Mo Dewji: Simba itafanyia mazoezi Marekani 2022

MO11

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
18,857
38,605
Tajiri kijana mwenye hisa zake pale kwa timu bora Afrika Mashariki na namba mbili Afrika Mashariki na Kati

Na wa kumi na nne Afrika nzima na wa sabini na moja dunia nzima mbele ya Arsenal

Ameshaweka wazi kwamba msimu ujao kwa mabeberu pre-season

Sasa wale walioshindwa hata pre season kwa wapemba waige na hii

Halafu zinapotumika pesa hamuulizi ila zikiingia mnajifanya mna machungu kama ameibiwa babaako

Nyie machinga uzeni Jersey sisi tutauza soka kwa mkapa

Wao wana watu sisi tuna hela

Capture Mo.PNG
 
Timu yenye plan, haiendeshwi kwa kukurupuka. Maandalizi ya pre season yameanza mapema kabsa.
 
Hapo anacheza na Saikolojia ya hawa watoto wa Juzi wasiojua hizi clubs zimetoka wapi
Punguzeni mihemko,si mumemsajili zeruzeru mkalia tako moja na amewaahidi makombe yote hapa nchini kwa miaka sita mfululizo,basi tulieni mngoje kushangilia tu. Ila ligi ikianza mkimanuliwa msipige mayowe mara TFF mara marefa hatutaki hizo.
 
Back
Top Bottom