Kombe la Shirikisho 2022: Simba atacheza mechi mbili tu katika hatua ya hii iliyofikia

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,981
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.

Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.

PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
 
Mtu yeyote atakayekuja kukubisha hapo basi huyo ni kolo kama Makolo wengine,,, Simba wamedebweda mwaka huu
 
Simba kwenye mechi za kimataifa kwa Mkapa huwa wana magoli mawili ya uhakika,yani hayo uwa yapo tu fixed.

Kwaiyo puyanga maneno huku ukilijua hilo.
 
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.

Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.

PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
kwani yanga mashindano yote ya kimataifa alicheza mechi ngapi.

Na kwani timu nyingine hatua ya robo fainali watacheza mechi ngapi.

Halafu mnachosahau Ni kwamba lazima ktk hatua ya robo fainali lazima zitoke timu nne na nne zisonge mbele. Sasa sijui kwanini umeiona simba tu.

Km kweli wewe Ni mtu wa mpira na unaujua mpira basi ungezungumzia mechi zote. Na hata hapa hujaeleza chochote kitakwimu kwanini Simba itoke na si Orlando Pirates.

Kimpira Hakuna timu mbovu inafuzu robo fainal, yyte aliyefuzu ni bora.Na ktk hao bora wanazidiana ubora pia,lkn mwisho wa siku mwenye mbinu bora ndiye anashinda mechi. Wale vibonde wote akiwemo Yanga walitolewa hatua za awali kabisa.

Sijajua simba akifanikiwa kuingia nusu fainali utakuja na bandiko gani, sababu hamchoki. Tangu hatua ya awali Ni haya haya mnaandika lkn mnyama anapeta tu.
 
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.

Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match ya last week kuna uzembe ulitokea ndo poneaponea ya Simba. Sasa tumeanza ku-deal na Dimba la Mkapa. Na hawa Orlando si wabishi kama wale wapuuzi wengine waliofungwa nne.

PIGA UA GARAGAZA MATCHES MBILI TU KATIKA ROBO FAINALI. THEN JAMAA WANARUDI KUSUMBUANA NA RUVU SHOOTING NA MBEYA KWANZA.
Aisee....! Mbili tu Kama vile UT0P0L0 Ilivyokuwa Kwa Rivers...! Dah Sheikh Yahaya Katuachia Warithi Mabomu Hawa ni wapiga Ramli...!
 
Nlianza juzi nikapita kwa Maalim wangu Temeke. Akaangalia. Akasema Simba inapigwa leo ikijitahidi Draw ambayo haitaisaidia kitu.
Leo nimeenda kwa Sheikh wangu Juma ilala Bungoni. Majibu ni yale yale. Nikamwomba Mzee wangu Chande wa Tandale aniangalizie akanambia mi natakaje nikamwambia jamaa wapigwe. Kanambia nimtumie tsh 200,000 na majina ya wachezaji na bench la ufundi la Simba. Nimemtumia.

Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA.

Leo umeambiwa utume shilingi ngapi kwa mganga wako wa kienyeji? 🤣🤣🤣
 
Dah kumbe ndiyo huyu mwamba aliyesema Simba inafungwa na USGN amijitahidi sare kutokana na majibu ya waganga wake
ndiye huyo huyo, hapo ana hasira na vitu vinne:
1. Simba (iliyopata matokeo tofauti na waganga waliomlia hela walivyomwambia)
2. Mods (waliompiga ban)
3. Waganga (waliomlia sh. laki mbili zake, alisema ameshatuma kwa ile namba)
4. Viatu (alivyolazimika kuacha kuvivaa kwa siku moja)
 
Simba kwenye mechi za kimataifa kwa Mkapa huwa wana magoli mawili ya uhakika,yani hayo uwa yapo tu fixed.

Kwaiyo puyanga maneno huku ukilijua hilo.
Si kweli. Kuna matches nyingi tu wameshinda bao moja. Rejea na Berkane pia.
 
ndiye huyo huyo, hapo ana hasira na vitu vinne:
1. Simba (iliyopata matokeo tofauti na waganga waliomlia hela walivyomwambia)
2. Mods (waliompiga ban)
3. Waganga (waliomlia sh. laki mbili zake, alisema ameshatuma kwa ile namba)
4. Viatu (alivyolazimika kuacha kuvivaa kwa siku moja)
Ban haiwezi nipa hasira..sometimes huwa naitafuta tu. Pesa yangu inaniuma sababu tu ya uzembe flani. Ila this time hakutakuwa na makosa....
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom