marekani

  1. Marekani yawawekea vikwazo waendesha mashitaka (ICC)

    Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa kutekelezwa na Marekani nchini Afghanistan. WALE MASHABIKI WA USA NA WASHIRIKA WAKE, NA KUAMINI KUWA...
  2. Marekani imetangaza kuwa haitahusika katika Mpango wa Ulimwengu unaolenga kutengeneza, kutoa na kusambaza chanjo dhidi ya COVID-19

    Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Akisisitiza kuwa Marekani itafanya suala la chanjo peke yake...
  3. Ota Benga: Kijana aliyewahi kuwekwa kwaajili ya maonesho nchini Marekani

    Ota Benga alitekwa nyara kule ambako sasa hivi kunafahamika kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mwaka 1904 na kupelekwa Marekani lengo likiwa nikumfanya kuwa onyesho. Mwanahabari Pamela Newkirk, ambaye ameandika mengi kuhusu suala hilo, anaangalia matukio kadhaa ya kuficha ukweli wa kile...
  4. Hivi kweli Marekani watu wameathiriwa na Corona au ni hype tu?

    Ukisikia mara Marekani watu wengi wamekufa kwa Corona. Lakini video na picha za hivi karibuni tunaona watu hawavai barakoa na wala hakuna cha social distance. Kwenye mikutano yao ya vyama wanakusanyika kama kawaida na wala hakuna cha measures. Huyu Corona haeleweki kama kweli sifa wanazompa...
  5. GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  6. GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  7. TANZIA Mtanzania Johnson Mdoe auawa kwa risasi Marekani. Polisi watangaza dau kwa yeyote mwenye taarifa

    Polisi mjini Dallas wameomba msaada wa kumpata mtuhumiwa wa mauaji ya mhamiaji kutoka Tanzania, Johnson Mdoe Mchaina ambaye alikuwa anafanya kazi usiku kusaidia familia yake iliyopo Tanzania anapotoka. Hivi ya CCTV inamuonyesha mtuhumiwa akimpiga risasi Johnson na kuchukua maisha yake. Tukio...
  8. T

    Kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Drug Enforcement Agency Tanzania?

    Ni kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya? Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani...
  9. Democrat wamteua rasmi Joe Biden kuwa Mgombea Urais wa Marekani

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa kitaifa wa Chama cha Democratic nchini Marekani wamemteua rasmi Joe Biden kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi utakaofanyika baadae mwaka huu. Marais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton na Jimmy Carter, walimpigia debe Biden kuwa mtu mwenye...
  10. T

    Vikwazo vipya vya USA kwa Huawei vinazuia hata kampuni choka mbaya kama Mediatek kufanya biashara na Huawei

    Marekani imetangaza vikwazo vipya kwa kampuni ya Huawei zaidi ya vile ilivyotangaza mwezi MAy mwaka huu ambavyo vilizuia makampuni makubwa ya kutengeneza chipsets kama Samsung na TSMC kuiuzia Huawei. Jana Jumatatu Marekani imetangaza vikwazo vipya kwa Huawei ambavyo vinazuia kampuni hata za...
  11. K

    Makao Makuu ya chama cha Republican, Orange County yalichomwa moto. Je, Tanzania tuliwaingilia?

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu...
  12. GE2020 Serikali ya Marekani yaonya "Vitisho na mabavu dhidi ya upinzani si dalili nzuri ya Uchaguzi Huru Tanzania Oktoba 2020"

    MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika hatukuwaambia yakiwakuteni ya kuwakuteni!
  13. Waliowategemea ndugu walio Ulaya na Marekani wana hali mbaya kiuchumi

    Watu walio nje ya nchi, hasa waafrika walioko Marekani na Ulaya wamekuwa watu wanaotoa msaada kwa familia zao zilizobaki Afrika kwa kuwatumia pesa na vitu mbalimbali kila wakati. Kutokana na changamoto ya COVID19 na hatua mbali mbali zilizochukuliwa ili kuepuka maambukizi zaidi ya janga hilo...
  14. China na Urusi kupunguza matumizi ya dola

    Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao. Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
  15. Yale matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu COVID-19 nchini yameishia wapi?

    Kwa mtu anayechanganua masuala kwa undani utagundua kuwa matamko ya Ubalozi wa Marekani kuhusu kile walichokuwa wanakiita ''Hali mbaya ya maambukizo nchini'' kimepotea baada ya tamko lao la mwisho la mwezi Mei 2020. Nadhani Ubalozi wa Marekani umegundua kuwa matamko hayo yalikuwa hayaisaidii...
  16. Ujerumani: Tunaionya Marekani, iache kutupangia nishati ya kutumia

    Ujerumani imesema inaionya Marekani iache kuwapangia nishati ya kutumia kwani kila nchi ina uhuru wa kuamua itumie nishati gani. Ujerumani inashirikiana na Urusi kujenga bomba la gesi, Nord 2 kutoka Urusi hadi Ujerumani lakini Marekani ametishia kuliwekea vikwazo hilo bomba lisikamilie au...
  17. Marekani itaporomoka vipandevipande ikiwa tu itawakataa Waisrael,itaikataa Ulaya na ikiwa itaanza kujitenga ndani ya majimbo yake....

    Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya, Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na maombi kwa Marekani,pia Waisrael wapo Urusi,wanachokifanya wakitoa silaha Toleo jipya Urusi Waisrael...
  18. Kwa mara ya kwanza idadi ya makampuni ya China kwenye orodha ya Fortune ya makampuni 500 yenye nguvu duniani yaizidi ya Marekani

    Jarida la Fortune ambalo limekuwa likitoa orodha ya kampuni yenye nguvu zaidi duniani, limetoa orodha ya mwaka huu ya makampuni 500 yanayoongoza duniani. Kwa mara ya kwanza kwenye orodha hiyo idadi ya makampuni ya China, ikiwa ni yale ya China Bara na Hong Kong imefikia 124, ikiwa imezidi idadi...
  19. China yajibu mapigo yaipiga Sanction Marekani

    China said it will sanction 11 Americans in retaliation for similar measures imposed by the U.S. on Friday, but the list doesn’t include any members of the Trump administration. Those sanctioned include Senators Marco Rubio, Ted Cruz, Tom Cotton and Pat Toomey; Congressman Chris Smith; Human...
  20. T

    Vikwazo vya Marekani: Huawei yatangaza kuacha kutengeneza simu za viwango vya juu, flagship phones

    Baada ya vikwazo vya Marekani, kampuni ya Huawei imetangaza kuacha kuzalisha flagship chipsets za Krin zinazotumika kuendesha simu za viwango vya juu ama flagship phones kama Huawei P series na Huawei Mate series. Vikwazo vya Marekani vimefanya imekua ngumu kwa Huawei kupata vifaa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…