Kuelekea mashindano ya Taifa ya Draft

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,642
19,018
Mwez ujao kutakuwa na mashindano ya Draft ya kumtafuta bingwa wa Tanzania

Kwasasa Hapa Dar es salaam kumekuwa na mechi za Man to Man , za mabingwa wa draft wakijiandaa kuelekea Mashindano hayo makubwa .

Mabingwa Kama Cr7, Noel, dogo Sisco, Gaidi, Dogo Ally, dogo Yassin, Saiya, Omary Kiwende N.k

EXCLUSIVE
Timu
: Cr7 Mnyama Vs Fundi Saiya ( Confirmed )
Mdhamini : Dany Denyo ( Tajiri Huyu )
Zawadi: 100,000/= ( Winner 80k na looser 20k )
Lini: Jumatatu tareh 11 July 2022 saa kumi jioni
Uwanja: Kitunda Stadium
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Kaiza
Photograper: Kaiza ( 5000 )
Kamisaa: Riro (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 20 kwa atakaefungwa na kama ngoma 24 zitaisha sare basi hawa jamaa watapewa elf 25 kila mmoja kama kifuta jasho

Cr7 anapasha misuli na lengo lake apate gemu fitiness Njoo umuone Cr7 live bila chenga ndani ya kitunda Stadium

EXCLUSIVE
Timu
: Dogo Sisco Vs Gaidi ( Confirmed )
Mdhamini : Dany Denyo ( Tajiri Huyu )
Zawadi: 90,000/= ( Winner 75k na looser 15k )
Lini:Jumapili tareh 17 July 2022 saa kumi jioni
Uwanja: Kinondoni Manyanya
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Mkorea
Photograper: Mkorea ( 5000 )
Kamisaa: Beka(5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 15 kwa atakaefungwa na kama ngoma 24 zitaisha sare basi hawa jamaa watapewa elf 20 kila mmoja kama kifuta jasho

Sisco ndie mfalme wa madraft kwa sasa na Dunia inatambua mchango wake,,,

Kesho ligi ya kuwatafuta wawakilishi wa ligi ya kumtafuta bingwa wa Tanzania Kwa mkoa wa iringa itaanza saa sista kamili mchana,washiriki wenye sifa kwa mkoa wa Iringa fikeni Kwa wakati ili kiwake na bingwa apatikane Kwa kete.

Mtuletee Dar bingwa anayejiweza ,sio Round ya kwanza tu Anakula suti
 
Sico mflame wa madraft wakati naskia alitoa mkataba kwa mabingwa walio mzidi azuie sare moja kwa dau la 20k kwa 1k

Yani Sisco anatoa 20,000 atafute sare halafu hao mabingwa waliomzidi waweke buku

Naskia alizoa vibuku buku vyao vyote.
 
EXCLUSIVE
Timu
: Dogo Ally Vs Dogo Shukuru ( Confirmed )
Mdhamini : Ismail Gsm
Zawadi: 70,000/= ( Winner 55k na looser 15k )
Lini: Jumatano tareh 13 July 2022 saa Tisa alasiri
Uwanja: Mbagala kizuiani
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Haji Nguya
Photograper: Abdul Tindwa ( 5000 )
Kamisaa: Fidelisi (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 15 kwa atakaefungwa na kama ngoma 24 zitaisha sare basi hawa jamaa watapewa elf 15 kila mmoja kama kifuta jasho

Dogo Ally alilalamika kwamba wadhamini hawamuoni sasa mechi zimeanza kufunguka ,,,ndani ya Mbagala kizuiani
 
EXCLUSIVE
Timu
: Cr7 Mnyama Vs Masta Mjape ( Confirmed )
Mdhamini : Ismail Gsm
Zawadi: 100,000/= ( Winner 80k na looser 20k )
Lini: Alhamisi tareh 14 July 2022 saa Tisa alasiri
Uwanja: Mbagala kizuiani
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Haji Nguya
Photograper: Abdul Tindwa ( 5000 )
Kamisaa: Fidelisi (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 20 kwa atakaefungwa na kama ngoma 24 zitaisha sare basi hawa jamaa watapewa elf 20 kila mmoja kama kifuta jasho

