Ndugu Watanganyika Mungu ni Mwema, sifa kwake kwa kutujalia Uhai
Ikiwa una Mpango wa kwenda nchi yeyote Ile Duniani hasa Nje ya bara la Afrika jitahidi kuijua nchi hiyo japo kwa machache mambo ya kuzingatia ukiwa huko pamoja na tamaduni zao, kufanya hivyo itakusaidia sana kuishi kwa amani na...
Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo.
“Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo ameidhinisha kurejeshwa kwa Julian Assange nchini Marekani ambapo mamlaka nchini humo zinamtafuta kuhusiana na nyaraka zilizofichuliwa na mtandao huo mwaka wa 2010 na 2011.
Mnamo 2019 Marekani iliwasilisha mashtaka 17 dhidi yake kwa kukiuka Sheria ya Ujasusi...
Taarifa zinadai kuwa shambulio hilo linatarajiwa kutokea katika mji mkuu Bamako, na linalenga vituo muhimu vya Serikali na maeneo ya Umma
Tahadhari hiyo imekuja siku chache baada ya raia 22 kuuawa katika eneo la Menaka kaskazini mwa Mali na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo
Hii ni tahadhari...
Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO.
NATO sasa inawaza...
Awali ya yote natangaza wazi kwamba mimi ninaiunga mkono Urusi.
Hata hivyo, kwa mtu yeyote ambaye amefuatilia hii vita, hitimisho iko wazi. Urusi pamoja na kuchukua muda mrefu kukamilisha malengo yake tofauti na wengi tulivyodhani ukizingatia uwezo wa Urusi kijeshi, bado ushindi upo kwake...
Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi.
Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.”
President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
Luteni Colonel Daniel Davis wa Jeshi la Marekani ambaye amewahi kupigana vita nne tofauti anasema kuwa tuache kupumbazana, kudanganya na kupeana matumaini hewa, kiuhalisia hakuna njia yoyote ile ya kijeshi ambayo Ukraine inaweza kutumia kuishinda Urusi kwenye vita vinavyoendelea Ukraine...
Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya.
Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk.
Serikali ya Ternopil imesema...
Utawala wa Rais Joe Biden utaondoa Kanuni ya upimaji wa COVID-19 kwa Wasafiri wa Anga wanaoingia kutoka nje ya Nchi kuanzia Juni 12, 2022. Hatua hiyo itaondoa moja ya vizuizi vya muda mrefu vya kusafiri tangu kuanza kwa Mlipuko.
Kanuni hiyo iliwekwa na Utawala wa Donald Trump mapema 2021 na...
Waziri wa Ulinzi, Lloyd Austin amesema Marekani itasimamia nafasi yake katika kudhibiti mvutano na China na kuzuia mapigano licha ya Beijing kuzidisha mabavu katika Ukanda wa Asia, ikiwemo karibu na Taiwan
Uhusiano kati ya China na Marekani umekuwa tete miezi ya hivi karibuni, huku Mataifa hayo...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali ya Vyuo Vikuu huko nchini Marekani , UTEP TX , National Collegiate Athletics Association (NCAA)...
Kuna mamia kama siyo maelfu ya mabilionea wa kirusi wamepokonywa mali zao na marekani na washirika wake kwa kisingizio eti wako karibu na Putin!! Huu ni unyang'anyi na ujambazi
Mtu kama Abramovich amepokonywa mabilioni ya dola pamoja na meli zake binafsi, majumba, klabu yachelsea, ndege binafsi...
TANZANIA, MAREKANI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
Na WyEST,
DODOMA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Juni 7, 2022Jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Donald Wright ambapo...
Dollar ya Marekani inazidi kuimarika. Shilingi ya Tanzania inazidi kudhoofika.
Tangu robo ya kwanza ya mwaka, Dollar moja imekuwa ni sawa na shilingi 2310 kwa mujibu wa BoT.
Robo ya pili ikapanda na kuwa 2311.
Sasa tupo robo ya tatu na ndani ya siku 7 hizi ishapanda mara mbili: 2312 na sasa...
PaytonGendron (18) anayeshtakiwa kwa kuua watu kumi na kujeruhi watatu katika supermarket huko Buffalo (eneo likaliwalo na watu weusi) alifikishwa mahakamani Juni 2 ambapo alikana shtaka hilo pamoja na mashtaka mengine, ambapo mwendesha mashtaka akitaja ushahidi dhidi yake kuwa mkubwa
Vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.