marekani

  1. JamiiForums Tanzania Wasomali wamewezaje kuipiga system na kuiba mabilioni na mabilioni ya pesa kwa muda mrefu hapo Minnesota, Marekani?

  2. JamiiForums Tanzania Kwanini baada ya Marekani kuingilia mzozo wa Mashariki mwa Congo DRC, M23 waliingia uoga na kuachilia maeneo waliyokuwa wakiyashikilia?

    Wakuu ni kivipi hili suala, hali ilibadilika ghafla baada ya serikali ya Marekani kusaini makubaliano ya amani ambayo hapo awali yalikuwa hayaheshimiwi na wahusika? M23 wamekuwa wakishikilia kwa muda mrefu maeneo ya mashariki ya Congo DRC lakini hivi karibuni walitangaza kuondoka kwenye ngome...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani wana economic cooperation with China? Dunia ina unafiki sana

    Moja ya jambo limeniacha na peace of mind ni kuwa neutral sana kwenye siasa za Tanzania zisizoeleweka. Nimeona mahali JF mleta mada ameleta document ya Desemba 2025 ambapo bunge la senate la Marekani limepanga kupitisha muswada unaagiza kutathmini ushirikiano wa Tanzania na China kijeshi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Nyerere na Magufuli Walikataa, Rais Samia Usikubali Nchi Yoyote Kuingilia Sovereignty Yetu, Iwe ni US, UK or EU!, Kwani Marekani Ndio Nani, Nini?

    Wanabodi Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Lucas Mshamba,Lucy Mikael,Yona wa Chalinze,Mwalimu na BAKWATA kuongoza utetezi wa CCM kwenye bunge la seneti huko Marekani

    Habari za ndani zina sema mwezi wa sita mwishoni ujumbe wa CCM ukiongizwa na watajwa hapo juu utaelekea Marekani ili kuitetea serikali ya CCM kwa mauaji yaliyotokea October 29 30 na 31 pamoja, uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, utekaji, kuuwawa na kupotezwa kwa watu kwa kipindi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Vurugu za Uchaguzi wa Mwaka Jana hata Marekani isingeruhusu ziendelee. Kwa Sababu lilikuwa ni Jaribio la Mapinduzi ya Serikali na Kuangamiza Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Japo ni ukweli Mchungu Lakini ni lazima Tukubali Ukweli kuwa yale hayakuwa maandamano ya Amani wala hayakupangwa kuwa maandamano ya Amani wala wapangaji na waandamanaji hawakudhamiria kuandamana kwa Amani. Tukubali ukweli kuwa yale yalikuwa ni Majaribio ama lilikuwa ni...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Kutengwa Kama Ebola Quarantine Hub ya Marekani

    Nchi ya Kenya sasa imeingia kwa mjadala mkubwa baada ya serikali ya Marekani chini ya rais Donald Trump kupendekeza Kenya iwe quarantine na treatment hub ya watu wa Marekani waliopatikana ama kushukiwa kuwa na Ebola. Mpango huo ukipita, Wamarekani waliotoka maeneo kama Democratic Republic of...
  8. JamiiForums Tanzania Irani inavyoleta mizwengwe kwenye Mazungumzo ya Amani na Marekani!!

    KWANZA, Iran inajua haiwezi kushinda vita hivi kwenye uwanja wa vita. Inaweza kushinda tu kwenye meza ya mazungumzo. Na kwa namna fulani, ndivyo hasa inavyoendelea. Kwa wiki kadhaa, mistari nyekundu iliwekwa. Tarehe za mwisho ziliwekwa. Maonyo ya mwisho yalitolewa. Kisha Iran ilifanya kile...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Fumbo la pendekezo la vikwazo vya Marekani: nyumba za vigogo.

    Zile za chini ya carpet, wadau ati kuna vigogo wana nyumba Marekani? Tujiulize.!
  10. JamiiForums Tanzania Maktaba Imepokea Vitabu Katika Historia ya Iran, Misri na Marekani

    https://www.facebook.com/share/p/1CiWRBfewf/
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mswaada wa Bunge la Marekani kuhusu Tanzania unalenga pia kuwataja wanaohusika na ukandamizaji wa demokrasia bila kusahau waliogiza na kuekelez mauji

    Hii ni sehemu ya 5 ya Mswaada husika. Jisomee:
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huku Hormuz, Kule Ebola, huku Vikwazo vya Marekani, CCM hawata tawala nchi

    Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga... CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
  13. JamiiForums Tanzania Marekani wapo sahihi. Ushahidi wangu kuhusu njama za kuangamiza Wakristo na kufuta Kanisa Nchini Tanzania

    Salaam Wakuu, Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo. Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania. Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani inaumizwa kichwa na Irani, kamwe haiwezi kujipalia makaa kwa namna yoyote ile dhidi ya Tanzania

    Licha ya hivyo, Porojo, uzushi na upotoshaji wa seneta Ted Cruz kwa maseneta wenzake, kamwe hauwezi kumshawishi Rais wa Marekani D.Trump, ambae kiukweli nae yuko confused, kuchukua hatua yoyote itakayo athiri uhusiano wa kidiplomasia wa kihistoria, wa muda mrefu sana kati ya Tanzania na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM walia chonde chonde marekani hilo rungu la Donald Trump lisitufikie, waomba waende Marekani kujieleza bunge la senate / congress

    26 May 2026 CCM Parliament Dodoma Tanzania 13th Parliament 3rd Session, 37th Session today May 26, 2026 Tanzanian parliament session : How a CCM MP Ms. Mariam Anzuruni Mungula was deeply Disturbed by the US's Agitation for severe Sanctions on Tanzanian Government Leaders...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Walifikiri Marekani inatania, vilio vimeanza kusikika ndani na nje ya bunge

    Kiongozi wa dini wa mchongo eti anaitaka serikali ya Marekani iwakemee Maseneta mara moja utadhani anamwamlisha mke wake, hivi huyu anamjua Trump.
  17. JamiiForums Tanzania Wazalendo tunasimama upande gani katika mnyukano kati ya CCM na Marekani?

    Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?
  18. R

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad: Marekani iheshimu serikali yetu inayoendeshwa kwa misingi ya Kikatiba, wanatuonea wivu tumevuka salama na Oktoba 29

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei 26, 2026, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema; "Kwenye uchochezi wowote wa namna yoyote ile, uwe wa kidini uwe wa kisiasa hatutaukubali. Hatutaukubali kama Watanzania. Watanzania wanasimama na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Trump ametufumbua Macho kuhusu nguvu ya Kijeshi ya Marekani

    Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia. Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na...
  20. JamiiForums Tanzania Leo Nape unaipiga mkwara Marekani?

    Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…