Cr7 Mnyama anatengeneza gemu fitiness ili kwenye Bodaboda awe anatiririka tu,,, Ndani ya mbagala kizuiani
 
EXCLUSIVE
Timu
: Ally white Vs Masta Mtemi ( Confirmed )
Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )
Zawadi: 60,000/= ( Winner 50k na looser 10k )
Lini: Ijumaa, tarehe 15 July 2022 Saa nane kamili mchana
Uwanja: Yombo relini
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Dullah Mabao ( 5000)
Photograper: Dullah Mabao ( 5000 )
Kamisaa: Riro (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa

Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Boss Java Amechafukwa hii ni hatari sana ,,wakongwe wa Madanali 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
EXCLUSIVE
Timu
: Saiya Vs Masta Mjape ( Confirmed )
Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )
Zawadi: 100,000/= ( Winner 90k na looser 10k )
Lini: Jumanne, tarehe 12 July 2022 Saa kumi kamili jioni
Uwanja:Kitunda Stadium
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Masta Mtemi ( 5000)
Photograper: Masta Mtemi( 5000 )
Kamisaa: Riro (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa

Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Boss Java Amechafukwa hii ni hatari sana ,,wakongwe wa Madanali 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
EXCLUSIVE

Timu
: Omary Kiwembe Vs Mtanga ( Confirmed )
Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )
Zawadi: 100,000/= ( Winner 90k na looser 10k )
Lini: Alhamisi, tarehe 14 July 2022 Saa kumi kamili jioni
Uwanja:Kinondoni Manyanya
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Masta Mtemi ( 5000)
Photograper: Masta Mtemi( 5000 )
Kamisaa: Chande (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa

Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Boss Java Amechafukwa hii ni hatari sana ,,wakongwe wa Madanali 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
EXCLUSIVE
Timu
: Mbigili Vs Masta Mtemi ( Confirmed )
Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )
Zawadi: 60,000/= ( Winner 50k na looser 10k )
Lini: Jumapili, tarehe 17 July 2022 Saa nane kamili mchana
Uwanja: Kinondoni Manyanya
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Mzee Mangwelele ( 5000)
Photograper: Mkorea ( 5000 )
Kamisaa: Beka (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa

Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Boss Java Amechafukwa hii ni hatari sana ,,wakongwe wa Madanali 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
 
EXCLUSIVE
Timu
: Saiya Vs Mtanga ( Confirmed )
Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )
Zawadi: 80,000/= ( Winner 70k na looser 10k )
Lini: Jumapili, tarehe 10 July 2022 Saa Nane kamili Mchana
Uwanja:Kitunda Stadium
Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu
Mratibu: Masta Mtemi ( 5000)
Photograper: Masta Mtemi( 5000 )
Kamisaa: Riro (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa

Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Fundi Saiya anakwenda kukutana na Mtanga Uso kwa uso kama Semi trailer na kichwa cha treni Njoo mjini kitunda Stadium
 
Tunaomba muendelee kutuhabarisha, wengine ni wagonjwa kwenye madanali hayo ingawa tuko mbali, vip Bad Face hayupo? Amani Siri mchunguzi vip, siku.hizi mbona simsikii Mangwelele?
 
EXCLUSIVE

Timu: Ally white Vs Masta Mtemi ( Confirmed )

Mdhamini : Mzee Java ( Raisi wa wakongwe wa madanali )

Zawadi: 60,000/= ( Winner 50k na looser 10k )

Lini: Ijumaa, tarehe 15 July 2022 Saa nane kamili mchana

Uwanja: Yombo relini

Michezo: 24-Omary John + Tege 10 za mzee Ngapu

Mratibu: Dullah Mabao ( 5000)

Photograper: Dullah Mabao ( 5000 )

Kamisaa: Riro (5000)

Note: Hakutakuwa na mshindi wa pili ila tutakuwa na nauli ya Shilingi elf 10 kwa atakaefungwa

Hii inaitwa mama Mkanye Mwanao Boss Java Amechafukwa hii ni hatari sana ,,wakongwe wa Madanali 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
White ni mkali nakumbuka walisumbuana na dogo hamisi mwishonwa siku ikabidi tu wagawane
 
Afu tupe ufafanuzi wa hayo maneno ya tege na omary john

Yana maanisha nini?

Au kuanzishiana?
 
Tunaomba muendelee kutuhabarisha, wengine ni wagonjwa kwenye madanali hayo ingawa tuko mbali, vip Bad Face hayupo? Amani Siri mchunguzi vip, siku.hizi mbona simsikii Mangwelele?
Aman Siri yupo mbona , soon atapata game time ,

Magwelele yupo Ndiye mratibu hasa mapambano mengi ,

Kina dogo shukuru ndio wanafunzi wake
 
Afu tupe ufafanuzi wa hayo maneno ya tege na omary john

Yana maanisha nini?

Au kuanzishiana?
Kuna mdau mmoja alielezea vzr ,ngoja niitafute comment yake

huu mchezo haupo kama wengi wajuavyo . Hawa wenzetu wa dar wametuzidi pakubwa mno ktk huu mchezo, kuna kigezo hapo cha omary john 14 hivi hapo umekielewa hicho kigezo ?
- ngoja nikufahamishe ni hivi, wachezaji wengi wanajiona au wanaitwa mabingwa kwasababu ana namna fulani ya kucheza huu mchezo , lkn katika omary john kila mcheza anatakiwa aanze kete zote 7 za vyumba vya mwanzo yaani anatakiwa aanze

Pasati , nugza , meja , kavimba, taa ya treni , mabano na tege . sasa wachezaji wengi wa mikoani utakuta anajua meja lakini mabano hajua au tege hajui , sasa mikoa iliyotajwa kidogo wanaufahamu juu ya hiyo sheria ya omary- john
Kwanin wanaiita omary- john ni kama njia ya kuwaanzi wachezaji wa wili omary na john ambao walipenda kucheza katika utaratibu huo wa kuanza kete zote za mwanzo na kuzipa majina niliyotaja hapo juu.

- Katika mchezo unaoitwa tege . Kuna sheria imesema watacheza tege 4. kwanini wamesema tege na siyo meja , nugza au pasati ?
ni hivi tege ni mchezo unaotaka mchezaji aanze kete ambayo wachezaji wengi wanaamini ni kete dhaifu kama utaanza na kupelekea ufungwe kirahisi na mpinzani wako. Sasa kwasababu wengi wanajua hii itapelekea sare ziwe nyingi na kupelekea mashindano yawe marefu , hivyo kwa kupendekeza wacheze tege basi tunaweza kuokoa muda kwa kuepusha sare zisiwe nyingi.
 
Nice explanation

Hiyo tege huku tunaita kuanzishiana kete mbovu

Nimejifunza kitu kipya hapo kwenye kuanza kucheza na kila kete (omary john)
 
KWA WALE WA MBEYA KAMA KUNA FUNDI WA DRAFT UNAJIAMINI AU UNAMUAMINI ,AJITOKEZE ,HATUTAKI MALALAMIKO,, LETEN FUNDI MNAYEMUAMINI ,MSITULETEE MATURA

Washiriki watakoa shiriki kuwatafuta wawakilishi wa wa mkoa wa mbeya
- maeneo yatakayo toa washiriki
1. Ilomba
2. Mbalizi
3. Sokomatola
4. Kabwe & songwe

- ilomba
1. Kenny mabao
2. Hance
3. Kiduku
4. Ticha kibegi
5. Mwasapile
6. Raisi wa ilomba

- mbalizi
1. Gabby
2. Dany
3. ............
- Sokomatola
1. Pascal
2. Kelvin
3. Steve nkeka
4. Amasebo
5. Ticha ngao
6. Iddy

- kabwe & songwe
1. Farid
2. Wille mtafiti
3. Amigo
4. Mlangi
5. Fadhiri
6. Peter salu
Kama kuna mchezaji mzuri tumemuacha na anahitaji kukiwasha awasiliane na wahusika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom