KWANZA,
Iran inajua haiwezi kushinda vita hivi kwenye uwanja wa vita. Inaweza kushinda tu kwenye meza ya mazungumzo. Na kwa namna fulani, ndivyo hasa inavyoendelea.
Kwa wiki kadhaa, mistari nyekundu iliwekwa. Tarehe za mwisho ziliwekwa. Maonyo ya mwisho yalitolewa.
Kisha Iran ilifanya kile...
Ni kosa kubwa kuua wananchi wako kisa madaraka, hawatalisaidia Jeshi na taasisi zingine wakati wa majanga...
CCM walijijengea tabia mbaya kutosikiliza ushauri watu, sasa wajiandae kutengwa
Salaam Wakuu,
Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo.
Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania.
Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
Licha ya hivyo, Porojo, uzushi na upotoshaji wa seneta Ted Cruz kwa maseneta wenzake, kamwe hauwezi kumshawishi Rais wa Marekani D.Trump, ambae kiukweli nae yuko confused, kuchukua hatua yoyote itakayo athiri uhusiano wa kidiplomasia wa kihistoria, wa muda mrefu sana kati ya Tanzania na...
26 May 2026
CCM Parliament
Dodoma
Tanzania
13th Parliament 3rd Session, 37th Session today May 26, 2026
Tanzanian parliament session : How a CCM MP Ms. Mariam Anzuruni Mungula was deeply Disturbed by the US's Agitation for severe Sanctions on Tanzanian Government Leaders...
Kuna huu mnyukano unaoendelea kati ya CCM na Marekani kufuatia muswaada wa Maseneta wawili wa Marekani kuhusu Tanzania ukiangazia mambo mbalimbali
Wazalendo tunasimama wapi ukizingatia kila upande katika mnyukano huo unaendeshwa kwa maslahi yao binafsi zaidi kuliko umma mpana wa Watanzania?
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Mei 26, 2026, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum, amesema;
"Kwenye uchochezi wowote wa namna yoyote ile, uwe wa kidini uwe wa kisiasa hatutaukubali. Hatutaukubali kama Watanzania. Watanzania wanasimama na...
Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia.
Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na...
Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao?
Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Taifa, Sheikh Alhad Mussa Salum ameitaka Serikali ya Marekani kuwakemea maseneta wawili waliosema kuwa Tanzania si salama na kuwa baadhi ya dini zinakandamizwa, akiongea katika mkutano wa Jumuiya hiyo na waandishi wa habari, Alhad ameitaka...
Jeshi la Marekani usiku huu wa tarehe 26/05/2026 limefanya mashambulizi ya kijeshi kwenye sites za kurushia makombora za Iran na boti ambazo wamedai zilikuwa zinajaribu kusimika mabomu baharini
==========
US military says it struck southern Iran in 'self-defence'
The US military said it...
Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran.
Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025.
Iran
Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at...
Wanaukumbi.
🇮🇷 Iran Yakataa Masharti ya Marekani Kuhusu Fidia:
🇮🇷 Iran yasema Marekani haiwezi kuamua fidia ya kifedha kwa upande mmoja katika makubaliano yoyote ya amani.
Tehran inadai:
Kuondolewa mara moja kwa mali zote za Iran
Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vya mafuta
🇮🇷Iran inaweza kupata...
Ripoti mpya ya Axios inasema makubaliano yanayoibuka kati ya utawala wa Trump na Iran yanaweza kujumuisha Tehran kutoa akiba yake ya urani iliyoruyubishwa, kusimamisha urutubishaji wa urani kwa muda mrefu, na kufungua tena Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kulingana na Axios, maafisa wa Marekani...
Picha za satellite za Iran zilionesha uharibifu mkubwa na hasara kubwa sana Marekani ilipata kutokana na kipigo Cha Iran kilichofanywa katka makambi (bases) za Supapawa Marekani huko mashariki ya kati.
Makambi mengi yalipigwa, na ndani ya makambi hayo yalikua ni Kambi za ndege,meli,rada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.