marekani

  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa wa Marekani kutembelea Israel kuonyesha wanafungamana na Israel kwa vyovyote

    Na hiki nimekisema mara nyingi, mataifa makubwa makubwa huko ngazi za juu zimeshikiliwa na Wayahudi, sasa unakuta mtu anayeshindia ubwabwa pale Buza anakuambia dini imesema Wayahudi watamalizwa wote hivyo amekaa anasubiri kiama cha kuwamaliza Wayahudi, anasahau kila anachokitumia kimetokana na...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

    1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA). 2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi wazi na si mpigania uhuru HAMAS! 3. Kwa takwimu hizi za kura: 4. Kwamba 10 wasiojitambua ni...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli yawaka moto Red Sea. Meli za kivita za Marekani na Ufaransa zimeshindwa kuzuia shambulio

    Meli inayoitwa Mt/Stindra inaendelea kuwaka moto na karibu ya kuzama baada ya makombora ya Houth kuishambulia katikati ya meli kadhaa za kivita za Marekani na Ufaransa. Kwa mujibu wa wasemaji wa jeshi la Marekani ambao hawakutaka kutajwa majina yao meli hiyo ilishambuliwa kwa kombora moja tu...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sintofahamu ya siasa za ndani nchini Marekani ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa uhusiano wa China na Marekani katika siku zijazo

    Mwelekeo wa uhusiano kati ya China na Marekani umewekwa wazi katika masuala ya kulegeza, kutuliza na kurejesha uhusiano huo. Jamii ya kimataifa ina matumaini kuwa, uhusiano kati ya nchi hizi mbili kubwa kiuchumi duniani utatulia, na utasonga mbele badala ya kurudi nyuma, kwani utulivu wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wagonjwa wa Sickle Cell, Dawa ya kutibu imeidhinishwa Marekani

    Hii ni habari njema kwa wagonjwa wa seli mundu ama Sickle Cell. Shirika la Madawa Marekani la FDA limeruhusu dawa ya kutibu ugonjwa wa seli mundu ianze kutumika. Kwa sasa gharama ya kutibu mtu mmoja bado iko juu lakini wanasayansi wamesema wanajitahidi kuhakikisha bei inashuka na kuwafikia...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania U.S-CHINA Tech War: China kuzuia uuzwaji wa madini adimu ya vifaa vya kielekitroniki kwenda marekani

    Huku mbiringe mbiringe zikiendelea baina ya Wamarekani na Wachina katika kugombania utawala wa kiteknolojia katika miaka na karne zijazo kaa nami karibu katika kukuletea taarifa mbalimbali kuhusu mtifuano baina ya Marekani na China kiteknolojia. Je, ni taifa lipi litaibuka mshindi na mtawala wa...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

    Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq. Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga kura ya turufu na kushikilia kwamba kipigo kiendelee Gaza

    Kura moja ya Marekani imetosha kuharibu mpango wa Umoja wa Mtaifa kutaka vita visitishwe..... Kwa kifupi HAMAS wakubali yaishe kwa kuachia mateka, na wenyewe kama vipi waihame Gaza, la sivyo itazidi kufanywa shamba.................... The United States exercises its veto at the UN Security...
  10. CalifNice

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Fridge (recondition) safi kutoka Marekani

    Kwa yeyote mwenye kuhitaji Fridge yenye nafasi kubwa ya kuweka vitu na uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa matumizi nafuu ya umeme basi anitafute kupitia namba hii 0673 17 5000 Bei yake ni Tsh 850,000 Napatikana Kigamboni Dar es Salaam
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Biden anasema kuna uwezekano wa "wanajeshi wa Marekani kupigana na wanajeshi wa Urusi"

    Wanaukumbi. 🇺🇸 BIDEN WARNS: WE HAVE TO FIGHT RUSSIAN TROOPS IF UKRAINE FALLS In what appears to be a form of blackmailing to an entire nation, Biden ties the confrontation with Russian troops directly to the withholding of aid to Ukraine "Congress have to pass aid for Ukraine" "If Putin...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  13. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani ina uwezo wa kupigana na Houthi kuilinda Israel?

    Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake. Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano kuwasaidia wenzao wa Gaza, Marekani imekuwa ikikasirika sana na hata kuwahi kusema Yemen ni rogue...
  15. Kanjwinjwi

    JamiiForums Tanzania Marekani yaelekea kufilisika kisa Vita ya Ukraine

    Haya wadau, White House warns it is running out of money to help Ukraine fight its war with Russia The White House has warned that the US is running out of time and money to help Ukraine fight its war with Russia. The White House budget director, Shalanda Young, issued the warning in a letter to...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Marekani yapata kipigo chake cha mwanzo Red Sea. Yakiri meli yake kupigwa makombora ikihusiswa na vita vya Israel

    Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa. Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwandamanaji ajichoma moto nje ya ubalozi wa Israel nchini Marekani

    Mwandamanaji mmoja yuko katika hali mbaya baada ya kujichoma moto nje ya ubalozi mdogo wa Israel katika jimbo la Georgia nchini Marekani. Polisi walisema mwandamanaji huyo alitumia petroli, na bendera ya Palestina ilipatikana katika eneo la tukio, nje ya ubalozi mdogo wa Israel mjini Atlanta...
  18. Webabu

    JamiiForums Tanzania Tufani la Alaqsa kuziangusha Marekani na Israel na kuzipindua nchi zote za kiarabu. Palestina kuwa taifa kubwa mbele ya Urusi na China

    Mipango ya mezani ya Israel wanayoiita baada ya vita inawafurahisha mno wafuasi wa Israel na mayahudi kote duniani.Mipango hiyo kwa upande wa pili kama inawatia huzuni wapenda haki kote duniani. Israel ikiendelea na mashauriano na mwenzake,Marekani wameweka mezani mikakati kadhaa ambayo...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani yaipa Israeli mabomu ya kufumua mahandaki, yaani linapiga hadi kunako

    Hiyo Gaza muisahau, inazidi kufanywa shamba... The U.S. has provided Israel with large bunker buster bombs, among tens of thousands of other weapons and artillery shells, to help dislodge Hamas from Gaza, U.S. officials said. The surge of arms, including roughly 15,000 bombs and 57,000...
  20. S

    JamiiForums Tanzania 'Hakuna kitakachotuzuia' kuwaondoa Hamas, Netanyahu aiambia Marekani

    EPACopyright: EPA Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu pia ametoa taarifa baada ya kukutana na waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken mjini Tel Aviv hii leo. Alitaja shambulio baya la Jerusalem leo asubuhi, ambalo Hamas ilidai kuwa lilitekelezwa na wanachama wake. Netanyahu...
Back
Top Bottom