marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. avogadro

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wizara ya Michezo ipige marufuku mashabiki maarufu wa Simba na Yanga kushangilia Taifa Stars

    Imeibuka tabia ya watu kujifanya wao wanaujua zidi mpira ama kwa kutoa kauli tata za kukatisha tamaa timu yetu ya Taifa, wachezaji na makocha pale kwa bahati mbaya inapokosa matokeo mazuri Kuna watu ambao huonekana kwenye michezo ya Simba na Yanga wakiongea hovyo huku ama wamejipaka mdude gani...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Algeria yapiga marufuku ndege kutoka Morocco

    Algeria imefunga anga yake kwa ndege zote za kiraia na za kijeshi za Morocco. Hatua hiyo inakuja takriban mwezi mmoja baada ya Algeria kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Taifa hilo. Algeria imesema uamuzi huo ni kwasababu ya uchochezi unaoendelea pamoja na vitendo vya uhasama kwa upande wa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa Wimbo wa bia tamu upigwe marufuku. Unahamasisha ulevi na uzembe

    Huu wimbo hauna tofauti na ule wimbo wa zamani uliokuwa unahamasisha kubomoa na kujenga kesho. Sasa hivi mitaani vijana wanapiga huu wimbo huku wakilewa hovyo na kuhamasisha ulevi. Waziri Bashungwa piga marufuku huu wimbo mara moja.
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Watumishi wa Umma wasiochanjwa wapigwa marufuku kazini

    Serikali ya Zimbabwe imewazuia Watumishi wa Umma ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kwenda kazini, ikisema walipewa muda wa kutosha kupata chanjo hizo Mamlaka Nchini humo zinasema takriban 90% ya watu wanaolazwa Hospitali kwasababu ya Virusi vya Corona hawajapata chanjo. Wastani wa visa...
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

    Habari wadau, Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
  6. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yawataka wanaotoa tiba kwa kutumia vyakula kuendesha shughuli hizo kwa kibali cha Wizara ya Afya

    Dodoma. Serikali imesema watu wanaojiita watoa tiba kwa kutumia vyakula wanatakiwa kuendesha shughuli hiyo kwa kibali cha Wizara ya Afya. Katazo hilo limetolewa na mganga mkuu wa Serikali, Dk Aifello Sichwale jana Ijumaa Septemba 11, 2021 jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania China yapiga marufuku mitihani kwa Watoto wenye miaka 6 na 7

    Taifa la China limetangaza kupiga marufuku kwa Mitihani (ya kuandika) kwa Wanafunzi walio na umri wa miaka 6 na 7 ikisema imefanya hivyo kujaribu kuwaondolea Wanafunzi na Wazazi presha kubwa Wanafunzi Nchini humo wamekuwa wakifanya mitihani kuanzia mwaka wa kwanza wa Elimu ya Msingi hadi...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku Waafghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

    Taarifa za muda mfupi uliopita Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao BBC
  9. Candela

    JamiiForums Tanzania Warumi marufuku Tanzania?

    Habari wanajamvi, nazani wengi tunakumbuka namba za kirumi shule ya msingi, X = 10, XX = 20 na kuendelea. Baada ya kuwa watu wazima tukajitegemea na kuamua mambo yetu binafsi baadhi tulipendelea kuangalia video za warumi katika kujifunza zaidi kuhusu maana namba zao tunazijua. Sasa hivi...
  10. Behaviourist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama yafuta agizo la Rais kupiga marufuku mikutano ya umma na kisiasa kudhibiti maambukizi ya COVID-19

    Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Anthony Mrima amefuta maagizo yaliyotolewa na Kamati ya Ushauri ya Usalama wa Kitaifa(NSAC) iliyopiga marufuku mikutano ya umma na ya kisiasa nchini humo katika kudhibiti kuenea kwa maambukizi ya UVIKO 19. Jaji Mrima amesema agizo hilo lilikuwa kinyume cha katiba...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Facebook yapiga marufuku maudhui kuhusu kundi la Taliban

    Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao. Kampuni ya Facebook imesema timu ya wataalam wa Afghan inafuatilia na kuondoa maudhui yote yenye kufungamana na kundi hilo. Facebook...
  12. mfichuamambo

    JamiiForums Tanzania Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

    Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kupiga marufuku masomo ya ziada (tuition) ni sahihi ili kuwapunguzia mzigo wanafunzi na wazazi

    Masomo ya ziada ama tuition yamekuwa yakionekana kama kimbilio la wazazi na wanafunzi wengi, wakiamini kwamba njia hii inatoa fursa kubwa kwa mwanafunzi kufanya vizuri katika masomo yake na katika mitihani yake. Lakini kwa nchi nyingi za Afrika mara nyingi walimu wanaofundisha masomo ya ziada...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marufuku hospitali za umma, binafsi kulipisha chanjo ya COVID-19

    SERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati wa usambazaji wa chanjo hizo kwenda mikoa...
  15. Rufiji dam

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wakuu wa mikoa wapiga marufuku mikusanyiko. Vipi Makamu wa Rais na ziara yake Mtwara?

    Sasa hivi ni matamko tu ya wakuu wa Mikoa kupinga mikusanyiko ya watu. Nimeshangazwa na taarifa kuwa Dkt. Mpango ana mpango wa kufanya ziara ya kiserikali Mtwara. Swali: Je, huko anaenda kuhutubia miti ya mikorosho ama anaenda kuhutumbia mkusanyiko wa watu. Delta namba 3 ipo.
  16. Informer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  17. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mkuu wa Mkoa apiga marufuku mikusanyiko isiyo lazima ili kukabiliana na Corona

    Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Meja Jenerali Mbuge amesema hatua hiyo inatokana na mkoa wa Kagera kupakana na nchi nne...
  18. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mawasiliano: Marufuku kusainisha wananchi mikataba ya lugha za kigeni

    MIKATABA YA LUGHA ZA KIGENI KWA WANANCHI YAMKERA NAIBU WAZIRI Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew amesikitishwa na tabia ya baadhi ya watendaji wa makampuni ya simu nchini kuwasainisha wananchi mikataba au makubaliano yeyote ya kutumia ardhi ya...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanza: RC apiga marufuku mikusanyiko isiyo ya lazima

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel amepiga marufuku mikusanyiko yoyote ambayo sio ya lazima Mkoani humo ili kudhibiti Maambukizi ya #COVID19 Mhandisi Robert amesema misiba tu na ibada ndiyo itaruhusiwa kuwa na Watu. Hakuna kusanyiko lolote bila kuwa na kibali ndani ya Mwanza."
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Moshi: DC apiga marufuku watu kusafiri bila kuvaa barakoa

    Mkuu wa wilaya ya Moshi Mkoani Kilimanjaro Said Mtanda Julai 19.2021 amezitaka mamlaka za usafirishaji kuzuia magari kuondoka stendi ikiwa abiria wake hawaja vaa barakoa kujikinga na virusi vya Corona. Nimekuja kuwaambia ukweli na Rais na Serikali yake wamesha sema Corona ipo tena wimbi la tatu...
Back
Top Bottom