Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji.
Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
Wizara ya Ulinzi ya Urusi siku ya Jumatano imetangaza uharibifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi wa makombora mawili ya HIMARS MLRS ya Marekani huko Donbass.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi Luteni-Jenerali Igor Konashenkov alisema makombora hayo yaliyotengenezwa na Marekani ya HIMARS na...
Marekani ikiwa chini ya utawala wa bushi ilipanga kuzipindua serikali 3 kwa wakati mfupi ,huku ikijiamini na silaha nyingi , washirika wengi, akajua kabisa angeipiga Iran, Iraq, na North Korea kwa wakati mmoja, kilichomkuta aliishia kumpiga Iraq tena kwa tabu sana akiwa na washirika wake wengi...
Korea Kaskazini imeukosoa mkataba wa ushirikiano wa kijeshi uliosainiwa kati ya Marekani, Japan na Korea ya Kusini ikidai una lengo la kuiongezea nguvu Marekani hasa dhidi ya wapinzani wake.
Korea Kaskazini wanaamini umoja huo ni sehemu ya kujiimarisha kwa Marekani na kutengeneza ngome yake...
Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana...
The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours.
US...
wanaoaminika kuwazidi binadamu akili ,marekani baada ya kushindwa kuunda kombola la hypasonic wanahaha kuwapata Hawa viumbe
VITABU vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana,inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana...
Uganda imegundua amana za dhahabu katika Wilaya ya Busia na Katika jitihada za kukuza uchumi wa nchi hiyo, serikali imeipa leseni kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Kichina, Wagagai, ya kuanza kuzalisha bidhaa za dhahabu
Msemaji wa Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini nchini humo, Solomon...
Tukisema Russia amemwacha US miaka kumi (10) kwenye tech mnabisha haya sasa ndugu yenu anazidi kutia
aibu dunia.
Kama mnakumbuka kuna taarifa zilizagaa kuwa US amefanikiwa kutest kombora la hypersonic lenye spidi ya 5x ya sauti. Zile taarifa tulipewa matangopori zilikua ni za uongo walikua...
Inakuwaje linchi likubwa linasifika linajisifia ulimwengu mzima, leo maziwa ya unga ya kopo kwa ajili ya watoto wachanga imekuwa shida ya kufa mtu?
Tuagizeni mafuta Urusi yanapatikana kwa bei ya kutupa kabisa.
Fadhili Mpunji
Moja kati ya sekta zenye maendeleo ya kasi duniani katika muongo huu, ni teknolojia ya habari na mawasiliano. Maendeleo ya sekta hiyo yanayotajwa kuwa mapinduzi ya tatu ya viwanda, kimsingi ni mapinduzi ya kidigitali, yanayohamisha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA)...
Serikali ya Zimbabwe imetangaza mipango wa kutumia Dola ya Marekani kuwa fedha rasmi itakayotumika nchini humo kwa kipindi cha takriban miaka mitano ijayo, kutokana na mfumuko wa bei kupanda kwa kasi.
Waziri wa Fedha wa Zimbabwe, Nthuli Ncube ametoa tangazo hilo baada ya mfumuko wa bei kufikia...
Mzunguko wa usambazaji wa magazeti Nchini Marekani umeshuka kwa 12% ndani ya mwaka mmoja uliopita katika takwimu zilizoishia Machi 2022.
Magazeti ya The Wall Street Journal na New York Times yameendelea kuongoza katika nafasi ya kwanza na ya pili kwa kuuza nakala nyingi lakini bado takwimu...
Inawezekana kuwa wengi wanakumbuka kuwa Oktoba mwaka jana, vyombo vya habari vya Zimbabwe vilifichua kwamba ubalozi wa Marekani nchini humo uliwalipa waandishi wa habari wa nchi hiyo kuchapisha ripoti za kuchafua sura ya China kwa bei ya dola za Marekani 1,000 kwa kila makala, jambo ambalo...
Bunge la Seneti limepitisha mswada wa udhibiti wa bunduki nchini humo, kwa kura 65 dhidi ya 33, kufuatia mfululizo wa matukio ya mauaji katika maeneo mbalimbali nchini humo kuhusishwa ununuzi na umiliki holela wa silaha
Mswada huo utalazimika kupitishwa katika Baraza la Wawakilishi kabla ya...
Juni 22, katika Mlima wa Wudang, mjini Shiyan, China, "kocha wa kigeni" Jack alichukua wanafunzi wake kufanya mazoezi ya Tai Chi. Jack anatoka Marekani na amejifunza Kung Fu katika Mlima Wudang kwa miaka 12.
Hivi sasa, anawajibika kufundisha Kung Fu kwa wanafunzi wa kigeni.
Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam.
Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
Hii iko wazi kwamba vita inayoendelea pale Ukraine ni kati ya Marekani na Urusi pale Ukraine ni uwanja wa vita tu. Na hadi sasa matokeo ya vita hiyo ni kama ifuatavyo, Marekani haijapoteza askari hata mmoja, meli vita, ndege vita wala kifaru chochote, wakati urusi kapoteza askari zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.