marekani

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Japan na Ujerumani zinakaliwa na Marekani kimabavu na hazina jinsi ila kujifanya ni makubaliano

    Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na wakorea ya kusini hawaivi kabisa na wajapan. Baada ya vita kuu ya pili Hitler na Japan waliposhindwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yamtishia China: Eti Marekani itaipigania Taiwan kama China ikitaka kuichukua kwa nguvu

    Ninachofahamu "hatishiwi nyau". Marekani kudai kuwa kama China ikiamua kuichukua Taiwan kwa nguvu, iko tayari kuipigania taiwan kijeshi ni uongo na ndoto za mchana!! Marekani haina kabisa ubavu wa kujiingiza vitani na taifa lolote lenye nguvu ya nyuklia kama China!! Kwa asili Marekani ni...
  3. JamiiForums Tanzania Dunia ilipaswa kujitenga na Marekani mara baada ya Vita ya II ya Dunia

    Kila nikijaribu kufikiria Raia wasio na hatia waliouawa huko Hiroshima na Nagasaki zaidi ya Raia laki 3 kufa papohapo na wengine mamilion kuathiriwa na mionzi ya yale mabomu mawili ya Hiroshima na Nagasaki huwa najiuliza swali moja tu! Kwanini Duniani haikuiwekea vikwazo Marekani? Kwanini Dunia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje China: “Mkakati wa Indo Pasifiki” wa Marekani utashindwa tu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi amesema mpango wa Marekani uitwao “Mkakati wa Indo Pasifiki” utashindwa tu, kwani unasababisha jumuiya ya kimataifa kuwa na wasiwasi mkubwa na kuwa macho, hasa katika eneo la Asia-Pasifiki. Bw. Wang ameyasema hayo kwa wanahabari baada ya mkutano wake na...
  5. JamiiForums Tanzania Kiherehere cha Marekani na NATO yake ndicho kilichotufikisha hapa

    Vita ya kwanza ya dunia iliibuka kutokana na kuwepo kwa mataifa (multipolar) yenye nguvu ya kiuchumi na kijeshi yaliyokosa kuheshimiana! Baada ya vita hiyo, kukatengenezwa 'the league of nations' kama njia ya kutengeneza utengemano kati ya mataifa hayo! Hata hivyo, vita hiyo haikuwa fundisho...
  6. JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu Urusi kutumia Chakula Kama silaha ya kivita Ukraine

    Maneno hayo ya secretary wa US- Antony blinken yanakuja baada ya Russia kushikilia moja kwa moja miji ya bandari na viwanda ya Odesa na mariupol. Russia ilizuia usafirishaji wa bidhaa za Chakula na mazao kwa kile kilichodaiwa kua Chakula na mazao hayo yamekua yakienda kwenye maghala ya nchi za...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yafungua Ubalozi wao ndani ya Kyiv baada ya kuufunga takriban miezi 3 iliyopita

    Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice. When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
  8. JamiiForums Tanzania Je, wajua kwamba kunguni wanasumbuwa Ulaya na Marekani? Kama na wewe unasumbuliwa na kunguni hii ndio sumu kiboko yao

    Kunguni ni wadudu wadogo wa familia ya Cimicidae Wadudu hawa huishi kwa kufyonza damu ya wanyama wenye damu moto (mamalia na ndege). Spishi hii huishi mara nyingi katika vitanda vya watu na masofa majumbani kwetu. Watu wengi kwakutokuelewa wanadhani na wanaamini kunguni uwapata watu wachafu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kauli za Marekani kuilenga Huawei ni mbinu ya ushindani wa kibiashara

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni naibu waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bibi Wendy Sherman aliyekuwa ziarani nchini Angola, alisema Angola na nchi nyingine za Afrika kutumia vifaa vya kampuni ya Tehama ya China HUAWEI, ni kuhatarisha usalama wa nchi. Kauli hiyo aliyotoa Bibi Sherman baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Interview ya visa ubalozi wa Marekani

