mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. Faith Kipyegon ainyakulia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu kwenye mashindano ya World Athletics Championships, Oregon22

    Siku ni ya nne ya mashindano hayo ya riadha(IAAF), ambayo yanaendelea kule mji wa Oregon, USA. Kenya tayari ina medali zingine mbili, moja ya fedha na nyingine ya shaba. NAIROBI, Kenya, Jul 19 – Faith Kipyegon underscored her status as the greatest 1500m athlete of all time with an imperious...
  2. Mashindano ya Dunia ya Riadha yanayofanyikan Oregon Marekani na uhusika wa Tv za bongo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za Tanzania nilikosa nikafanikiwa kuyaona live kwenye channel ya Kenya iitwayo KBC Nilishangaa kumwona...
  3. M

    KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  4. Timu aliyotoka Augustine Okrah (Bechem) haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF

    Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo). Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata kuchukua kombe la africa kabisa mwaka 1998 na kubeba super cup yake 1999.
  5. Mashindano ya draft Mbeya kutoa muwakilishi

    Mfumo wetu wa ligi utakuwa kama ifuatavyo 1. Ligi itakuwa ya makundi kwa maana yatakuwepo makundi ma nne kila kundi litakuwa na wachezaji wasio punguwa watano 2. Kila kundi litatoa wachezaji wa wili jumla watakuwa 8 wataenda moja kwa moja kwenye robo 3. Aina ya michezo itakayo chezwa kwenye...
  6. Kuelekea mashindano ya Taifa ya Draft

    Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo makubwa . Mabingwa Kama Cr7, Noel, dogo Sisco, Gaidi, Dogo Ally, dogo Yassin, Saiya, Omary Kiwende...
  7. Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

    1. SIFA ZA WASHIRIKI 1. Mshiriki awe raia wa Tanzania. 2. Mshiriki awe ameshawahi kucheza ligi tofauti tofauti kubwa zilizowahi kuchezwa miaka ya hivi karibuni (2020-2022) 3. Awe amepitishwa na mkoa wake 4. Kabla ya kuingia kwenye mashindano lazima mchezaji athibitishe uwepo wake kabla...
  8. Wanariadha 4 wa Tanzania, Waangukia Pua huko Kenya

    Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika nafasi ya Mwisho kwenye Mbio za Mita 800. Maandalizi ya Mashindano ya Riadha Bado ni But Sana...
  9. Dunia inaogopesha ila wewe Usiogope, Maisha sio mashindano

    DUNIA INAOGOPESHA ILA WEWE USIOGOPE 02! MAISHA SIO MASHINDANO Anaandika Robert Heriel, Umekata tamaa, hauna tumaini, mambo yote yameenda Kombo, kila ulichokuwa unakitumainia kimekusaliti, kila uliyekuwa unamuamini amekugeukia, dunia imekupiga kikumbo, hakuna yeyote aliye Kwa ajili yako...
  10. L

    Mashindano ya 21 ya "Daraja la Kichina" ya wanafunzi wa vyuo vikuu duniani yafanyika nchini Ufaransa

    Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
  11. Siku 1: Watanzania Waangukia Pua kwenye Mashindano ya EAAR, Dar

    Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar. Matokeo yanaonyesha Ethiopia na kenya ndizo zinashikilia usukani kwa siku ya kwanza (Jana), Leo...
  12. Mashindano ya Miss Rwanda yahairishwa

    Shindano la urembo la Miss Rwanda limesitishwa baada ya mwandaaji wake Dieudonné Ishimwe kukamatwa mwishoni mwa mwezi Aprili kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono. - Ishimwe, 36, mwanamuziki wa zamani aliyefahamika pia kama Prince Kid, anakabiliwa na mashtaka ya ubakaji, kuomba au kutoa upendeleo...
  13. Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Tunajua sote jinsi mchezo huu ulivyo muhimu kwa Simba na Taifa kwa ujumla, ndio wa kwanza katika historia ya Nchi yetu kutumia teknolojia ya usaidizi wa Video kwa Mwamuzi (VAR). Zaidi ya hayo Sheria za CAF zinataka uwanja kuwa wazi angalau saa 72 kabla ya mchezo. Pamoja na kwamba Wanasema saa...
  14. Mashindano ya Quran kufanyika sehemu nyingine tarehe 17 mwezi wa nne?

    Wanabido, wote tunafahamu kuwa tarehe 17 mwezi wa nne kutakuwa na mashindano ya Quran uwanja wa mkapa. Siku hiyo hiyo pia kutakuwa na mchezo kati ya Simba sc dhidi ya Orlando pirates ya south Africa hatua ya robo fainali caf confederation cup. Je! Kuna uwezekano matukio haya mawili makubwa...
  15. Kombe la Shirikisho 2022: Simba atacheza mechi mbili tu katika hatua ya hii iliyofikia

    Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika. Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani. Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match...
  16. Shemeji yangu anaona wivu mimi kuwa karibu na mumewe

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mwenyezi Mungu mliofunga Mungu Awakumbuke Sana..... Nipo mkoa Fulani kikazi mbali kabisa na familia yangu. Huku kwa bahati nzuri kuna ndugu yangu kabisa ni askari. Nilipofika nilifikia kwake kama siku tatu hivi nikawa nimehamia kwenye nyumba niliyokuwa nimeandaliwa na...
  17. Mafia: Mashindano ya Kipanga Cup yahitimishwa

    MASHINDANO YA KIPANGA CUP YAHITIMISHWA WILAYANI MAFIA ▫️Timu ya Big Time yaibuka kidedea ▫️Yatoka na zawadi ya Bajaji Mafia, PWANI Mashindano ya mpira wa miguu ya Kipanga Cup yamefikia tamati Machi 27, 2022 kwa timu ya Big Time, kuibuka mshindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya timu ya Stone...
  18. Emanuel Giniki Gisamoda Avunja Rekodi ya Mashindano ya Warsaw Peace Half Marathon huko Poland (1:00:30)Leo.

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania, Emanuel Giniki Gisamoda Ameshinda Mbio za "Warsaw Peace Half Marathon 2022" kilomita 21 Nchini Poland, Kwa Kutumia Muda wa Saa Moja na sekunde thelathini (1:00:30) iliyodumu Miaka 8 Kwa sekunde kumi na Tisa. Tukumbuke Emanuel Giniki, Mwaka huu...
  19. Timu ya Taifa ya Pooltable yaifunga Kenya 13 – 9, mashindano Afrika Nchini Zambia

    TIMU ya Taifa ya Pooltable Waanaume imeanza vyema mashindano Afrika kwakuwafunga majirani Kenya 13-9 katika mchezo wake wa kwanza wa mashindano hayo yaliyoanza leo Nchini Zambia. Mashindano hayo yameanza kwa makundi A na B ambapo kundi A ni Tanzania, Kenya Uganda na Zimbabwe wakati kundi B ni...
  20. Waziri Mkenda atoa wito kwa Wabunifu kujisajili ili kushiriki Mashindano ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, amesema Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaanda Wiki ya Kitaifa ya Ubunifu na Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu maarufu kama (MAKISATU) kwa mwaka 2022. Ameyasema hayo leo 16 Februari 2022 wakati akiongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…