Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa urais Marekani, uliofanyika Desemba 1788 hadi Januari 1789, mtindo wa kumchagua na kupata Rais, ulisababisha vichwa vya mababa waasisi wa taifa hilo viume. Anachaguliwaje?
Ilikuwa mwaka 1787 baada ya Kongamano la Kikatiba lililofanyika Philadelphia, Marekani...
Ingawa hatupewi taarifa za kueleweka lakini yanayoendelea Mtwara kwa uchache yanafahamika. Kuna uwezekano mkubwa kabisa Tayari kile kikundi cha ugaidi kilichokuwa kinasumbua kule Msumbiji Ni rasmi Kiko Tanzania.
Watu wa Mtwara wanaweza kuthibitisha hili. Miezi kadhaa iliyopita Serikali ya...
Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu?
Mema waliyonayo wamarekani leo hayakuja kama mvua. Yalipiganiwa na hata damu kumwagika. Sembuse kukaa mahabusu au hata kufungwa jela...
Trump, rais wa 45 wa Marekani anajivunia rikodi ya kuimarisha uchumi na kupunguza kwa kiwango kikubwa ukosefu wa ajira lakini anakosolewa kwa jinsi alivyoshughulikia janga la virusi vya corona.
Biden, mwanasiasa anayegemea sera za wastani za mrengo wa shoto ameahidi kulinda haki ya wamarekani...
Rapper aliyechanganyikiwa kakubali kushindwa kwenye uchaguzi Marekani ambapo alikuwa anashindana kuchaguliwa kuwa Rais kupitia chama chake cha "birthday party" .
Jumla za kura alizopata 0.2%
Kanye West ambaye ndio ilikuwa Mara yake ya kwanza katika maisha yake kupiga kura amemkubali matokeo...
Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko.
Wale wa :
Washington DC
New York
Chicago
Seatle
Califonia
Texas
Nevada nk.
Haijalishi hata kama uko huko kwa msaada wa VPN we lete...
Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura.
Trump aliandika...
Leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu Nchini Marekani ambapo Mwanasiasa Nguli Joe Biden atakuwa akichuana vikali na rais wa sasa wa Marekani Ndg. Donald Trump. Katika Uchaguzi huu wa mwaka huu Joe Biden anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya Donald Trumpn kwani tafiti zinaonyesha kuwa uwezekano wa kushinda...
The United States commends the Tanzanian people for attempting to exercise their right to vote in the October 28 general elections. However, we remain deeply concerned by credible reports of significant and widespread voting irregularities, internet interruption, arrests, and violence by...
Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
Raia wa Marekani aliyekuwa ametekwa nyara nchini Niger ameokolewa katika operesheni ya kijeshi iliyotekelezwa na Kkosi Maalum cha Jeshi la Marekani (US Special Force) karibu na mpaka wa Nigeria, vyombo vya usalama nchini Marekani vimethibitisha.
Raia huyo, Philipe Nathan Walton, alitekwa nyara...
Tulikuwa tunadangaywa na propaganda za watu wachache kwamba Marekani ni wavuruga amani pamoja na Kuwaita Mabeberu lakini bado hawa watu wana huruma sana na Afrika. Misaada mingi wameendelea kutupatia.
Kilichotokea kwenye uchaguzi huu Wananchi tumejionea wenyewe viongozi wetu ndio cha amani...
Serikali ya Marekani (USA) kupitia ubalozi wake hapa Tanzania imetoa taarifa yake kuhusu mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu wa Tanzania kwa kuukosoa na kutilia mashaka namna ulivyoendeshwa. Pia imetoa angalizo la hatari za mzozo unaoelekea kwenda kuibuka.
Tamko rasmi (Kiswahili na kiingereza)...
Ni Mwanamama Bi Hillary Clinton
Ni mke wa Rais wa Zamani wa Marekani Bill Clintone & amewahi kuhudumu kama Waziri wa Mambo ya Nje wa Taifa hilo kubwa Duniani.
Barua hii inayosambazwa Whatsapp ni feki100%. Tunavyokaribia siku ya uchaguzi, kunajitokeza taarifa nyingi za uongo zinzosambazwa katika mitandao ya kijamii. Usidanganyike ukaingia kwenye mtego wa kusambaza uzushi. Chukua muda wa kutafakari na kuzithibitisha kabla ya kuzisambaza.
Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania
Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion.
Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.