Wanariadha 4 wa Tanzania, Waangukia Pua huko Kenya

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
306
281
Wanariadha maarufu wa nchini , waliokwenda Kenya kutafuta kufuzu mashindano ya kimataifa wameambulia nafasi ya 8 Kwa Mwanariadha wa kike, Huku Wanaume wa 3 wakiambulia patupu, Huku Mmoja akishika nafasi ya Mwisho kwenye Mbio za Mita 800.

Maandalizi ya Mashindano ya Riadha Bado ni But Sana, Waziri Mchengerwa anatakiwa aanze na Kamati ya Olimpiki Tanzania TOC, aivunje yote, ndipo ashuke shirikisho la Riadha RT, Nako afumue ,

Mashindano Yaanzie mashuleni, Mtaani na kwenye Kambi za Taifa zitakazojengwa na Serikali.

Hapo, tutapata medali kibao kwenye Mbio mbalimbali za Kitaifa.
 
Mchezo upi utatuletea heshima kama taifa?

Yaani hakuna hata mchezo mmoja tunaoumudu ?...aibu
 
Mi nina wazo, wale wezi wa mtaani ambao huwa wanawatoka wananchi ndo wangechaguliwa kuwa wanariadha wa kuwakilisha taifa kwenye mashindano ya kimataifa...nasema uongo ndugu zangu?
 
Hii sekta ya riadha Tanzania naona imekaliwa na wapigaji na wameweka mizizi kwasababu hawafuatiliwi ,inatakiwa ivunjwe kabisa waje wapya
 
Back
Top Bottom