marekani

  1. JamiiForums Tanzania Nasi tuige Bunge la Marekani kutunga sheria kuzuia Rais kutoa misamaha ovyo, na kushitakiwa kama raia yeyote wa Marekani. Hakuna aliye juu ya Sheria

    Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump. 1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe. 2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka Rais hawezi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Taiwan yaungana na Marekani, yadai Huawei ni kirusi cha kichina, Trojan Horse, yadai wao walishaipiga marufuku toka 4G inaanza

    Waziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi Waziri huyo ambae zamani alikua muiba taarifa za kimtandao ama kwa kimombo hacker anasema wao Taiwan walishaliona hilo la Huawei muda mrefu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha wamiliki wa silaha/bunduki nchini Marekani wametangaza kumuunga mkono Trump Uchaguzi Mkuu

    Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020 NRA wanasema mtu pekee ambae anaweza kuwahakikishia uhuru wao wa kumiliki siraha ni Trump kwani Biden...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

    Utawala wa Bwana Donald Trump unafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye manunuzi ya aina yoyote au wanaita dollar decoupling. Dollar ya kimarekani ndio sarafu maarufu inayotumika kufanya malipo Duniani, zaidi ya 60% ya malipo Duniani yanafanyika kwa njia ya Dollar. Dollar ndio...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Marekani anafikiria kuwawekea vikwazo vya kusafiri viongozi wakuu wa Chama cha Kikomunisti cha China

    Marekani inafikiria kuiwekea vikwazo vya kusafiri kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China au CCP ama wanachama wake waandamizi. Huu ni muendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya China. Chombo cha habari cha China kimedai kua kuwekea wanachama au viongozi wakuu wa chama cha ukomunisti...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ametangaza kua serikali ya nchi hiyo itawawekea vikwazo vya kusafiri wafanyakazi wa makampuni ya Kichina ikiwemo Huawei. Pompeo amesema watawawekea vikwazo na kuwapiga marufuku wafanyakazi wa makampuni ya Kichina wasisafiri hivyo kuathiri kabisa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Marekani kuondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko yake ya hisa kwa kukiuka masharti ya CAG wa Marekani

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kuiwekea mbinyo China, sasa Marekani inatarajia kuziondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko ya hisa ya Marekani kwa kutofuata kanuni za ukaguzi wa Marekani. Kanuni za ukaguzi wa Marekani zinataka kila kampuni inayouza hisa zake Marekani ikaguliwe...
  8. JamiiForums Tanzania Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

    DON NALIMISON, I DECIDED TO LEAVE AFRICAN POLITICS FOR THE PURPOSE OF BULDING NEW AMERICAN(U.S.A). I was a Politician in Africa in Tanzania for many years for nothing without gaining support for changing African Continent thinking capacity. Africans in Africa do not need changes only they need...
  9. JamiiForums Tanzania Kupelekwa Madini ya Tanzanite kwenye maonesho Marekani

    Habari zenu Wadau Leo katika Habari za Biashara ITV nimesikia kuna kampuni moja inataka kuandika barua kuomba madini ya Tanzanite tuliyoyanunua kwa bei ghali zaidi na makubwa zaidi dunia nzima yaende USA kwenye maonesho. Yafutayo ndio niliyojiuliza Mosi, Ingawa wazo ni zuri ila tunauhakika...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuiga

    Watanzania hutembea miendo mirefu kwenda kazini kwa miguu Marekani mtu katembeaa kilomita chache tu kwenda kazini kapewa gari na kuitwa mfano wa kuigwa na Kila mmarekani!! Toa maoni
  11. JamiiForums Tanzania Marekani yatarajia kuzuia mitandao ya kijamii ya China ikiwemo TikTok

    Mike Pompeo amesema Marekani inaangalia kuzuia matumizi ya Apps za wachina. Alisema wanachukulia swala hilo kwa uzito sana Wataalamu wa kidiplomasia wa nchi Marekani wamesema, watu wajue kuwa wanapopakua apps hizo wajue kuwa taarifa zao binafsi zitaenda kwa serikali za China Msemaji wa TikTok...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kufungia mtandao wa Tik Tok na mitandao mingine ya kichina

    Katika kile kinachoitwa kuishughulikia China kiuchumi, na kiteknolojia serikali ya Marekani inataka kufuata njia ya India kufungia mitandao yote ya kijamii kutoka China kama Tik Tok, likee na mingine. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo amesema wanafikiria kufanya hivyo hivi...
  13. JamiiForums Tanzania MAREKANI: Kifo Cha Malcom X na Kufukuzwa kwenye Chama Cha Umoja Wa Waislam (NOI)

    NA AnonymousAfrica #Twitreporter Nimeandika hii, kwaajili ya kuwapatia watu picha kamili kwa lengo la kukujuza / kuelimisha / Kwa wengine ni burudani pia. Sina lengo la kuchonganisha, wala kubagua Kuuliwa kwa Malcolm X Mnamo Februari 21, 1965, Malcolm X aliuawa wakati akitoa hotuba katika...
  14. JamiiForums Tanzania Waandamanaji wangusha Sanamu ya Christopher Columbus Marekani

    Kundi la waandamanaji nchini Marekani limeangusha sanamu la Christopher Columbus na kulitupa majini kwenye bandari ya mjini Baltimore hapo jana usiku, baada ya Rais Donald Trump kuahidi kulinda mwenendo wa maisha ya Wamarekani ulioanzishwa kufuatia Columbus kuligundua bara la Amerika. Wimbi la...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Uingereza kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha, sababu ni vikwazo vya Marekani

    Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha. Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo wa 5G ndani ya Uingereza kwa baadhi ya sehemu, kwamba ingeshiriki kwa 35% kuunda mfumo wa 5G na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hushpuppi afikishwa Marekani, asomewa mashtaka ya utakatishaji pesa. Atuhumiwa kutapeli club moja ya EPL £100M

    Socialite wa mitandaoni kutoka Nigeria, mfanyabishara hewa Hushpuppi aliekamatwa mwezi uliopita mjii Dubai amehamishiwa Marekani na kusomewa mashtaka ya utakatishaji pesa na uhalifu wa kimtandao. Atuhumiwa kutaka kutapeli club moja ya EPL wamtumie Pound 100M sawa na Dollar 124M au Bilioni 280...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanza TV waitwa na TCRA kujieleza kwanini wasifutwe kwa kuchapisha habari ya Ubalozi wa Marekani juu ya COVID 19

  18. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya vikwazo vya Marekani, India kuiondoa Huawei kwenye majaribio ya 5G

    Juzi waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo alisema upepo umeanza kuwabadilikia Huawei. Pompeo anasema kutokana na kampeni ya Marekani sasa watu wengi ulimwenguni wameanza kuona hatari ya Huawei na kuanza kuachana nayo. India imesema itaiondoa Huawei kushiriki kwenye majaribio ya 5G...
  19. JamiiForums Tanzania Deputy Chief of Party (DCOP) at United States Agency for International Development (USAID)

    Deputy Chief of Party (DCOP) Location: Dar Es Salaam, Tanzania Position Category: Direct hire, paid in US Deadline Date: 07/07/2020 Description Overview: The Global Health Supply Chain–Technical Assistance–Tanzania (GHSC-TA-TZ) program, supported by the United States Agency for International...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…