Siku 1: Watanzania Waangukia Pua kwenye Mashindano ya EAAR, Dar

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
306
281
Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar.

Matokeo yanaonyesha Ethiopia na kenya ndizo zinashikilia usukani kwa siku ya kwanza (Jana), Leo yanaendelea tena tusubiri tuone kama wataamka ingawa, maandalizi ya Wanariadha wa Tanzania ni Hafifu sana, hakuna kambi maalumu kwa wanariadha wetu.
MATOKEO
 
Mimi nilicheka yale mashindano ya Baseball yaliyoisha juzi. Ujinga ulianza pale "Tanzania yapongezwa kutinga robo fainali michuano ya Baseball Africa" kuja kufuatilia kumbe ilitinga robo fainali baada ya Egypt kutokuleta timu,kwa kuwa kwenye group moja walikuwa 3 yaani Tz,Kenya na Egypt so tukapita,ikabidi Tz akamilishe ratiba ya kundi kwa kucheza na Kenya akafa 2-0,ikafika zamu ya hiyo robo fainali cha ajabu mpaka leo hii sijayapata matokeo ya hiyo match ya robo fainali.
 
Michezo na Siasa, au michezo na Vyombo vya Habari, Ili Viongozi waambiwe wameupiga Mwingi
 
Back
Top Bottom