Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
811
1,000
Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema "Proclamation on improving enhanced vetting capabilities and processes for detecting attempted entry" katika tovuti ya Ikulu ya Marekani (WhiteHouse.gov).

Naambatanisha baadhi ya maneno katika ripoti hio.

Swali: Hivi ni kweli Tanzania kulikuwa na Ebola na serikali yetu ikashindwa kushirikiana na nchi nyingine katika hilo? Mbona mimi sina habari hizo? Wenye habari kamili naomba mtujuze sababu kwa wengine hili suala ni kama giza tu na inaonekana tumeonewa kuwekwa katika orodha hio fupi ya nchi 6 zilizowekewa zuio hilo.

Zuio Tanzania WhiteHouse.png

Proclamation on Improving Enhanced Vetting Capabilities and Processes for Detecting Attempted Entry

(g) Tanzania

(i) Tanzania does not comply with the established identity-management and information-sharing criteria assessed by the performance metrics. Tanzania does not adequately share several types of information, including public-safety and terrorism-related information, that is necessary for the protection of the national security and public safety of the United States.

The Government of Tanzania’s significant failures to adequately share information with the United States and other countries about possible Ebola cases in its territory detract from my confidence in its ability to resolve these deficiencies. Tanzania also presents an elevated risk, relative to other countries in the world, of terrorist travel to the United States.

Tanzania does, however, issue electronic passports for all major passport classes, reports lost and stolen travel documents to INTERPOL at least once a month, and has provided exemplars of its current passports to the United States. Further, Tanzania does share some information with the United States, although its processes can be slow, overly bureaucratic, and complicated by limited technical capability.

In light of these considerations, different travel restrictions are warranted.

(ii) The entry into the United States of nationals of Tanzania as Diversity Immigrants, as described in section 203(c) of the INA, 8 U.S.C. 1153(c), is hereby suspended.
 
bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,361
2,000
Tuwe wakweli. Umasikini wetu pia umetuponza. Wangepiga ban China na wenyewe wangepewa ban, matokeo yake biashara zingeyumba. Mbona China walificha sana coronavirus mpaka ilivyowashinda?
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,872
2,000
Kw
Tuwe wakweli. Umasikini wetu pia umetuponza. Wangepiga ban China na wenyewe wangepewa ban, matokeo yake biashara zingeyumba. Mbona China walificha sana coronavirus mpaka ilivyowashinda?
ani China walificha taarifa za corona virus?
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
156,255
2,000
Hapa nadhani kuna kitu cha ziada kinatafutwa maana sababu zinazidi kuongezeka kila siku
Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema "Proclamation on improving enhanced vetting capabilities and processes for detecting attempted entry" katika tovuti ya Ikulu ya Marekani (WhiteHouse.gov).

Naambatanisha baadhi ya maneno katika ripoti hio.

Swali: Hivi ni kweli Tanzania kulikuwa na Ebola na serikali yetu ikashindwa kushirikiana na nchi nyingine katika hilo? Mbona mimi sina habari hizo? Wenye habari kamili naomba mtujuze sababu kwa wengine hili suala ni kama giza tu na inaonekana tumeonewa kuwekwa katika orodha hio fupi ya nchi 6 zilizowekewa zuio hilo.

View attachment 1350277

Jr
 
Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
10,344
2,000
Kama ukweli ndiyo huo basi naunga mkono hatua yao,maana kama tunawanyima information,tunawanyima kufanya research binafsi,tunakataza private organizations kutoa findings za research zao,sasa watajuaje kama ipo ama haipo? Na issue si ebola tu,hata wakati ule wa dr mwele na Zika serikali illibeba ile issue kwa kasi ya zimamoto,ile ya funika kombe,mtu yeyote angekuwa na mashaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
5,813

Hawa watu Wajinga tu, Ona wanavyotangatanga! Mara iii,Mara ooo, hopeless kabisa.
Walijifanya kutoa Alarm eti Tanzania ina Tishio la kushambuliwa na Magaidi, oola, Wanataka kututengenezea matukio ambayo hayapo kabisa!!!
Waseme ukweli wana hofu na Tanzania, hatua inazochukua na matamshi ya Rais juu ya Afrika kujitegemea na Kutegemeaa yatapunguza ushawishi Wa mataifa ya Magharibi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shamimuodd

JF-Expert Member
Jan 28, 2019
640
1,000
Kama ukweli ndiyo huo basi naunga mkono hatua yao,maana kama tunawanyima information,tunawanyima kufanya research binafsi,tunakataza private organizations kutoa findings za research zao,sasa watajuaje kama ipo ama haipo? Na issue si ebola tu,hata wakati ule wa dr mwele na Zika serikali illibeba ile issue kwa kasi ya zimamoto,ile ya funika kombe,mtu yeyote angekuwa na mashaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mungu wetu mkuu hajawahi kushindwa, US hata ajitutumue vipi, Tanzania lazima ipige hatua. Wapo wazalendo kibao tu wanaoangalia hali inavyoendelea na kila kitu kipo well calculated, so everything is expected na kuna watu 24/7 wanafanya kazi.
 
DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
811
1,000
Inawezekana sio lazima uwe na Ebola, huenda hizo sababu nyinginezo za zuio tukawa nazo na Ebola ikawa kwa mataifa mengineyo yaliyojumuishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mataifa gani? DRC mwaka jana Umoja wa Mataifa imerekodi watu 3346 na vifo zaisi ya 2000 (Elfu Mbili). Lakini DRC hawajawekewa zuio wao, tunawekewa sisi? Jiulize hapo.
 
DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
811
1,000
Sisi magonjwa mengi yanatupita juu kwa juu, hatujawahi kuwa na zika, ebola na huyu corona virus atakaemtaja mgojwa hata kama yupo cha moto atakipata. Mnataka watalii waache kwenda Rubondo!
Unaongea pointi kwa kweli. Ukifikiria tumepakana na DRC upande wote wa magharibi. Hivu kweli hakina mtanzania hata mmoja aliyepata hio ebola miaka yote hii inaua maelfu ya DRC? Itakuwa hakuna rekodi zao tu hao waathirika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom