#COVID19 Zimbabwe: Watumishi wa Umma wasiochanjwa wapigwa marufuku kazini

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,267
2,000
Serikali ya Zimbabwe imewazuia Watumishi wa Umma ambao hawajapata Chanjo dhidi ya COVID19 kwenda kazini, ikisema walipewa muda wa kutosha kupata chanjo hizo

Mamlaka Nchini humo zinasema takriban 90% ya watu wanaolazwa Hospitali kwasababu ya Virusi vya Corona hawajapata chanjo. Wastani wa visa vipya 145 vimerekodiwa kila siku Nchini humo wa vifo 7 viliripotiwa Jumanne

Baada ya kupungua maambukizi mwezi huu maeneo ya kufanya mazoezi, migahawa na makanisa yaliruhusiwa kufungua lakini Watumishi na Wateja walitakiwa kupata Chanjo kikamilifu

======

Zimbabwe has barred unvaccinated civil servants from going to work with immediate effect.

Information Minister Monica Mutsvangwa said the government had given its workers "ample time" to get Covid-19 vaccines.

The authorities say about 90% of the people admitted to hospital for Covid are unvaccinated.

The country is averaging 145 new cases a day and reported seven deaths on Tuesday.

Close to two million Zimbabweans, about 12% of the population are now fully inoculated.

It’s not clear how many civil servants are affected by the cabinet’s decision and whether they will continue to receive their salaries or be able to work from home.

The government is the country’s largest employer and the directive could also affect services such as health care delivery and education.

The majority of public school teachers are not vaccinated.

After Covid infection numbers declined this month; gyms, restaurants and churches were allowed to reopen but workers and patrons had to be fully vaccinated.

Trade unions have already taken several companies to court for allegedly discriminating against workers who haven’t received the jab.

Source: BBC
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,835
2,000
Wakati huo wengine wanaangaika na booster ili kukabiliana kulazwa hospitali Kwa sababu ya virusi vipya kama Delta.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom