marekani

  1. I

    JamiiForums Tanzania Urusi yamtishia Seneta wa Marekani kwa kauli yake ya kejeli dhidi ya Urusi

    Russia imemweka Seneta wa Marekani Lindsey Graham kwenye orodha ya mtu anayetafutwa na hii ni kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya Russia vikinukuu hifadhi data ya wizara ya mambo ya ndani. Ofisi ya rais wa Ukraine siku ya Ijumaa ilitoa video iliyohaririwa ya mkutano kati ya Seneta...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani imetumia takribani Trilioni 15 kuokoa maisha ya Watanzania kwa miaka 20, Urusi imetumia kiasi gani?

    Beberu Marekani Ametoa Msaada wa Shilingi Tilioni 15 Nchini Tanzania Kwa miaka 20 iliyopita katika Mpango Mmoja tuu wa.kupambana na Magonjwa hasa Ukimwi na Kifua Kikuu na kuokoa maelfu ya maisha ya Watanzania kwenye sekta ya Afya. Hapo sijagusia MCCL,USAid Wala Wakfu wa Bill & Melinda Gates...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Raia wa Marekani afungwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Taarifa iliyotolewa leo Mei 27, 2023 na Mamlaka ya Kudhibiti na...
  5. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video inasambaa ikionesha Mwanajeshi wa Marekani (Texas) akiwavusha Wahamiaji haramu

    Salaam Ndugu zangu, Nimekutana na video kupitia mtandao wa Tiktok ikimuonesha Mwanajeshi wa Texas akiwavusha Wakimbizi kimagendo. Je, kuna ukweli wowote kwenye hili? Picha haihusiani na habari. Credit: AP News
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kupigwa marufuku kwa Micron kwailetea Marekani wasiwasi mkubwa

    China hivi karibuni ilitangaza kupiga marufuku kampuni za miundombinu muhimu nchini humo kununua bidhaa za Kampuni ya Micron ya Marekani inayotengeneza chip za kapyuta, baada ya kampuni hiyo kushindwa katika uchunguzi wa usalama uliofanywa na China. Tukio hili limeleta wasiwasi mkubwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa hili la Rais Mstaafu wa Marekani kushitakiwa halina ukweli unatupotosha

  8. JamiiForums Tanzania MAREKANI: LeBron James afikiria kustaafu kucheza kikapu

    Inadaiwa kuwa Nyota huyo wa Los Angeles anafikiria kuhusu uamuzi huo baada ya timu yake kupoteza kwa 4-0 dhidi ya Denver Nuggets katika Fainali za Ukanda wa Magharibi kwenye Ligi ya Kikapu ya NBA. Taarifa zinadai kuwa James amesema anahitaji muda kutafakati kama atarejea uwanjani kuendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Beijing: China yaiwekea vikwazo kampuni ya utengenezaji wa chips ya Marekani (Micron)

    The Chinese government has told operators of important infrastructure in the country to stop buying products from the US chipmaker Micron Technology. Its products carry “serious network security risks” that pose hazards to China’s information infrastructure and affect national security, the...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Marekani ina lengo gani kwa kukashifu nchi nyingine kutoa silaha kwa Russia?

    Hivi karibuni, balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini Reuben Brigety aliiomba radhi serikali ya Afrika Kusini kwa kuishutumu nchi hiyo kuipatia silaha Russia. Kabla ya hapo, Marekani nayo pia ilidai kwamba China inaweza kutoa silaha kwa Russia. Lakini halisi ni kuwa si China wala Afrika Kusini...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yakiri kuwa na madeni, yaahidi kulipa, wapinzani wasema kiwango cha kukopa kinatia wasiwasi

    Rais wa Marekani, Joe Biden amejaribu kuwahakikishia Viongozi wa Ulimwengu kuwa Marekani haitoshindwa kulipa deni lake licha ya kiwingu kinachogubika mazungumzo ya kuongeza ukomo wa Serikali yake kukopa. Akiongea kabla ya kukutana na Viongozi wa kundi la Mataifa manne linalofahamika kama QUAD...
  12. JamiiForums Tanzania Raisi yupi wa Tanzania na Marekani uliwahi mpenda Kwa Moyo?

