marufuku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Polisi DSM: Disco Toto Marufuku siku ya Eid

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro, amepiga marufuku Disko toto katika kumbi zote za starehe jijini humo, siku ya sikukuu ya Eid Al Adha itakayoadhimishwa keshokutwa Jumatano. Amesema, wamejipanga vyema kuimarisha usalama siku hiyo. Amewataka wazazi kuwa makini na...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

    Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi. Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Murro apiga marufuku mijadala ya Katiba

    DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya Katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara. DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji, shule
  4. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Jerry Muro apiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya ya Ikungi

    DC wa Ikungi Jerry Muro amepiga marufuku mijadala ya katiba kwa wananchi wa wilaya hiyo pamoja na kusanyiko lolote linaloashiria kuhamasisha wananchi kujadili katiba pamoja na mikutano ya hadhara.DC huyo amesema wilaya hiyo haihitaji katiba bali inahitaji huduma kama maji,shule.
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane

    Serikali ya Rwanda imetangaza marufuku ya kutoka nje ya muda wa siku 10 katika mji mkuu wa Kigali na wilaya nane baada ya ripoti za vifo na wagonjwa wa corona kuongezeka. Watu wametakiwa kutotoka nje ya nyumba zao kuanzia Jumamosi tarehe 17 mpaka tarehe 26 Julai, ili kuzuia maambukizi ya virusi...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Lamu: Viongozi Wataka Wanawake Waislamu Wapigwe marufuku Kupanda Bodaboda

    Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi. Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake. Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwa na mabaunsa

    Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi yanayowekwa nembo ya Serikali. Vilevile, wametakiwa kuacha kutumia vibaya Sheria inayowapa mamlaka ya...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga marufuku mauzo ya tiketi za Belarus

    Marekani imepiga marufuku mauzo ya tiketi za ndege kutoka na kuelekea Belarus, ikiwa ni mwezi mmoja tangu Ndege ya Ryanair ilipolazimishwa kutua na Mwandishi wa Habari kukamatwa Hatua hiyo ni mwendelezo wa maamuzi yaliyochukuliwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko ambaye anatuhumiwa kufanya...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania COVID-19: Afrika Kusini yapiga marufuku mikusanyiko na mauzo ya pombe kutokana na mwenendo wa mlipuko

    Afrika Kusini imetangaza masharti mapya yanayolenga kudhibiti ongezeko la maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo mikusanyiko yote ya ndani na nje itapigwa marufuku kwa siku 14 Aidha, Rais Cyril Ramaphosa amesema katika siku hizo mauzo ya pombe na safari kuelekea au kutoka maeneo yaliyoathiriwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu. Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku masomo ya ziada

    Serikali umepiga marufuku masomo ya ziada kwa shule za Serikali na hasa wakati wa likizo, kwa kubainisha kuwa yanaongeza gharama zisizo za lazima kwa wazazi na ni kinyume na waraka wa elimu namba tatu wa mwaka 2016,ambao unataka wanafunzi wapate likizo ama muda wa kupumzika. Hayo yamesemwa...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa

    Kituo Cha Marekani cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimetangaza marufuku ya mwaka mmoja ya kuagiza mbwa kutoka nchi 113 kwa kuhofia ugonjwa wa kichaa cha mbwa. Marufuku hiyo inahusisha mbwa wote, pamoja na wale wanaotumika kutoa msaada wa kifikra kwa wanaohitaji usaidizi wa wanyama hao na...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Amani yapiga marufuku Magufuli kuitwa "Mwendazake", Wametumia sheria gani?

    Kamati ya Amani ya viongozi wa dini nchini imepiga marufuku, John Pombe Magufuli kuitwa "mwendazake". Mwenyekiti mwenza wa kamati hiyo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT), Askofu Peter Konki amesema neno "mwendazake" ni matusi makubwa kwa Magufuli na...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Urusi: Mashirika yanayohusishwa na Alexei Navalny yapigwa marufuku

    Mahakama Jijini Moscow imepiga marufuku Mashirika yenye uhusiano na Mkosoaji mkubwa wa Serikali, Alexei Navalny, na watakaoendeleza harakati wapo hatarini kufungwa jela Pia mtu yeyote atakayeunga mkono kwa uwazi mtandao wa kisiasa wa Navalyn ambaye anatumikia kifungo anaweza kuzuiwa kugombea...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga marufuku wanunuzi kukopa pamba za wakulima

    Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mnunuzi yeyote anapochukua Pamba katika Chama cha Msingi, ni lazima Mkulima awe amelipwa ndani ya muda usiozidi saa 48, na watakaoenda kinyume watafutiwa Leseni. Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Robert Maboto kuhoji ni kwa namna gani Wizara...
  16. S

    JamiiForums Tanzania BASATA, huu wimbo wenye maneno "dela jipya, chupi la zamani", haudhalilisha wanawake, na kwanini msiupigie marufuku?

    Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public? Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Saudi Arabia Imeamrisha kupunguzwa kwa sauti ya Spika za adhana

    Kuna Mwanajamiiforum humu ambaye kaandika heading yake kwa chuki sana kuhusu kuzuiwa kwa sauti za Adhana nchini Saudi Arabia, na inaonekana anachuki sana dhidi ya dini ya kiislamu. Kwa sababu ya ufahamu wake mdogo namfahamisha kuwa Kilichokatazwa ni kutumia sauti kubwa za spika ambalo sio jambo...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DC Msafiri apiga marufuku watoto chini ya miaka mitano kulipia matibabu

    Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kituo cha afya Makambako kuacha mara moja kuwatoza fedha watoto chini ya miaka mitano kwa ajili ya matibabu kwa kuwa ni kinyume na sera ya Afya. Akizungumza na kituo hiki kufuatia malalamiko ya baadhi ya wanachi wa halmashauri ya mji wa makambako...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuingiza Siasa kwenye taaluma ya Uuguzi

    Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi. Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao...
  20. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya suspends Somalia flights for three months

    Kenya on Monday suspended flights from Somalia in the latest show that relations between the two sides have not thawed as announced last week. A Notice to Airmen (Notam) on Monday indicated that flights departing for or arriving from Somalia will not be allowed for three months from May 11 to...
Back
Top Bottom