KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa...
Rais Samia alipokuwa kwenye ziara yake ya kikazi huko Marekani[ U.S.A.] alipata wasaa wa kuwahutubia waTanzania wanaoishi huko.
Alipokuwa anatoa hotuba yake palitokea tukio moja lililomfanya akumbuke nyumbani; ingawa alikuwa ughaibuni nalo lilikuwa pale UMEME ulipokatika wakati akitoa...
Japo watu wengi walikuwa wanafahamu kuwa lengo la Urusi tangu mwanzo ilikuwa ni kuidhoofisha Urusi kiuchumi na kijeshi Walikuwa wanafanya kama siri fulani. Kwa sasa wanasema kwa wazi lengo hilo, kama mkuu wa majeshi ya marekani alivyokiri hilo lengo. Ila hawakuwa tayari kuingia wao binafsi...
Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na HIV hasa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation, Charles Lyons.
EGPAF iliasisiwa mwaka 1988 na taarifa za...
Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali.
Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
airport
dada
diaspora
jnia
kaskazini
katiba
katiba mpya
kudai
kusoma
mabango
marekani
miwani
mpya
mtu
mwigulu
mwigulu nchemba
nchini
picha
tanzania
ubalozi
usa
waandamana
wabongo
watanzania
Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya.
Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
Kama ulishawahi kusikia msemo wa "machozi ya mamba", ndicho mabeberu wanakifanya kwa Ukraine! Mamba akikamata mawindo huwa anatoa machozi!! Hayo machozi ya mamba si dalili ya maumivu Bali ni kielelezo Cha kifurahia utamu wa mawindo aliyopata!
Kumekuwa na makelele ya vilio Toka Nchi za magharibi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu
Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo.
Au...
Ziara ya mkuu wa nchi anayondelea nayo nchini marekani zaidi ya wiki sasa ni nzuri sana ila ni lazima tuseme ukweli haitatuletea mapinduzi ya kiuchumi na nchi yetu kuwa na uchumi wa hali ya juu kama baadhi ya nchi za Afrika.
Ziara ya zaidi ya wiki moja ni kitu kikubwa sana kwa mtu ambaye...
Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo
Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
Marekani iliipiga changa ya macho dunia kwa muda mrefu. Ikalazimisha dola iwe ndio pesa rasmi katika biashara za kimataifa na uchumi wa dunia. Wanachofanya ni kuchapisha noti tu za dola na kuipa thamani kwa kauli tu.
Dunia nayo ikawa imejikuta inakubaliana na changa hilo la macho. Lakini Urusi...
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani
Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani.
Popote duniani huo...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
=================
TAARIFA HII IMEKANUSHWA
DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI
Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
Hapo juu ni picha ya kikundi cha ngoma kutoka Bagamoyo walioambatana na Samia huko Marekani.
Duru zinatabanaisha kila mwana kikundi ameidhinishiwa kitita cha milioni 3 kila siku kama matumizi yake awapo huko hiyo ni pamoja na gharama za hotel.
Ikumbukwe gharama zote hizo ni kwa muda wa wiki...
Wanabodi
Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana.
Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!.
Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
Mwanaume mmoja katika maeneo ya Maryland huko Marekani amekutwa amekufa baada ya kung’atwa na nyoka aliokuwa akiwafuga.
Polisi wamesema kuwa wamekuta mwili wa mwamba huyo ukiwa chini huku kukiwa na nyoka zaidi ya 100 wenye sumu na wasio na sumu katika nyumba yake ambapo mwili ulipopimwa...
Tangu mgogoro kati ya Russia na Ukraine ulipozuka, pamoja na vita vikali kati ya pande mbili, maabara ya kibaolojia iliyojengwa na Marekani nchini Ukraine pia imevutia macho ya pande zote. Hivi majuzi Russia ilitangaza kuwa imegundua zaidi ya maabara 30 za baiolojia nchini Ukraine, na kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.