marekani

  1. JanguKamaJangu

    Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  2. Lady Whistledown

    Marekani yamshikilia kiongozi wa Yakuza kwa tuhuma za kusafirisha dawa za kulevya

    Marekani imemkamata kiongozi wa kundi la yakuza la Japan na wanaume watatu wa Thailand, wakiwatuhumu kwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini na methamphetamine na kujaribu kupata makombora ya kutoka ardhini hadi angani yaliyotengenezwa na Marekani kwa ajili ya makundi yenye silaha huko...
  3. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  4. beth

    Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Urusi vyawalenga watoto wa Rais Putin

    Marekani imesema inaamini Mali nyingi za Rais wa Urusi, Vladimir Putin zimefichwa na Wanafamilia. Kauli hiyo inakuja kufuatia vikwazo vipya vilivyotangazwa dhidi ya Watu wa karibu wa Putin wakiwemo Mabinti zake wawili Taarifa ya Marekani imemtaja Katerina Vladimirovna Tikhonova kama Mkurugenzi...
  5. Mohamed Said

    Ramadhani Marekani: Tarweh Times Square New York

    RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK Allah Muweza. Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya Tarweh barabarani huku ''neon lights'' za New York zikiwaangazia Waislam? Times Square ni sehemu...
  6. BigTall

    Ukraine yajiandaa kwa vita vya kemikali, Marekani yatoa usaidizi

    Imeripotiwa kuwa Marekani imekuwa ikituma vifaa vya kinga (PPE) kwa Ukraine kwa ombi la nchi hiyo ili kujiandaa kwa shambulio lolote la silaha za kemikali wakati wa vita dhidi ya Urusi inayoendelea. Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la Rais Joe Biden alithibitisha kwamba "vifaa vya kuokoa...
  7. Linguistic

    Wimbo wa Afande Sele unaoitwa Marekani wafungiwa na Serikali

    Anaandika Afande Sele Nimeongea tena na Tcra muda huu wanadai kabla ya kuendelea na chochote kwanza nifute huo wimbo popote ulipo. Ingawa sijajua kosa langu na sijaridhika na makatazo yao. Wanadai wamepigiwa simu kutoka juu kwamba wimbo haufai kwa maslahi ya nchi. Kuna Wakati Chief Hangaya...
  8. BigTall

    Marekani kutoa pipa milioni 1 za mafuta kwa siku

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta ambayo imekuwa ghali kwa waendesha magari wa nchi hiyo. Biden amesema mapipa milioni 180 kutoka...
  9. JanguKamaJangu

    Marekani: Washauri waoga wanampotosha Rais Putin

    Marekani na Uingereza zimesema kuwa Rais wa Urusi, Vladimir Putin anapotoshwa na washauri wake ambao wanahofu ya kumwambia ukweli jinsi ambavyo uvamizi wake kwa Ukraine ulivyo na madhara makubwa. Uingereza imesema kuwa vikosi vya Urusi vilivyopo Ukraine vinazidi kupata tabu, na wanaamini Rais...
  10. Analogia Malenga

    Marekani yatoa onyo jipya la usafiri wa Urusi

    Marekani imetoa onyo jipya la usafiri kwa Urusi ambayo inasema mamlaka "inaweza kuwatenga na kuwaweka kizuizini" Wamarekani nchini humo. Ikitaja uwezekano wa kuwanyanyasa raia wa Marekani, onyo hilo linarudia wito kwa Wamarekani kutosafiri kwenda Urusi au kuondoka "mara moja". Pia ilionya...
  11. S

    US: Marekani haiwezi kuziba mahitaji ya gesi ya Russia (mita za ujazo bilioni 150) ipelekwayo Ulaya kwa mabomba

    Ijumaa iliyopita Biden alitangaza kuziuzia nchi za Ulaya (EU) gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied natural gas, LNG) kiasi cha mita za ujazo bilioni 15 ili kupunguza utegemezi wa nchi za Ulaya kwa gesi ya Russia. Tangazo hilo limekuja ktk kipindi ambacho Putin amewaambia nchi za...
  12. Mwande na Mndewa

    Vikwazo kwa Urusi; Sarafu ya ruble ya Urusi yapanda thamani dhidi ya dola ya Marekani

    VIKWAZO KWA URUSI;SARAFU YA RUBLE YA URUSI YAPANDA THAMANI DHIDI YA DOLA YA MAREKANI. Leo 15:30pm 27/03/2022 Respect for Russia,who dare to stand up against the West,Baada ya vikwazo vingi vya Ulaya na Marekani kwa Urusi,Urusi imetangaza kuuza mafuta na Gesi kwa sarafu yake ya ruble,Masaa 24...
  13. S

    Putin sio tu ni tishio kwa usalama wa nchi za Ulaya na Marekani, bail sasa ni tishio kwa uchumi wa hizi nchi, hivyo ikibidi wataungana kumuondoa

    Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama. Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
  14. Analogia Malenga

    Ghana: Mishahara ya Mawaziri na Rais yapunguzwa kwa 30%

    Rais wa Ghana Nana-Akufo Addo na mawaziri wake wamepunguza mishahara yao kwa kiwango cha asilimia 30 kama hatua za kupunguza matumizi ya serikali, wakati nchi inakabiliwa na gharama kubwa za mafuta kutokana na mzozo wa Ukraine na kukwama kwa mswada wa sheria kuhusu kodi mpya. Waziri wa fedha...
  15. bernard10

    Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  16. L

    Marekani yapaswa kukabiliana kihalisi na changamoto ya ubaguzi wa rangi

    Tarehe 21 Machi ni Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi. Katika miaka ya hivi karibuni, nchi za magharibi haswa Marekani, zimepuuza suala la ubaguzi wa rangi katika nchi zao, na kuchukulia suala hilo kama njia ya kisiasa ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine, kitendo ambacho...
  17. Hero

    Mzozo wa Ukraine: Julius Malema ataka Waafrika kuungana na Urusi

    Huyu malema sasa amekiwasha kweli kweli na sijui itakuwaje, ila ki msingi ameyasema yaliyomo moyoni mwangu japo kuwa sifurahii kabisa masahibu wanayoyapata wa 'Ukraine' kwa ujuha wa rais wao!
  18. bernard10

    China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

    Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan (Taiwan strait). Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa...
  19. M

    Marekani imetwanga maji kwenye kinu: Silaha walizopenyeza Ukraine hivi karibuni zimeteketezwa

    Marekani hoi! Silaha walizojinadi kupeleka Ukraine hivi karibuni na kuzificha kwenye ghala LA silaha lililojengwa kwenye kambi ya jeshi, ghala lililochimbiwa chini (underground), zimeteketezwa zote hata kabla hazijaanza kusambazwa kwa walengwa!! Iko hivi: Urusi kwa kutumia silaha Kali iitwayo...
  20. Analogia Malenga

    Marekani yaitaka Afrika kuonesha upande wanaosimama katika vita ya Urusi na Ukriane

    Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na Umoja wa Mataifa. Takriban watu milioni tatu wamekimbia makazi yao kutokana na vita hivyo, kulingana na...
Back
Top Bottom