mashindano

The music of Kenya is very diverse, with multiple types of folk music based on the variety over 40 regional languages.Zanzibaran taarab music has also become popular, as has hip hop, reggae music, soul, soukous, zouk, rock and roll, funk and Europop. Additionally, there is a growing western classical music scene and Kenya is home to a number of music colleges and schools.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yaya Toure akosoa uwepo wa Fainali 2 kwenye Michuano ya Afrika

    Ujumbe wa nyota wa zamani wa Barcelona na Man City, Yaya TOURE juu ya uwepo wa fainali mbili kwenye michuano ya Afrika. Wakati umefika kwa mashabiki wa soka wa nchi zetu barani Afrika kudai HAKI YA MICHEZO kwa kuitaka CAF kuwa na mechi moja pekee ya fainali kwenye uwanja wa usiofungamana na...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Sweden yaanzisha mchezo wa ngono, kama soka tu. Kuwa mwenyeji mashindano ya mabingwa Ulaya

    Sweden imepitisha ngono kama sehemu ya Michezo na itaandaa na kuwa mwenyeji wa Mashindano ya kusimamia kucha Huku Ulaya.. My Take Uhuru wa Mwanadamu ukizidi unakuwa kufuru na upumbavu.. ======= Inadaiwa kuwa michezo hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni ikiwa na kanuni na taratibu pamoja na...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Simba ndio timu pekee ya Tanzania iliyowahi kufanya "come back" ya kibabe katika mashindano ya CAF

    Mwaka 1979, Simba Sc ya Tanzania ilipangwa kucheza na klabu ya Mufulira Wanderers ya Zambia katika michuano ya CAF. Mechi ya kwanza katika dimba la taifa ( sasa uhuru ) Simba likufa 4-0 Mashabiki walisononeka sana wakaisusa timu yao. Kikosi kikaendelea na maandalizi ya mchezo wa marudiano...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Fainali mashindano ya CAF iwe mechi 3 na siyo 1 au 2

    Mimi huwa napenda kuja na hoja fikirishi kwa hiyo wale wasiopenda kufikiri wananionaga hamnazo. Muda huwa unadhihirisha kile ninachosemaga. Kumekuwa na malalamiko ya kutaka CAF ibadili fainali za mechi za Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho kutoka mechi mbili na kubakiwa na moja. Binafsi...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  6. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hivi pesa ambazo timu zinapata kwenye mashindano ya kimataifa zinakatwa kodi?

    Mfano Yanga kuingia tu Fainali ina uhakika wa dola lake nane. Ikichukua ubingwa itakunja dola milioni mbili. Simba kuingia robo Fainali ya Champions League walikunja dola mia kadhaa. Pesa hizi zinakatwa kodi?
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Kata ya Serengeti mabingwa wa Mashindano ya Kyela Polisi Jamii Cup 2023

    Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Josephine Manase Keenja, Mei 01, 2023 amefunga rasmi mashindano ya mpira wa miguu yajulikanayo kwa jina la "KYELA POLISI JAMII CUP, 2023" baada ya kushuhudia fainali iliyozikutanisha timu za Kata ya Ipinda dhidi ya Kata ya Serengeti. Mashindano hayo yalihusisha Kata 33...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Watu wa CAF wanaumia Simba ilivyotolewa kwenye mashindano kwa sababu hii

    Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba na kama wanaumia hivi inapotolewa Siongei kishabiki, Hata Yanga nafikiri itakuwa hivyo hivyo...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

    Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Ritta Kabati ayapa nguvu mashindano ya soka ya UVCCM Iringa, aahidi kuanzisha "Mama Samia Cup"

    MBUNGE DKT. RITTA KABATI AYAPA NGUVU MASHINDANO YA SOKA YA UVCCM IRINGA, AAHIDI KUANZISHA "MAMA SAMIA CUP" Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa (CCM), Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kuanzisha mashindano yatakayojulikana kwa jina la Samia Cup kuenzi kazi nzuri zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

    Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'. Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni.. Mwambieni ache kupoteza watu maboya...
  13. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba kuingia Robo Fainali katika mashindano yao wanayoshiriki siyo mafanikio

    Mimi nikiwa ni mdau wa soka, Nashangazwa na sifa ,majigambo na majivuno wanayojipatia mashabiki , wapenzi , viongozi na waandishi wa habari za michezo kuwa HATUA YA ROBO FAINALI YA MASHINDANO YA AFRIKA yaliyofikiwa na vilabu hivi eti tunaita MAFANIKIO. Huo ni UONGO, UZEMBE NA UDWANZI, mafanikio...
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kijiwe Cha tunaoangalia Cafcl Al hilal vs Mamelod huku tukiomba Al ahal atoke kwenye mashindano

    Had saivi half time 0-0 ,, Mamelod wanadominate game but hilal wanatengeneza nafasi.. Tuendelee kuomba Mungu mtoto wa Caf ang'olewe kwenye mashindano
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc yaendelea kuingiza timu 4 mashindano ya CAF

    SIMBA imeshaipa neema Tanzania 🇹🇿 baada ya kuingiza timu nne kwenye mashindano ya klabu Afrika msimu huu na msimu ujao kwa mara ya tatu mfululizo. Kitendo cha Simba kuwepo katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hadi sasa kimeihakikishia Tanzania pointi moja. Aidha Yanga kuwepo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said: Simba anacheza mashindano bora kuliko Yanga, Magoli yake yana thamani kubwa kuliko ya Yanga

    Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho. Kutokana na kutofautiana ubora kufunga goli kwenye ligi ya mabingwa ni vigumu zaidi kuliko Shirikisho hivyo magoli ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya CAF ngazi ya makundi kwa vilabu 2022/2023

    Habari wadau wa JF. Naomba mupokee na kuendelea kuboresha hili bandiko linalohusu mashindano ya CAF kwa vilabu kwa msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa kuanzia nitaweka misimamo kwa mashindano tajwa ambapo nitawaomba wadau muanze kutoa tathmini zenu bila matusi kuangalia mafanikio ya vilabu toka katika...
  18. Roy Logan

    JamiiForums Tanzania UNAYAFAHAMU MASHINDANO YA LADIES FIRST? PICHA

    Ladies First ni mashindano ya riadha kwa wasichana wa Tanzania, yalianza kushindaniwa mwaka 2017 kwa hisani kwa udhamini wa Shirika la Maendeleo la Japan JICA. Mashindano haya yalibuniwa na mkimbiaji nguli wa enzi hizo Kanali Juma Ikangaa, aliomba ufadhili kutoka Japan na hatimaye yakaanzishwa...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Division ZERO 2023

    Hakika vijana WAPENDA starehe mmeamua kutufungulia mwaka na ZERO zenu. Eg.Taifa Sec. School, Division ZERO 474 + 533 Division 4 (ambayo ni division ZERO iliyochangamka) = YUTONG 15 full capacity). NB: unapata F F F F mpaka Civics, Kiswahili? SEKTA zitakazonufaika na mgao huu WA division ZERO...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya tatu kwenye mashindano mengi ni ya kisiasa tu Haina maana yoyote.Fifa waondoe hii

    Habarini wadau wa soka. FIFA wangeanza kwa kuondoa hii nafasi ya tatu kwenye mashindano haya ya kombe la dunia then wengine wangefuata. Sioni maana ya hii nafasi zaidi ya kupoteza muda na kujichosha tu.Labda iwe kwa ajili ya kupata pesa tu. Dhumuni la timu ni kucheza fainali na...
Back
Top Bottom