Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,431
- 7,582
Supapawa wa Dunia akishirikiana na supapawa wa Middle East Israel wakipigana na nchi iliyowekewa vikwazo na kutengwa na Dunia kwa miaka zaidi ya 40 Iran.
Sasa tuangalie bajeti zao za ulinzi kwa mwaka 2025.
Iran
Iran's official military and security budget for the 2024–2025 period was set at approximately \(\$23.4\) billion. While nominal spending has risen sharply, real-term increases are offset by high annual inflation.
USA
The U.S. national defense budget for FY 2025 was approximately $916 billion to $954 billion, depending on the accounting scope used. This accounted for about 13% of the total U.S.
Hii Dunia ngumu sana hii.
Bila kusahau Katika vita hiyo Israel nayo ilikua ikiipiga Iran moja kwa moja waziwazi.