marekani

  1. DALA

    JamiiForums Tanzania Marekani na washirika wake EU wameisaliti Ukraine

    Awali ya yote natangaza wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi. Hata hivyo, kwa mtu yeyote ambaye amefuatilia hii vita, hitimisho iko wazi. Urusi pamoja na kuchukua muda mrefu kukamilisha malengo yake tofauti na wengi tulivyodhani ukizingatia uwezo wa Urusi kijeshi, bado ushindi upo kwake...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mexico, nchi jirani kabisa na Marekani, ameikosoa vikali sera ya NATO katika vita vya Ukraine na kuiita ya 'kishenzi'

    Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani anasema hakuna njia yoyote ya kijeshi itayoifanya Ukraine iishinde Urusi vitani

    Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani ambaye amewahi kupigana vita nne tofauti anasema kuwa tuache kupumbazana, kudanganya na kupeana matumaini hewa, kiuhalisia hakuna njia yoyote ile ya kijeshi ambayo Ukraine inaweza kutumia kuishinda Urusi kwenye vita vinavyoendelea Ukraine...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi yapiga kombora Ukraine, yaharibu bohari ya silaha za Marekani na Nchi za Ulaya

    Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya. Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk. Serikali ya Ternopil imesema...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kanuni ya Wasafiri wa Kimataifa kupima COVID-19 yaondolewa

    Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya kusafiri tangu kuanza kwa Mlipuko. Kanuni hiyo iliwekwa na Utawala wa Donald Trump mapema 2021 na...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: China inazidi kutumia mabavu na fujo

    Waziri wa Ulinzi, Lloyd Austin amesema Marekani itasimamia nafasi yake katika kudhibiti mvutano na China na kuzuia mapigano licha ya Beijing kuzidisha mabavu katika Ukanda wa Asia, ikiwemo karibu na Taiwan Uhusiano kati ya China na Marekani umekuwa tete miezi ya hivi karibuni, huku Mataifa hayo...
  9. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Riadha: Suleiman Nyambui apata tuzo huko Marekani

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali ya Vyuo Vikuu huko nchini Marekani , UTEP TX , National Collegiate Athletics Association (NCAA)...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii dhulma ya kunyang'anya mali binafsi haitaiacha salama Marekani

    Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani Wakubaliana kushirikiana katika Elimu, Sayansi na Teknolojia

    TANZANIA, MAREKANI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Na WyEST, DODOMA Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Juni 7, 2022Jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Donald Wright ambapo...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya Marekani

    Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika. Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT. Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311. Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
  13. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa Mauaji ya Buffalo Marekani akana mashtaka dhidi yake

    PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa Vile...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wanne wauawa katika shambulio la risasi

    Watu wanne wameuawa baada ya Mtu mmoja kufyatua risasi Hospitalini huko Tulsa, Oklahoma. Polisi imesema Mtuhumiwa naye amefariki dunia kutokana na majeraha ya risasi ambayo inaaminika alijipiga Matukio na kushambuliwa kwa risasi yamekuwa yakiongezeka katika miezi ya hivi karibuni Nchini humo...
  15. Gama

    JamiiForums Tanzania Marekani yakanusha kusambaza "Monkey pox" kupitia maabara za Naijeria

    Marekani imekanusha tuhuma zinazosambaa mitandaoni kuhusu kusambaza virusi vya "Monkey pox" kupitia maabara zake zilizoko nchini Naijeria ubalozi wa mareakani nchini Naojeria umeeleza FUATILIA HAPA US denies spreading Monkeypox through Nigerian labs The United States has denied social media...
  16. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania China: Kauli za Marekani zitaiingiza hatarini Taiwan

    Jeshi la China limesema mazoezi na doria ambazo zimekuwa zikifanyika katika Anga na Bahari karibu na Taiwan ilikuwa hatua ya lazima kujibu kile ilichosema ni 'ushirikiano usio halali' kati ya Marekani na Taiwan China imesema hivi karibuni Marekani imekuwa ikitoa kauli zinazoashiria inaunga...
  18. ward41

    JamiiForums Tanzania Kwa siku kila mwanadamu anatumia bidhaa ya Marekani

    Kama sio Airbus, utatumia Coca-cola au Pepsi, utakwepa huko utakamatwa Kwenye Colgate. Haya utakimbia iphone lakini utabanwa Kwenye fb, insta, Whatsapp. Kama uko kijijini, una kitorch Cha mchina utapiga tu cm na network na ya beberu. tasema Mimi ctumii cm lakini utavaa mtumba wa mu America...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Marekani angeivamia Iran halafu asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo, halafu Urusi, China, nk ziipatie Iran silaha je, angetoboa?

    Hivi Marekani angejichanganya leo akaamua kuivamia Iran kwa kuitumia ardhi ya Iraq lakini asisaidiwe na nchi nyingine, awekewe vikwazo kama alivyowekewa Urusi. Halafu Iran isaidiwe silaha mfululizo na Urusi, China, India, na nchi zingine za kiarabu, je Marekani angestahimili kwa muda gani...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Biden: Marekani haitaipatia Ukraine Mfumo wa Silaha za Maroketi ya Masafa Marefu yenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Urusi

    Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi. Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
Back
Top Bottom