mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Wakubwa wanaofuata kuaga mashindano baada ya Germany na Belgium ni Spain na Argentina kwa hatua ijayo

    Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu! Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa. Sina kipaji cha kumuelezea mtu aelewe maono yetu tuliyojaliwa kuyaangalia mambo kwa nguvu ya ziada! Nitafufua...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yafanyika mjini Xiamen

    Mashindano ya kwanza ya roboti ya akili bandia yalifanyika jana mjini Xiamen, na kuvutia zaidi ya wanafunzi 1,000 wa shule za msingi na sekondari kutoka kila sehemu ya jiji hilo kushiriki. Mashindano hayo limegawanywa katika vikundi vitatu vikiwemo vya watoto, shule za msingi na shule za...
  3. luangalila

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mkaiita mashindano ya walioshindwa na leo mnashangilia kushiriki mashindano hayo?

    Kila mdau wa clab cha Yanga anashangilia hatua kubwa club yao iliyofikia hapo jana kwa kuingia makundi katika mashindano ya CAF CC. Kuanzia Rais wa club anashangilia mpaka mla miogo wa Chanika ana shangilia .....ila aliwahi kutokea Msemaji wao mmoja aliye toa mameno ya kudhihaki mashindano...
  4. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Taifa Cup 2022 yafunguliwa Tanga

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba (katikati) akifurahi jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wanne kulia) wakati wa ufunguzi rasmi wa Mashindano ya taifa ya mpira wa kikapu 2022 (CRDB Bank Taifa Cup), yaliyoanza leo kwenye uwanja wa Bandari jijini Tanga na...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Mtumishi Serikalini kushiriki mashindano ya ku-rap ni sawa?

    Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki. Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Manara: Yanga msishiriki CAFCC ni kombe la losers

    "Kombe la shirikisho ni kombe la loser, hata kama jana Yanga ingeshinda hata siyo Ishu. Siyo Champions League ile." Simba wote tumefurahi sana Yanga kupigwa. Tuna sababu za msingi kufurahi. Video hapo juu ni moja ya sababu. Mmeacha watu wenu wanaropoko kama wehu, halafu leo mnataka tuwaombee...
  7. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Rekodi za Kibabe: Yanga VS Waarabu mashindano ya CAF

    Kwa kuwa Yanga wana mechi na waarabu wa Sudan AL-HILAL nikalazimika kwenda kupekuwa pekuwa kwenye kumbu kumbu za CAF kama Yanga wamewahi kufanya jambo lolote dhidi ya waarabu hapo Taifa nilichokutana nacho aisee SHIKAMOO YANGA Confederation Cup 2018 Young Africans-USM Alger 2-1...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Prof. Nabi: Nabi mwambie Mayele aache kutetema kwenye mashindano ya CAF.

    Kucheza na jukwaa kunaondoa umakini uwanjani, kunaongeza wasiwasi kama ukipoteza nafasi, ukipigwa chenga, timu ikichelewa kupata bao na ukifanyiwa substitution. Kutetema kunamfanya mayele ahitaji nafasi 6 ili atumie vizuri nafasi moja vizuri, hiyo sio sawa. kwa upande mwingine Phiri wa Simba...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania TFF fikirieni tena juu ya timu kucheza mashindano ya Mapinduzi

    Timu za bara kushiriki mashindano ya Mapinduzi kuna faida chache sana za kimpira kwa TFF, ligi, timu na wachezaji wa timu za bara kuliko hasara.
  10. El Chapito

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya kimataifa yatumike kama jukwaa la biashara kwa vilabu vyetu

    MICHUANO YA KIMATAIFA KAMA JUKWAA LA FURSA YA KIBIASHARA KWA VILABU VYETU NCHINI Kuelekea kuanza kwa michuanao ya kimataifa ngazi ya vilabu barani Afrika mwishoni mwa juma hili Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mashindano ya Klabu Bingwa tutakua tukiwakilishwa na vilabu vya Simba , Yanga na...
  11. MKAKA WA CHUO 2

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tupo katika dunia ya mashindano, washindi na watu wao ndio watapata raha na amani ya dunia

    TUPO KATIKA DUNIA YA MASHINDANO, WASHINDI NA WATU WAO NDIO WATAPATA RAHA NA AMANI YA DUNIA. Maisha yetu ya kila siku yanahusisha harakati tofautitofauti ambazo tunazifanya katika mazingira mbalimbali. Harakati hizi kwa kawaida huwa na lengo kuu moja la kutuingizia kipato ili tuweze kuendesha...
  12. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Manara amefungiwa kujihusisha na soka ,mechi ya Leo sio ya mashindano ya tff,ni sherehe ya yanga ,manara kaja kama mc

    Nachojua mm manara kaja pale kama mc wa shughuli tu, na mechi ya Leo sio ya tff ni yanga wanasherehekea na kutambulisha wachezaji wao ,,hivyo hii mechi tff haiwahusu nachojua manara baada ya kumaliza ka UMC ameenda zake,,bodi ya ligi iwe makini na mihemuko ya watu wenye chuki binafsi na manara...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya UMITASHUMTA na UMISSETA yafunguliwa rasmi Tabora

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Agosti 4,2022 amefungua mashindano ya umoja wa michezo na taaluma kwa shule za msingi (UMITASHUMTA) na Sekondari (UMISSETA) katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora. Source: 2eyezmedia
  14. INTROVERT MAN

    JamiiForums Tanzania Watanzania na mashindano ya shinda

    Hatuendelei kwa sababu ya kutaka kila mtu apitie yale magumu wewe ambayo uliyapitia. Inatokea mmekutana ndugu mfano wa tumbo moja basi mmoja ataanza kujieleza" we me nimepitia maisha magumu nyinyi sahivi mnakulia raha. " Baadae mwingine atasema Baba alikuwa mkali sahv nyinyi anawalegezea...
  15. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kushika Nafasi ya 7 Mashindano ya Dunia ni Ushindi Kwetu.

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita. Kwa upande wa Mwanariadha...
  16. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Wanariadha 9 kushiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola - Uingereza.

    Wanariadha wapatao 9, Wanamichezo wengine na Viongozi wao wameondoka kwenda nchini Uingereza kushiriki Mbio za uwanjani na mbio Ndefu katika mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika Birmingham Uingereza (28 July to 8 August 2022)
  17. pingli-nywee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faith Kipyegon ainyakulia Kenya medali ya kwanza ya dhahabu kwenye mashindano ya World Athletics Championships, Oregon22

    Siku ni ya nne ya mashindano hayo ya riadha(IAAF), ambayo yanaendelea kule mji wa Oregon, USA. Kenya tayari ina medali zingine mbili, moja ya fedha na nyingine ya shaba. NAIROBI, Kenya, Jul 19 – Faith Kipyegon underscored her status as the greatest 1500m athlete of all time with an imperious...
  18. avogadro

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Dunia ya Riadha yanayofanyikan Oregon Marekani na uhusika wa Tv za bongo

    Nimesikitishwa sana na kitendo cha Tv za bongo kutokuonyesha mashandano ya riadha ya kimataifa yanayofanyika nchini marekani , ambapo kwenye mashindano hayo baada ya kutafuta channel zote za Tanzania nilikosa nikafanikiwa kuyaona live kwenye channel ya Kenya iitwayo KBC Nilishangaa kumwona...
  19. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Mashindano ya CAF Super League kuzinduliwa nchini Tanzania kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

    Nimekutana na hii babari kwamba Rais wa CAF bwana Dr.Motsepe anasema wanatarajia kuzindua Mashindano Mapya barani Africa yatakayojulikana kama Super League mwezi wa Agasti Nchini Tanzania.. Mashindano hayo yatakuwa na zawadi ya dola mil.100 sawa na zaidi ya bil.220 za Tanzania.
  20. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Timu aliyotoka Augustine Okrah (Bechem) haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF

    Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo). Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata kuchukua kombe la africa kabisa mwaka 1998 na kubeba super cup yake 1999.
Back
Top Bottom