marekani

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  3. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Fuatilia kupitia link hii:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya jeshi la Ukraine kwa Mwaka ni Dola 2.3 bilioni. Mpaka Sasa imepewa "msaada na Marekani zaidi ya Dola 3 bilioni.

    Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni kielelezo Cha kifurahia utamu wa mawindo aliyopata! Kumekuwa na makelele ya vilio Toka Nchi za magharibi...
  5. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  6. scatter

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Marekani isipotupaisha uchumi wa juu tutaishitakia mizimu

    Ziara ya mkuu wa nchi anayondelea nayo nchini marekani zaidi ya wiki sasa ni nzuri sana ila ni lazima tuseme ukweli haitatuletea mapinduzi ya kiuchumi na nchi yetu kuwa na uchumi wa hali ya juu kama baadhi ya nchi za Afrika. Ziara ya zaidi ya wiki moja ni kitu kikubwa sana kwa mtu ambaye...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dunia imechelewa mno kuishtukia Marekani kuhusu utawala wa pesa yake DOLA katika uchumi wa dunia. Angalau sasa wameishtukia

    Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu. Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
  9. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujulishwe shughuli zote anazozifanya Rais Samia huko Marekani

    Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani. Popote duniani huo...
  10. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Sikia makubaliano mapya kati Tanzania na jiji la Dallas, Marekani

  11. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi: Inasemekana kila mwanakikundi wa ngoma kutoka Bagamoyo walioenda Marekani matumizi kwa siku ni milioni 3!

    Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani. Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel. Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Auawa kwa kuumwa na nyoka anaowafuga nyumbani kwake kwa siri, Polisi wakuta nyoka 124

    Mwanaume mmoja katika maeneo ya Maryland huko Marekani amekutwa amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa akiwafuga. Polisi wamesema kuwa wamekuta mwili wa mwamba huyo ukiwa chini huku kukiwa na nyoka zaidi ya 100 wenye sumu na wasio na sumu katika nyumba yake ambapo mwili ulipopimwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania “Maabara ya baiolojia ya vifo” ya Marekani

    Tangu mgogoro kati ya Russia na Ukraine ulipozuka, pamoja na vita vikali kati ya pande mbili, maabara ya kibaolojia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine pia imevutia macho ya pande zote. Hivi majuzi Russia ilitangaza kuwa imegundua zaidi ya maabara 30 za baiolojia nchini Ukraine, na kupata...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Royal Tour kuzinduliwa rasmi 18 Aprili 2022 New York

    KESHO NDIO KESHO, ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI. Na Bwanku M Bwanku. Kesho ndio Kesho, Jumatatu Aprili 18, 2022 Dunia nzima itasimama wakati Filamu Maalum ya kutangaza Utalii wetu wa Tanzania ikizinduliwa pale New York, USA. Mhe. Rais Samia ni Mhusika Mkuu (Tour Guider)...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

    Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi. =========== With a Russian offensive is...
  18. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu (03) ziara ya Rais Samia Marekani.

  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka Kumbe marekani inamiliki Hypersonic bomb miaka kibao iliyopita bila Dunia kujua:Kremlin wasema

    Kremlin has a secret, undisclosed data repository that includes information collected about NATO and USA, on the issue of owning Hypersonic bomb many years before the world being aware of this KOMOVA said Thursday. While neither the USA nor NATO would disclose it
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili na kuchambua: Maeneo matatu yaliyojikità katika mazungumzo ya mama na makamu wa rais wa marekani- Demokrasia, biashara & uchumi na Afya/coron

    Kama ilivyo kawaida ya wamarekani, agenda yao pendwa wanayotembea nayo duniani ni agenda ya DEMOKRASIA!! Demokrasia kama demokrasia kwa jinsi tunavyoifahamu sisi haina tatizo lolote!! Ila kwa mtazamo wa mabeberu hasa democrats wa marekani na Labour wa uingereza ni kuwa kipimo cha demokrasia ni...
Back
Top Bottom