Marekani anafikiria kuwawekea vikwazo vya kusafiri viongozi wakuu wa Chama cha Kikomunisti cha China

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,451
17,154
Marekani inafikiria kuiwekea vikwazo vya kusafiri kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China au CCP ama wanachama wake waandamizi.

Huu ni muendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya China.

Chombo cha habari cha China kimedai kua kuwekea wanachama au viongozi wakuu wa chama cha ukomunisti cha China ni kutangaza vita baridi.

U.S. Weighs Sweeping Travel Ban on Chinese Communist Party Members
 
Marekani huko ni kuhangaika sasa, kila siku na jambo jipya, ni sawa na umuuzie mtu kitu kisha ubaki unajiuliza kilasiku kwamba ulimuuzia bei ndogo, unaumia kidogo unajipa moyo.
 
Marekani inafikiria kuiwekea vikwazo vya kusafiri kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China au CCP ama wanachama wake waandamizi.

Huu ni muendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya China.

Chombo cha habari cha China kimedai kua kuwekea wanachama au viongozi wakuu wa chama cha ukomunisti cha China ni kutangaza vita baridi.

U.S. Weighs Sweeping Travel Ban on Chinese Communist Party Members
... very simple; China nao wawawekee vikwazo vya kusafiri viongozi waandamizi wa vyama vya siasa nchini Marekani. Rahisi tu.
 
Kuna muda tufikirie hivi vikwazo vya marekani vina athari kiasi gani kulingana na kile wanachotuaminisha kupitia vikwazo hivyo.
Ni kweli vina athari ya moja kwa moja ni publicity kuaminusha dunia km wao hawashindwi.
Kwa mfano vikwazo hivi vitawazuia viongozi waandamizi wasiingie US ama wasisafiri kabisa, km ni US pekee basi kwa taifa km China ni ile kujikweza tu.
Wamekuwa wakiweka vikwazo vya kiuchumi na bado mataifa yamekuwa na alternative ya kugeuza fursa na kupiga hatua na kuacha kutegemea huku wate mueka vikwazo akiathirika zaidi maana inakuwa ngumu kuwa na mbadala
 
Back
Top Bottom