Warumi marufuku Tanzania?

Candela

Member
Aug 12, 2021
77
150
Habari wanajamvi, nazani wengi tunakumbuka namba za kirumi shule ya msingi, X = 10, XX = 20 na kuendelea. Baada ya kuwa watu wazima tukajitegemea na kuamua mambo yetu binafsi baadhi tulipendelea kuangalia video za warumi katika kujifunza zaidi kuhusu maana namba zao tunazijua.

Sasa hivi karibuni takribani week 2 kila nikijaribu kuingia site za warumi hazifunguki, mwanzo nilijua mtandao lakini nimekuja kubaini zimefungiwa hizi cdn zake. Sijajua kwa nn wanazizuia hizi site mpaka sasa kwan sheria inaruhusu umri 18+ una maamuzi binafsi.

Inanisikitisha sana kwa kweli.
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
10,069
2,000
Safari lager ile sio mimi.
1629689466287.png

Lager haifai, Karibu kwenye chama cha wanywaji wa Kahawa, CWK
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
10,069
2,000
Inasaidia nini..?
Baadhi ya Faida za Kunywa Kahawa Unazotakiwa Kuzifahamu ni

1. Huchangamsha mwili

Kahawa huwafanya watu wasijisikie kuchoka na huwaongezea kiwango cha nguvu za mwili. Caffeine inayopatikana kwenye kahawa huuchangamsha ubongo na kuufanya mwili kuwa katika hali nzuri.

Hii ndiyo sababu watu wengi wenye kazi nyingi hupenda kunywa kahawa wakati wa kazi au baada ya kazi zao.

2. Huyeyusha mafuta mwilini

Tafiti mbalimbali zinaeleza kuwa kahawa huchangia katika kuyeyusha mafuta mwilini na kupelekea kupunguza uzito wa mwili.

Utafiti mmoja uliofanyika ulibaini kuwa kahawa iliweza kusaidia kupunguza mafuta kwa watu wanene kwa asilimia 10 na kwa asilimia 29 kwa watu wembamba.

3. Kahawa ina virutubisho muhimu

Kahawa ni kinywaji chenye virutubisho muhimu kwa ajili ya afya za miili yetu.

Inaelezwa kuwa kikombe kimoja cha kahawa kina virutubisho vifuatavyo:

Riboflavin (Vitamini B2): 11%.
Asidi ya Pantothenic (Vitamini B5): 6%.
Manganese na Potasiamu: 3%.
Magnesiamu na Niacin (B3): 2%.

Hivyo kunywa vikombe 2-3 kwa siku kutaongeza kiwango cha virutubisho hivi.

4. Hukabili aina ya pili ya kisukari

Kisukari ni ugonjwa ambao mwili hushindwa kutawala kiwango cha sukari mwilini. Inakadiriwa kuwa ugonjwa huu unawatesa zaidi ya watu milioni 300 duniani kote.

Hata hivyo, inasadikiwa kuwa watumiaji wa kahawa wana hatari ndogo ya kupata aina ya pili ya kisukari (type 2 diabetes).

5. Huzuia maradhi ya kupoteza kumbukumbu

Maradhi ya kupoteza kumbukumbu huwakabili watu wengi hasa wenye umri wa kuanzia miaka 65.

Kwa sasa hakuna tiba ya maradhi haya lakini yanaweza kuzuiwa au kupunguzwa kwa lishe bora pamoja na mazoezi.

Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa watu wanaokunywa kahawa hupunguza kama siyo kukabili athari za maradhi haya kwa asilimia 65.

6. Hulinda afya ya ini

Ini ni kiungo muhimu sana kwenye mwili wa binadamu. Hata hivyo maradhi kama vile uvimbe kwenye ini (hepatitis) pamoja na tatizo la seli za ini kugeuka makovu (cirrhosis), huathiri afya ya ini kwa kiasi kikubwa.

Kwa upande mwingine tafiti zinaeleza kuwa kahawa hupunguza uwezo wa seli za ini kuwa makovu (cirrhosis) kwa asilimia 80.

7. Huondoa msongo wa mawazo

Msongo wa mawazo ni tatizo baya la kiakili na kisaikolojia ambalo linaweza kuathiri maisha kwa kiasi kikubwa hata kusababisha kifo.

Inaelezwa kuwa watu wanaokunywa angalau vikombe vinne vya kahawa kila siku hupunguza msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa.

8. Hukabili baadhi ya saratani

Saratani ni maradhi yanayoua watu wengi sana duniani ambayo husababishwa na kukua kwa seli zisizo za kawaida ndani ya mwili wa binadamu.

Kahawa husaidia kupunguza kutokea kwa saratani ya ini na ile ya utumbo kwa asilimia 40.

9. Hukabili maradhi ya moyo na kiharusi

Watafiti mbalimbali wa afya wanaeleza kuwa kahawa haisababishi maradhi ya moyo pia huzuia kwa asilimia 20 uwezekano wa mtu kupata ugonjwa wa kiharusi (stroke).

10. Hukufanya uishi muda mrefu

Kama ulivyotangulia kusoma katika hoja zilizotangulia kuwa kahawa huzuia maradhi mbalimbali. Hivyo huwafanya watu wanaokunywa kahawa kuishi muda mrefu zaidi kwa kuwaepushia kufa mapema.

Watafiti wanaeleza kuwa hatari ya kifo hupungua kwa silimia 20 kwa wanaume na asilimia 26 kwa wanawake wanaokunywa kahawa.

1629690915659.jpeg

Chanzo: Eston J. (fahamuhili)

---
Pia waweza soma hapa: Vikombe 3 vya kahawa kwa siku 'vinaweza kuwa na faida za kiafya'
 
Ngorunde

Platinum Member
Nov 17, 2006
2,653
2,000
. Hukabili maradhi ya moyo na kiharusi

Watafiti mbalimbali wa afya wanaeleza kuwa kahawa haisababishi maradhi ya moyo pia huzuia kwa asilimia 20 uwezekano wa mtu kupata ugonjwa wa kiharusi (stroke).
Hapa sijapaelewa, maana mimi niliacha kahawa sababu ya mapigo ya moyo kwenda mbio.
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
10,069
2,000
Hapa sijapaelewa, maana mimi niliacha kahawa sababu ya mapigo ya moyo kwenda mbio.
Licha ya faida kadha wa kadha za matumizi ya kahawa,

Pia tahadhari inapaswa kuchukuliwa kuhusiana na kiasi au kiwango cha kawahawa unachotumia kwa siku kulingana na afya yako.

Sababu kitaalam wanasema hivi.
"Caffeine is a vasoconstrictor, which means that it decreases the size of blood vessels and can raise blood pressure."

"Caffeine may cause a short, but dramatic increase in your blood pressure, even if you don't have high blood pressure. It's unclear what causes this spike in blood pressure. The blood pressure response to caffeine differs from person to person."

Hapo utaona kuwa wale wenye tatizo la kushuka kwa pressure wanashauliwa wanywe kahawa na itawasaidia, ila wale wenye tatizo la kupanda kwa pressure basi unashauriwa uache kabisa matumizi ya kahawa.

Wataalam wa afya watachangia zaidi.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
20,197
2,000
Baadhi ya Faida za Kunywa Kahawa Unazotakiwa Kuzifahamu ni

1. Huchangamsha mwili

Kahawa huwafanya watu wasijisikie kuchoka na huwaongezea kiwango cha nguvu za mwili. Caffeine inayopatikana kwenye kahawa huuchangamsha ubongo na kuufanya mwili kuwa katika hali nzuri.

Hii ndiyo sababu watu wengi wenye kazi nyingi hupenda kunywa kahawa wakati wa kazi au baada ya kazi zao.

2. Huyeyusha mafuta mwilini

Tafiti mbalimbali zinaeleza kuwa kahawa huchangia katika kuyeyusha mafuta mwilini na kupelekea kupunguza uzito wa mwili.

Utafiti mmoja uliofanyika ulibaini kuwa kahawa iliweza kusaidia kupunguza mafuta kwa watu wanene kwa asilimia 10 na kwa asilimia 29 kwa watu wembamba.

3. Kahawa ina virutubisho muhimu

Kahawa ni kinywaji chenye virutubisho muhimu kwa ajili ya afya za miili yetu.

Inaelezwa kuwa kikombe kimoja cha kahawa kina virutubisho vifuatavyo:

Riboflavin (Vitamini B2): 11%.
Asidi ya Pantothenic (Vitamini B5): 6%.
Manganese na Potasiamu: 3%.
Magnesiamu na Niacin (B3): 2%.