    Jamani naombeni msaada wa mawazo juu ya kufanya malipo online nahitaji kulipia visa ya Canada Leo siku ya nne. kila nikilipia sipati OPT code kutoka bank ili niingize kukomferm malipo, lingine nahitaji mwenye kujua nimaswali gani haswa wanauliza pale ubalozi wa Marekani maana Nina interview...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Zinapokutana vurugu za bunduki na ubaguzi wa rangi, "Black Lives Matter" inakuwa kauli mbiu ya bure nchini Marekani

    Kwa mujibu wa takwimu kutoka tovuti ya "Gun Violence Archives" ya Marekani, tukio la ufyatuaji risasi lililotokea mjini Buffalo, New York, tarehe 14, limekuwa tukio la 198 la mauaji ya watu kwa kutumia risasi nchini Marekani mwaka huu, na pia ndilo baya zaidi kwa mwaka huu. Kijana mzungu mwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Biden asema Mauaji ya watu 10 ni ugaidi wa ndani

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi. Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na mafanikio, Madhaifu makubwa yatajwa kwa idara ya intelijesia ya Marekani

    Idara hii iliweza kuthibitisha pasi na shaka kwamba Russia itaivamia Urusi, japo ikakosea ama haikuwa na uwezo kujua muda Mrussi atakaotumia kuiteka Kyiv. TaarifA iliyokuwepo ni Russia kumaliza operesheni yake ndani ya siku kadhaa tu ama wiki huku wanasiasa wengine wakitia chumvi kwamba...
  14. 5

    JamiiForums Tanzania Marekani wajaribu Hypersonic weapons successfully

    Itakumbukwa kwamba Putin alisema hii ni silaha ambayo haipo katika taifa lolote isipokuwa Russia, nadhan sasa yametimia...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha majeshi ya Marekani kurejea Somalia

    Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko. Kabla ya Trump...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyeua Watu Weusi 10 kwa risasi alipanga kuendelea za tukio kama hilo sehemu nyingine pia

    Kijana Payton Gendron, 18, ambaye aliwaua watu 13 kwa kuwafyatulia risasi, 10 kati yao wakiwa wenye rangi nyeusi inaelezwa alipanga kufanya mauaji zaidi kama angetoroka eneo la tukio Jijini New York, Marekani. Kamishna wa Polisi, Joseph Gramaglia amesema: “Alitaka kwenda kwenye gari alekee...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Marekani wamekata tamaa na siasa

    Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa wanaona kuwa "shughuli za kisiasa ni nadra kuzaa matokeo halisi", na 42% ya waliohojiwa walisema kura...
  18. JamiiForums Tanzania Gharama ya chumba kwa siku ni Milioni 1.7 kwa Hoteli ya the Ritz Carlton iliyotumika na Msafara wa Royal Tour Marekani

    Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton. Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba. Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo...
  19. JamiiForums Tanzania THE NEW YORKER: Rais Samia amefika Marekani kusahihisha taswira iliyoachwa na Magufuli aliyeitenga Tanzania na Dunia. Lairarua ziara ya Royal Tour

    Jarida maarufu duniani la 'The New Yorker' lililoasisiwa mwaka 1925 nchini Marekani limeongelea ziara ya Rais Samia Central Park, Marekani. Jarida limemtaja Rais Samia kama Rais wa kwanza mwanamke Tanzania ambae alifika nchini Marekani kuupamba Utalii, kuonana na Kamala Harris na kuhudhuria...
  20. JamiiForums Tanzania Racially hate terrorism in US (Ugaidi wa Kibaguzi Marekani)

    Ugaidi wa Kibaguzi Marekani. Biden kasema ni ugaidi. Hii ni baada ya kijana kuua watu kuni huku kuni na moja aliopiga risasi wakiwa na asili ya kiafrika! Kuweni makini mkiwa huko Marekani. Tanzania inatakiwa ku rise threat alert to Level 5 kwa raia wake wanaoelekea Marekani. Na balozi wetu huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…