    Za asubuhi na za kwenu , rahisi yupi umewahi mpenda na ukaona atafanya mabadiliko kwenye hizi nchi mbili Amerika nilimpenda sana George Bush Kwa sababu alikuwa hataki utani mwanga ugali na mwaga mboga . Tanzania wote tu Baba wa taifa Kwa Raha zake nchi ilikuwa yenye maadili , hela mpaka...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani yakiri mfumo wa Patriot wadunguliwa na makombora ya Urusi

    Juzi kati hapa nakumbuka genge la Ukraine lilisema limedungua makombora yote ya Urusi na hayajaleta madhara yeyote. Baadae waziri wa ulinzi wa Urusi akasema sio tu hayajadunguliwa lakini pia waliuchakaza kwa hypersonic missiles mfumo wa patriot uliopo Ukraine. Je, ni lini Genge la Ukraine...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaogopa nini kwa kuhujumu mara kwa mara hadhi ya China kama nchi inayoendelea?

    Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine la kupinga hadhi ya nchi inayoendelea ya China katika Shirika la Biashara Duniani WTO. Kwa kujibu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nje ya silaha za nyuklia, Urusi haIna kingine cha kuitishia Marekani

    Baada ya mgogoro wa kivita wa Ukraine kuanza, waziri wa mambo ya nje wa Urusi Bwana Sergey Lavrov alitahadharisha kuhusu matumizi ya Nyuklia na kusema Urusi haitasita kutumia silaha za nyuklia pale itakapobidi. Sasa naanza kuelewa kwamba ile ilikua ni defense mechanism ili kuficha udhaifu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mjue Maxwell Chikumbutso: Mgunduzi wa Zimbabwe ambaye Marekani imemchukua

    Amegundua TV isiyotumia umeme wa kawaida au solar. Amegundua Generator isiyotumia mafuta. Amegundua Helicopters na Magari ya umeme usio wa kawaida. Alianza kufanya majaribio ya kisayansi tangu mwaka 1997 ambapo alifanikiwa kuunda vifaa kama transmitter na vifaa vingine ambavyo alivipeleka...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani Hamna kitu zimebaki sifa tuu in short US military is overrated

    Jeshi la Marekani linasifika kwa silaha za kisasa iwe za nyuklia, biolojia au kemikali. Bila kusahau mindege yao mikubwa, nyambizi za kisasa, aircraft career nk. Ila ukweli ni kwamba Marekani haijawahi kushinda vita vyovyote vile. Wala Marekani haijawahi kupigana na kushinda vita vya muda...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu Afrika Kusini kuipa Urusi silaha kwa siri

    Balozi wa Marekani Nchini Afrika Kusini, Reuben Brigety ametoa shutuma hizo kwa kudai silaha hizo zilipakiwa kwenye meli ya mizigo ya Urusi iliyotia nanga katika Kambi ya Jeshi la Majini Jijini Cape Town, Desemba 2022. Amesema ana uhakika na anachokisema na kudai hilo jambo halikubaliki kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Matukio 201 ya ufyatuaji risasi yametokea Mwaka 2023

    Matukio ya mauaji ya watu kwa risasi yameendelea kuitesa Marekani ambapo kwa mujibu wa Ripoti ya Gun Violence Archive idadi ya vifo hadi Mei 8, 2023 ni 14,865 wakati waliojeruhiwa ni 11,872. Katika rekodi hizo, waliouawa kwa kukusudia au kutokusudia ni 6,417 wakati waliojiua ni 8,448, kati yao...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Huenda 'Shida ya dola' ikarejea tena nchini Marekani

    Hivi karibuni Benki Kuu ya Marekani iliongeza kiwango cha riba kwa mara ya kumi ndani ya miezi 14 iliyopita, hatua ambayo imelaumiwa tena ndani na nje ya nchi hiyo. Kuendelea kuongeza kiwango cha riba sio tu kunaifanya Marekani kukaribia kwenye msukosuko wa kiuchumi, lakini pia kunasababisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…