Hivyo kunywa vikombe 2-3 kwa siku kutaongeza kiwango cha virutubisho hivi.

4. Hukabili aina ya pili ya kisukari

Kisukari ni ugonjwa ambao mwili hushindwa kutawala kiwango cha sukari mwilini. Inakadiriwa kuwa ugonjwa huu unawatesa zaidi ya watu milioni 300 duniani kote.

Hata hivyo, inasadikiwa kuwa watumiaji wa kahawa wana hatari ndogo ya kupata aina ya pili ya kisukari (type 2 diabetes).

5. Huzuia maradhi ya kupoteza kumbukumbu

Maradhi ya kupoteza kumbukumbu huwakabili watu wengi hasa wenye umri wa kuanzia miaka 65.

Kwa sasa hakuna tiba ya maradhi haya lakini yanaweza kuzuiwa au kupunguzwa kwa lishe bora pamoja na mazoezi.

Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa watu wanaokunywa kahawa hupunguza kama siyo kukabili athari za maradhi haya kwa asilimia 65.

6. Hulinda afya ya ini

Ini ni kiungo muhimu sana kwenye mwili wa binadamu. Hata hivyo maradhi kama vile uvimbe kwenye ini (hepatitis) pamoja na tatizo la seli za ini kugeuka makovu (cirrhosis), huathiri afya ya ini kwa kiasi kikubwa.

Kwa upande mwingine tafiti zinaeleza kuwa kahawa hupunguza uwezo wa seli za ini kuwa makovu (cirrhosis) kwa asilimia 80.

7. Huondoa msongo wa mawazo

Msongo wa mawazo ni tatizo baya la kiakili na kisaikolojia ambalo linaweza kuathiri maisha kwa kiasi kikubwa hata kusababisha kifo.

Inaelezwa kuwa watu wanaokunywa angalau vikombe vinne vya kahawa kila siku hupunguza msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa.

8. Hukabili baadhi ya saratani

Saratani ni maradhi yanayoua watu wengi sana duniani ambayo husababishwa na kukua kwa seli zisizo za kawaida ndani ya mwili wa binadamu.

Kahawa husaidia kupunguza kutokea kwa saratani ya ini na ile ya utumbo kwa asilimia 40.

9. Hukabili maradhi ya moyo na kiharusi

Watafiti mbalimbali wa afya wanaeleza kuwa kahawa haisababishi maradhi ya moyo pia huzuia kwa asilimia 20 uwezekano wa mtu kupata ugonjwa wa kiharusi (stroke).

10. Hukufanya uishi muda mrefu

Kama ulivyotangulia kusoma katika hoja zilizotangulia kuwa kahawa huzuia maradhi mbalimbali. Hivyo huwafanya watu wanaokunywa kahawa kuishi muda mrefu zaidi kwa kuwaepushia kufa mapema.

Watafiti wanaeleza kuwa hatari ya kifo hupungua kwa silimia 20 kwa wanaume na asilimia 26 kwa wanawake wanaokunywa kahawa.

View attachment 1904254

Chanzo: Eston J. (fahamuhili)

---
Pia waweza soma hapa: Vikombe 3 vya kahawa kwa siku 'vinaweza kuwa na faida za kiafya'
Ahsante kwa somo zuri vipi hakuna hasara .?
 
Amigoh

JF-Expert Member
May 15, 2016
968
1,000
Habari wanajamvi, nazani wengi tunakumbuka namba za kirumi shule ya msingi, X = 10, XX = 20 na kuendelea. Baada ya kuwa watu wazima tukajitegemea na kuamua mambo yetu binafsi baadhi tulipendelea kuangalia video za warumi katika kujifunza zaidi kuhusu maana namba zao tunazijua. Sasa hivi karibuni takribani week 2 kila nikijaribu kuingia site za warumi hazifunguki, mwanzo nilijua mtandao lakini nimekuja kubaini zimefungiwa hizi cdn zake. Sijajua kwa nn wanazizuia hizi site mpaka sasa kwan sheria inaruhusu umri 18+ una maamuzi binafsi. inanisikitisha sana kwa kweli.
Hizo namba za kirumi zimeathuri Sana vijana.. vijana sikuhizi wanahesabu Sana kuanzia nyuma yani sio poa kabisa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom