moja kwa moja
iii. 3L-4,100,000
iv. 3S-3,850,000
v. UG-3,700,000
vi. SSG- 3,150,000
vii. TOW I-2,000,000
viii. TOW II-1,550,000
xi. UF-1,600,000

MATUMIZI YA MKONGE
1654953170180.png

1654953286318.png

1654953726008.png
1654953770297.png
Kwa Mawasiliano Zaidi kwaajili ya Maswala ya Masoko Piga Simu +255713479269
Utafiti na agromia ya zao la Mkonge ni +255674086892
KARIBU TUKUHUDUMIE.............................................................
 
Attachments

  • 1654952744683.png
    1654952744683.png
    118.1 KB · Views: 45
UTANGULIZI…

-Kutokana na mabadiliko ya tabianchi yaliyopo sasa, zao hili linaweza kuwa mbadala kwa maeneo ya vijijini kwani zao la Mkonge lina sifa za kustahimili hata kwenye maeneo ambayo mazao mengine hayawezi kustawi.

MKAKATI WA KUENDELEZA ZAO

-Mwaka 2019 Serikali ilitangaza zao la mkonge kuwa moja kati ya mazao 7 (saba) ya kimkakati hapa nchini.
-Kufuatia hatua hiyo, Serikali imeiagiza Bodi ya Mkonge Tanzania kwa kushirikiana na wadau wote kuhakikisha kuwa uzalishaji wa zao la mkonge unaongezeka kutoka Tani 36,000 mwaka 2019 kufikia Tani 120,000 ifikapo mwaka 2025.

Mkakati huu utahusisha maeneo mahusui 7 (saba):

1.Mpango wa kuhamasisha na kushirikisha wakulima wadogo (Bahia model)
2.Mpango wa upatikanaji wa Ardhi/Mashamba
3.Mpango wa upatikanaji wa Mashine/zana za kilimo na uanzishaji wa viwanda vya kuchakata mkonge na utengenezaji wa bidhaa za mkonge.
4.Mpango wa kutumia mbinu bora za kilimo cha Mkonge
5.Mpango wa Utafiti
6.Upatikanaji wa Masoko
7.Upatikanaji wa mbegu bora

MADARAJA YA SINGA ZA MKONGE
Kwa sasa mkonge unazalishwa katika madaraja yafuatayo

1.3L- Urefu usiopungua 90cm, iliyopigwa kayamba vizuri nyeupe isiyo na mabaki/uchafu
2.3S-Urefu kati ya 60cm na 90cm iliyopigwa kayamba vizuri nyeupe isiyo na maganda/uchafu
3.UG- Urefu kati ya 60cm-90cm iliyopigwa kayamba vizuri ila rangi inaweza kuwa weupe uliyofifia, aidha inaweza kuwa na maganda
4.SSUG- Urefu ni chini ya 60cm iliypopgwa kayamba ila inaweza kuwa na rangi isiyo na mng’ao
5.UF- Urefu unaweza kuwa 60cm na kuendelea ila rangi ni kahawia na wakati mwingine inakuwa na mabaki

6.TOW 1 & TOW 11- Hizi ni singa zinazotokana na kayamba kwa hayo madaraja mengine

7. Flume Tow- Hili daraja linatokana na mabaki baada ya kuchakatwa kwenye machine, huchambuliwa na kuanikwa

MASHINE ZA KUSINDIKA MKONGE
-Madaraja ya Mkonge kwa kiasi kikubwa yanategemea na aina ya mashine iliyotumika kusindika
-Korona kubwa(stationery decorticator)
-Korona ya kati( Mobile crane)
-Korona ndogo( Raspador)

MASOKO YA MKONGE
-Mahitaji makubwa ya mkonge kwa sasa ni kuzalisha bidhaa mpya kama vile composite kwa ajili ya viwanda vya magari na shughuli za ujenzi, Sukari, pombe kali, karatasi maalum n.k .

Mkonge katika Magari
View attachment 2257387
Mkonge kwa ujenzi wa nyumba bora

View attachment 2257391
Umeme mkonge
Mtambo wa Kuzalisha umeme unao tokana na mabaki ya Mkonge ( Shamba la Hale Korogwe Estate)
View attachment 2257396
View attachment 2257404
Mtambo wa kuzalisha gesi itokanayo na mabaki ya Mkonge (Kijiji cha Manala Magu) Mkulima mdogo

Mkonge kwa ujenzi wa nyumba bora
Nyumba zilizojengwa kwa matofali ya Mkonge –Addis Ababa Ethiopia
View attachment 2257409

View attachment 2257411
View attachment 2257414

SYRUP YA MKONGE
View attachment 2257415

-Kwa takribani 50% ya mkonge unaozalishwa huuzwa katika viwanda vya ndani kwa ajili ya kutengeneza bidhaa za asili kama kamba, zulia na magunia.
-Aidha, 50% iliyobaki huuzwa nje ya nchi na wanunuzi wakuu wa mkonge wa Tanzania ni China, Saudi Arabia, Nigeria, India, Uhispania, Ujerumani, Moroko, Japani ,Kenya na Israel.

MASOKO NA USHIRIKA
i. Wakulima wadogo wanahamasishwa kujiunga na AMCOS
ii. Bodi inawaunganisha na masoko moja kwa moja
iii. 3L-4,100,000
iv. 3S-3,850,000
v. UG-3,700,000
vi. SSG- 3,150,000
vii. TOW I-2,000,000
viii. TOW II-1,550,000
xi. UF-1,600,000

MATUMIZI YA MKONGE
View attachment 2257420
View attachment 2257423

View attachment 2257429
View attachment 2257431
Kwa Mawasiliano Zaidi kwaajili ya Maswala ya Masoko Piga Simu +255713479269
Utafiti na agromia ya zao la Mkonge ni +255674086892
KARIBU TUKUHUDUMIE.............................................................
Asante sana! upo wapi ningependa kujifunza kwako mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom