The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,452
- 17,156
Ni kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya?
Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani inakuja kukamata bangi, kwa nini Marekani isishauri serikalini kuruhusu bangi kama walivyofanya wao kule kwao?
Marekani wanasema mwaka jana walifungua tawi la jeshi la kupambana na madawa ya kulevya Tanzania.