marekani

  1. JamiiForums Tanzania Kinachojiri uchaguzi wa Rais wa Marekani

    Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko. Wale wa : Washington DC New York Chicago Seatle Califonia Texas Nevada nk. Haijalishi hata kama uko huko kwa msaada wa VPN we lete...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Marekani: Trump amshutumu Biden kuiba kura, Twitter yatoa tahadhari kuhusu chapisho la Trump 'linalopotosha'

    Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura. Trump aliandika...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Balozi wa USA nchini amtaka Rais Magufuli achukue hatua zaidi ya kuwaachia Mbowe na wenzake

    Mbali na kuachiwa viongozi wa upinzani bado Marekani imetaka hatua za mapendekezo yake yote kuchukuliwa. Soma alichotoa Balozi wao nchini:
  4. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika tupieni jicho Uchaguzi wa Marekani

    Leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu Nchini Marekani ambapo Mwanasiasa Nguli Joe Biden atakuwa akichuana vikali na rais wa sasa wa Marekani Ndg. Donald Trump. Katika Uchaguzi huu wa mwaka huu Joe Biden anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya Donald Trumpn kwani tafiti zinaonyesha kuwa uwezekano wa kushinda...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

    The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini Tanzania: Serikali ihakikishe usalama wa Viongozi wa Upinzani, iwaachie waliokamatwa na kurejesha mawasiliano kwa wananchi

    Balozi huyo ameandika: Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
  7. JamiiForums Tanzania Operesheni ya Kikosi Maalum cha Jeshi la Marekani yafanikisha kuokolewa kwa Raia wa Marekani aliyetekwa nyara nchini Niger

    Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria, vyombo vya usalama nchini Marekani vimethibitisha. Raia huyo, Philipe Nathan Walton, alitekwa nyara...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani ndio rafiki zetu wa kweli

    Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia. Kilichotokea kwenye uchaguzi huu Wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

  10. JamiiForums Tanzania Marekani yakosoa na kutilia mashaka mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu 2020 Tanzania

    Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka. Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza)...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa Marekani 2016 Bi Hilary Clinton Leo Ametimiza Umri Wa Miaka 73 Ya Kuzaliwa Kwake!

    Ni Mwanamama Bi Hillary Clinton Ni mke wa Rais wa Zamani wa Marekani Bill Clintone & amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo kubwa Duniani.
  12. JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Balozi wa Marekani nchini ashitushwa na kusikitishwa na matukio ya uonevu wa Vyombo vya Dola dhidi ya wananchi Zanzibar na kwingineko Tanzania

    Nchi yetu ipo right below the microscope - hachomoki mtu mwaka huu haki ya nani
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Ubalozi wa Marekani: Barua hii inayosambazwa WhatsApp ni feki100%

    Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa kusambaza uzushi. Chukua muda wa kutafakari na kuzithibitisha kabla ya kuzisambaza.
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama za Ulaya, Marekani na China huwa zinaongeza mishahara ya watumishi wa umma kila mwaka?

    Nchi masikini zenye uchumi unaoyumba (unstable economy) na mfumuko mkubwa wa bei (high inflation rate), hulazimika kila mwaka kuongeza mishahara ya watumishi wake ili kujaribu kukabiliana na mfumuko wa bei. Ongezeko hilo la mishahara kwa kawaida huwa ni kiduchu lakini matokeo yake huwa ni...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfahamu Mkenya anayeendesha kampeni za mgombea urais Marekani, bwana Biden

    Wadhifa wake "Director of Special Projects in Biden's 2020 campaign" Democratic party presidential nominee Joe Biden and Director of Special Projects Esther Ongeri TWITTER A Kenyan woman, Esther Ongeri, is among a team of staff working with Democratic Party candidate Joe Biden in the US...
  18. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

    I first came to Tanzania over 30 years ago to volunteer as a doctor, and that experience instilled in me a deep and lasting affection and respect for Tanzania and the Tanzanian people. It was the greatest honor of my life to be given the opportunity to come back all these years later to serve as...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya Afrika?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini Marekani imewazidi Mexico kwa mbali sana tofauti na Ujerumani inavyotaka kulingana na Ufaransa ilhali hizo zote sio nchi za ndani ya bara la Afrika? Je, ushahidi huu ni udhibitisho mwingine tena wa ule...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani mwaka 2082

    Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa mtoto wa kiume atakaeitwa JAYNOUE OLIVER BECK. ambaye atachaguliwa kuwa raisi wa marekani 3-11-2082...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…