marekani

  1. JamiiForums Tanzania Do you know that America worship their own secret GOD?

    Great thinkers! I heard someone saying that America as a nation has its own secret GOD. Looking from its dollar note, there are words IN GOD WE TRUST right at the middle. They are not referring to God in heaven (that most of us know)but G = Gold O = Oil D = Diamond That's why if you mess up with...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Kenya watoa tahadhari ya kuwepo kwa shambulio la Kigaidi Jijini Nairobi wakati wowote kuanzia sasa

    Ubalozi wa Marekani nchini Kenya umetoa onyo kwamba magaidi huenda wakashambulioa hoteli moja kubwa nchini Nairobi. Kulingana na ubalozi huo, hoteli iliolengwa ni maarufu kwa kuwa hutemebelewa sana watalii na wanabiashara. ''Makundi ya kigaidi huenda yanapanga njama dhidi ya hoteli moja kubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kiswahili: Watu maarufu duniani wenye majina ya Kiswahili

    Kiswahili ni lugha inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika Afrika na kote duniani. Ingawa Kiswahili kimeonekana kupanda chati na kuonekana kuzidi kushika kasi leo, lakini lugha hii ilshapata heshima tangu zamani. Wasanii na watu maarufu walitamani kuizungumza wakiwa na fikra kwamba Kiswahili...
  4. JamiiForums Tanzania Misaada mingi ya China barani Afrika, Marekani yaitaka Afrika kuwa makini

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo hivi karibuni alimaliza ziara nchini Senegal, Angola na Ethiopia na katika Umoja wa Afrika. Hii ni mara yake ya kwanza kufanya ziara katika nchi za Afrika zilizoko kusini mwa Sahara, katika karibu miaka miwili iliyopita, tangu ateuliwe kuwa Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Utabiri: Bernie Sanders Ndiye Rais Ajaye Wa Marekani

    Bernie Sanders ndiye atakayekuja kuwa Rais wa 46. Kuna vita Marekani kati ya matajiri na masikini, mfumo uliopo sasa unakandamiza sana watu wa kawaida. Pengo kati ya matajiri na wafanyakazi limezidi kuongezeka. Mfano, watu watatu matajiri kabisa wanautajiri mkubwa kuliko nusu ya wananchi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka sana IGP Sirro, yupo kimya toka tamko la Marekani juu ya Makonda. Kulikoni?

    Kanyamaza, hapendi tena lawama. Je, atakubali kuendelea kuwa IGP kuelekea Uchaguzi Mkuu au atajiuzulu? Au atatumbuliwa? Maana ni mtu muungwana anayefanya kazi na watu wasio na maadili kama alivyokuwa Kangi. Je, atakubali kutumika maana yupo kwenye rada ya Wamarekani kuelekea ICC? Ningekuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani: Aliyekuwa mshauri wa Trump ahukumiwa miezi 40 jela

    Roger Stone, aliyekuwa mshauri wa Rais wa Marekani, Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi ambaye jina lake lilitajwa wakati wa kesi ya Urusi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 na miezi 4. Uamuzi kuhisiana na kesi zilizokuwa zikimbali Stone umetolewa katika mahakama jijini Washington...
  8. JamiiForums Tanzania Equifax: Marekani yawashtaki wanajeshi wanne ''wadukuzi'' wa Kichina

    Marekani awashtaki wanajeshi ''wadukuzi'' wa Kichina.. Zaidi ya Wamarekani milioni 147 waliathiriwa mwaka 2017 wakati wanaodaiwa kuwa ni wadukuzi, ambao ni wajumbe wa Jeshi la Ukombozi la Wachina (PLA), lilipoiba data mkiwemo majina na anwani Baadhi ya wateja wa Uingereza na Canada pia...
  9. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Marekani walioathirika ubongo kutokana na shambulio la Iran wafikia 109

    Idadi ya wanajeshi wa Marekani wanaougua majeraha ya ubongo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi moja nchini Iraq mwezi Januari imefikia 109, kulingana na maafisa wa Marekani. Idadi hiyo iliongezeka kutoka wanajeshi 64 walioripotiwa hapo awali na Pentagon. Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Marekani akiiwekea vikwazo Tanzania ndio upinzani unaingia Ikulu? Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini chama ni kile kile ZANU PF

    Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi Alipoingia Magufuli alijua kuwa utaratibu ule wa awali utaendelea kwamba Magufuli ataendelea kumtumia Zito kudhoofisha Upinzani...
  11. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mgonjwa alazwa Marekani, madaktari wamtaka asisafiri

    Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena. ======== Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari...
  12. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

    Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia. Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine. Mungu awabariki...
  13. JamiiForums Tanzania Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 43 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania. Angalizo Kuhusu Security Conscious Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanajeshi wa Marekani ana hadhi sawa na mwanajeshi wa Tanzania? Kuanzia kipato/ mshahara, mafunzo?

    Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini. Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa kukutana na Maalim Seif: Kaimu Balozi wa Marekani amekiuka Mkataba wa Diplomasia?

    Wakuu, Kuna taarifa zinasambaa kwenye social media zikidai Kaimu Balozi wa Marekani amekutana na viongozi wa Upinzani (ACT-Wazalendo) na kuwa kwa kufanya hivyo amevunja Mkataba wa Diplomasia. Dkt. Inmi alikutana na Maalim Seif weekend hii. Je, ni kweli pale anapokutana na wapinzani ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

    Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi jipya la Marekani la Anga za Juu (U.S. Space Force) lafanya jaribio lake la kwanza la kombora la nyuklia

    Kikosi cha Jeshi cha Anga za Juu cha Marekani ambacho ni tawi jipya la Jeshi la Marekani kimefanya jaribio la kombora la balistiki la Minuteman III. Kikosi hiki cha masuala ya kijeshi katika anga za juu kiko chini ya Jeshi la Anga la Marekani na kilianzishwa mnamo Desemba 20 mwaka jana, 2019...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

    Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya Kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara. Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri...
  19. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Al-Qaeda huko Yemen, Qassim al-Raymi auawa na Marekani

    Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha. Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka 2015, ameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani huko Yemen, Ikulu ya White House imeeleza...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani amepandikiza virusi vya Corona ili kuishusha China kiuchumi?

    Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake. Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…